Wanaochanganya Damu mbichi ya n'gombe kwenye vyakula vya kuku wana nia ya kutufarakanisha na Mungu

Wana wa Mungu tumekatazwa kula Damu ya mnyama Kwa kuwa ndani ya Damu ndipo penye uhai wa mnyama.
Hebu thibitisha kuwa ukila nyama unakua umetoa damu yote hadi seli ya mwisho.
 
Tuambie kwanini tulirithi dhambi ambayo ilitendwa tukiwa hatujazaliwa wakati huohuo utajiri wa Bakhresa hatujaurithi.
 
Hebu thibitisha kuwa ukila nyama unakua umetoa damu yote hadi seli ya mwisho.
Chinja mnyama au ndege, elekeza Damu ardhini, hakikisha imeisha yote mwilini, fukia Damu,

Andaa kitoweo chako Kwa chakula,

Hayo mambo ya seli ya mwisho ni ujuaji mwingi.
 
Dini ukiziendekeza unakula lijinga lijinga.
Tumia akili,wenzio wanatumia akili kwenye dini ndo maana wanatajirika
 
Tuambie kwanini tulirithi dhambi ambayo ilitendwa tukiwa hatujazaliwa wakati huohuo utajiri wa Bakhresa hatujaurithi.
Sasa wewe mtoto wa Chambusi urithi Kwa bakhresa ni Haki hiyo🤣
 
Dini ukiziendekeza unakula lijinga lijinga.
Tumia akili,wenzio wanatumia akili kwenye dini ndo maana wanatajirika
Hii mada IPO jukwaa la HOJA mchanganyiko,

Ingekuwa inahusiana na Dini, ungeikuta jukwaa la dini.

Sijui unaelewa?
 
Atakuwa msabato huyu wazee wanaishi kwa sheria ila ni wabinafsi sana
 
Atakuwa msabato huyu wazee wanaishi kwa sheria ila ni wabinafsi sana
Mleta mada Si msabato ,

Habari ya Mungu kukataza watu kula Damu au kunywa limo ndani ya BIBLIA.
 
Kiukweli nikichinja mbuzi bila kukinga dam sion kama mbuz amelika au ng'ombe, itakua hayo makatazo uchagani haya function
 
Kutana na nyama choma ichovyee kwenye dam yenye pilpil nying na chumv iwe imeiva kidogo ndipo utajua yakale sasa yamepita
Mla/Mnywa Damu akikasirika, kuua mtu ni kugusa.

Si vyema kugombea Damu na mapepo uchinjapo mbuzi au n'gombe.

Acha mara Moja, Mungu amekataza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…