Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #81
Sijakuelewa kaka unaweza kunielewesha tena????Maana ASP walikuepo wengi wakati wa mapinduzi matukufu ila walioenda frontline wachache!!!Wewe mwenyewe tayari umeyabeza kwa kusema yaliongozwa na Mh Okello ilhali CCM hudai yaliongozwa na Karume. Hapo ni wazi historia na ukweli vinayabeza maana yanaripotiwa tofauti kiuongo uongo tu.
Kaka jazba huchangia kuleta hoja viza!!!!Vuta pumzi tulia tujadiliane ndugu yanguHakuna cha jaziba , Zanzibar na mavamizi yaitwayo Mapinduzi itakusaidia kupunguza bei ya nyama au maharage?
Au kuondoa ulafi wa viongozi wenu wa CCM wanaolambishana asali?
soma tena kwa umakini nilichoandika.Sijakuelewa kaka unaweza kunielewesha tena????Maana ASP walikuepo wengi wakati wa mapinduzi matukufu ila walioenda frontline wachache!!!
Hayo ni maneno yako sio maneno yetu sisi ASP na TANU ndugu Utingo!!Wewe mwenyewe tayari umeyabeza kwa kusema yaliongozwa na Mh Okello ilhali CCM hudai yaliongozwa na Karume. Hapo ni wazi historia na ukweli vinayabeza maana yanaripotiwa tofauti kiuongo uongo tu.
Kwahiyo maslutani hawakua walafi na yale mahekalu yao bagamoyo na tanga!!!Na hulka zao za kunyanyasa ngozi nyeus??Hakuna cha jaziba , Zanzibar na mavamizi yaitwayo Mapinduzi itakusaidia kupunguza bei ya nyama au maharage?
Au kuondoa ulafi wa viongozi wenu wa CCM wanaolambishana asali?
Mbona hujibu hayo maswali ? Umeshikilia jaziba jaziba tu ?Kaka jazba huchangia kuleta hoja viza!!!!Vuta pumzi tulia tujadiliane ndugu yangu
Au na wewe unapinga mapinduzi matukufu ya 1964 kaka???Hakuna cha jaziba , Zanzibar na mavamizi yaitwayo Mapinduzi itakusaidia kupunguza bei ya nyama au maharage?
Au kuondoa ulafi wa viongozi wenu wa CCM wanaolambishana asali?
Huna hoja gavana na una uelewa mdogo sana!!!Bora niendelee kujadiliana na kakangu mzee said mohamed!!!Mbona hujibu hayo maswali ? Umeshikilia jaziba jaziba tu ?
Tuwekee mambo ya kwenu Chato Zanzibar iwacheni ilivyo , hamalizi hamnywi , hii ni nchi ya Kiislamu , Jitihada Za kanisa lenu la kuupiga vita uislamu zitagonga mwamba
Jiulize swali moja muhimu kwanini Tanganyika hasa watu wa bara ambao hawajawahi kuishi Zanzibar wala kufika, sio wao hata vizazi vyao baba zao na babu zao hawakujui Zanzibar ila wanajifanya kujua Mapinduzi kuliko Wazanzibari wenyewe?Kuna watu hapa afrika mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!!!Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
post yako inasemaHayo ni maneno yako sio maneno yetu sisi ASP na TANU ndugu Utingo!!
kusema mapinduzi yaliongozwa na Okello ni maneno yangu au yako?Kuna watu hapa afrika mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!!!Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
Wewe hoja zako si ndio hizo unazopewa na kardinali Pengo?Huna hoja gavana na una uelewa mdogo sana!!!Bora niendelee kujadiliana na kakangu mzee said mohamed!!!
Mtego wako tumeukwepa unataka ututoe nje ya mada mimi na mzee wangu Said mohamedi!!Mbona hujibu hayo maswali ? Umeshikilia jaziba jaziba tu ?
Tuwekee mambo ya kwenu Chato Zanzibar iwacheni ilivyo , hamalizi hamnywi , hii ni nchi ya Kiislamu , Jitihada Za kanisa lenu la kuupiga vita uislamu zitagonga mwamba
Sisi ASP tunajua zaidi na wewe hujui zaidi kuhusu mapinduzi matukufu ndugu yangu!!!Hayo ni maneno yakopost yako inasema
kusema mapinduzi yaliongozwa na Okello ni maneno yangu au yako?
mimi nimekwambia Historia ya mapinduzi inachanganya kwa sababu wengine kama wewe umepost kuwa yaliongozwa na Okelo, ilhali ccm na historia ya nchi hii kama tulivyokuwa indoctrinated inasema ni Karume, tumwamini nani? ninyi mnaotoa ripoti zisizofanana si ndiyo mnasababisha mapinduzi yabezwe?
Au na wewe unapinga mapinduzi matukufu ya 1964 kaka???
Niliwahi kuleta picha zA wafalme wa Zanzibar humu, kuna wafalme kibao weusi, na maarufu ni kama Ali Humud,Mkuu historia haijapindishwa mambo yako straight
WaOman walivamia visiwa vile miaka mingi tu, waliabaka na kuwanyanyasa wazee wetu, waliwadhalilisha na kuwafanya watumwa, waliwaua na kuwatumikisha kama wanyama, waliwapokonya ardhi yenye rutuba, ikafika hatua waafrika tukachoka, wakaja n Compromise ya uhuru wa mchongo mwaka ‘63
Karume, Okello na wazalendo wengine wakaingia kazini kufurusha masalia ya utawala batili na ndio hapo tukapata Zanzibar inayotawaliwa na walio wengi
Mambo yako straight, hao wanakumbuka na kuhusudu nyakati za Jamshid na wenzie ni wale walionufaika na mfumo ule kandamizi.
mimi habari ya okelo nimeisikia kutoka kwako, inakuwaje iwe maneno yangu? kwa nini unaogopa kivuli chako mwenyewe? au unaogopa ASP wenzako watakuchachamalia umeundermine juhudi za karume?Sisi ASP tunajua zaidi na wewe hujui zaidi kuhusu mapinduzi matukufu ndugu yangu!!!Hayo ni maneno yako
Asili ya waafrika waliopo zanzbar wametokea wapi?????Omani au sudani?????Nijibu kwanza????Jiulize swali moja muhimu kwanini Tanganyika hasa watu wa bara ambao hawajawahi kuishi Zanzibar wala kufika, sio wao hata vizazi vyao baba zao na babu zao hawakujui Zanzibar ila wanajifanya kujua Mapinduzi kuliko Wazanzibari wenyewe?
Kwa nini Wazanzibari wengi wanapinga hayo Mapinduzi? Ukipata jibu utaelewa unachouliza
Wewe kijana wa Chato u ASP uutowe wapi ? Kwa Kardinali wako Pengo ?Sisi ASP tunajua zaidi na wewe hujui zaidi kuhusu mapinduzi matukufu ndugu yangu!!!Hayo ni maneno yako
Kaka am clever than you be wise!!!!Sisi ASP tupo tofautimimi habari ya okelo nimeisikia kutoka kwako, inakuwaje iwe maneno yangu? kwa nini unaogopa kivuli chako mwenyewe?
Kaka unawatetea walowezi wa kiarabu najua ila ukweli upo uchi kwa karne nyingi!!!Kasome kitabu cha binti wa seyyid said!!Niliwahi kuleta picha zA wafalme wa Zanzibar humu, kuna wafalme kibao weusi, na maarufu ni kama Ali Humud,
Utoto wake
View attachment 2504743
Ukubwa wake
View attachment 2504746View attachment 2504747
Si huyo tu kuna watu kibao Royal Family ya Zanzibar walikuwa weusi. Ubaguzi wenu huo umeanza 1964