Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Nelson....
Wewe unatoa maneno hayo makali labda kwa kuwa si sehemu ya historia na jamii ambayo baadhi yetu tumetoka.

Waarabu na Waafrika wamechanganya damu pwani yote hii ya Afrika ya Mashariki.

Sisi ni ndugu tena wa nasaba na imani.

Unapotoa maneno hayo unatuumiza wengi.

Huo ni ubaguzi na haufai katika nchi yetu.

Amani Karume kachanganya na katawala Zanzibar.

Mkewe Shadya ana damu ya Kiomani.
Nadhani mtoto wao mmoja unamjua.

Hiyo ndiyo Zanzibar.
Abeid Amani Karume mweusi tiii.

Mwanae ukipenda mwite Muarabu.
Ukipenda mwite Muhindi kwani mana yake ndiyo asili yake.

Na ukipenda mwite Amani Mwafrika.
Hii ndiyo Zanzibar na Wazanzibari.
Mzee wangu hata sisi hao watu wenye nasaba na nyinyi wamefanya maovu mengi sana kwa jamii zetu za kibantu ukanda wote huu wa afrika mashariki!!!Unasaba wa kidini na kindugu usiwe sababu ya sisi kutoongelea dhulmati na zahama na ubaguzi uliofanywa na waarabu kabla ya mapinduzi!!!!Afu kuingiliana na kuoleana kulikua katika mfumo upi kabla ya mapinduzi 1964??????Je kuna mbantu yoyote aliruhusiwa kumuoa binti wa kiarabu?????
 
Mimi babu mzaa mama mweusi bibi mwarabu wameoana kabla ya hayo mapinduzi, Karume mweusi mkewe mweupe wameoana kabla ya hayo mapinduzi, kila siku naongea humu nyie jamaa hamjui lolote kuhusu waarabu ni Fix za vijiweni mnaleta kama mijadala ya kitaifa.

Kuna weusi kibao nchi hii wana wake waarabu kuanzia Maraisi, wabunge na watu kibao.
Lakini hilo halizuii wala kuhararisha dhuluma ya masultani wa zanzbar kwa watu!!!!!Kwanini mnauogopa ukweli ambao mzee karume aliuweka wazi?????
 
Baba...
Ndiyo siku zote husema sisi tuna wajibu wa kuwaelimisha hawa ndugu zetu watujue.

Wengi wao asili zao ni bara na pengine wamekuja pwani wakiwa tayari ni wakubwa.

Hii ndiyo sababu hata zile adabu ndogo za kawaida ya maongezi zinawashinda wanasema chochote.

Hawajui athari yake.
Hao wanaowaita majina wote hao mabibi zao ni Wamanyema nduguze Bi. Matuka.
 
Nelson....
Wewe unatoa maneno hayo makali labda kwa kuwa si sehemu ya historia na jamii ambayo baadhi yetu tumetoka.

Waarabu na Waafrika wamechanganya damu pwani yote hii ya Afrika ya Mashariki.

Sisi ni ndugu tena wa nasaba na imani.

Unapotoa maneno hayo unatuumiza wengi.

Huo ni ubaguzi na haufai katika nchi yetu.

Amani Karume kachanganya na katawala Zanzibar.

Mkewe Shadya ana damu ya Kiomani.

Nadhani mtoto wao mmoja unamjua.

Hiyo ndiyo Zanzibar.
Abeid Amani Karume mweusi tiii.

Mwanae ukipenda mwite Muarabu.

Ukipenda mwite Muhindi kwani mama yake ndiyo asili yake.

Na ukipenda mwite Amani Mwafrika.

Hii ndiyo Zanzibar na Wazanzibari.
Hata sisi tulipokua tunafanya mapinduzi tulikua tunaondoa udhalimu wa walowezi!!!!Mbona unaukwepa ukweli huu mzee wangu kwa kisingizio cha undugu na imani????
 
Upo sahii kaka sina hoja kwa sababu ya wewe kua na nasaba na waarabu lazima uwasifie na kuchukia mapinduzi!!!!Kuhusu oman na watu weusi vipi kuhusu dada zetu wanaoenda kufanya kazi za ndani na masaibu yanayowakuta???????
Huyo dada unaemsema ameenda kufanya kazi Oman ana sifa za mfanyakazi wa ndani? Ana hata certificate ya Nutrition?

Nchi za Ghuba nyingi wafanyakazi wana Union zao na wapo protected, wengi hutoka Ufilipino na India na mishahara ni mizuri sometime inazidi milioni 1 kwa mwezi.

Kuna watanzania kibao wanafuata utaratibu na wanafanya kazi hizo nchi za kiarabu huku wamejenga na wana maisha mazuri tu.

Hao mnaowasema nyie ni wale wanaoingia kienyeji, wanatafutiwa kazi na madalali na hata ubalozi haujui kama wanafanya kazi kule. Mwisho wa siku wanaenda kuajiriwa na masikini wenzao ambao hata sio raia sometime.

Vaa viatu vya hao raia wa Gulf, unaingiza bilioni kadhaa kwa mwaka, utataka mtoto wako alelewe na mtu ambaye hajui hata Vitamin B ni nini?
 
Mzee wangu hata sisi hao watu wenye nasaba na nyinyi wamefanya maovu mengi sana kwa jamii zetu za kibantu ukanda wote huu wa afrika mashariki!!!Unasaba wa kidini na kindugu usiwe sababu ya sisi kutoongelea dhulmati na zahama na ubaguzi uliofanywa na waarabu kabla ya mapinduzi!!!!Afu kuingiliana na kuoleana kulikua katika mfumo upi kabla ya mapinduzi 1964??????Je kuna mbantu yoyote aliruhusiwa kumuoa binti wa kiarabu?????
Nelson...
Fanya utafiti utajua kuwa Sayyid Khalifa mkewe alikuwa Mwafrika jina lake Matuka.

Haifai kujadili kitu usichokijua.

Karume mkewe Bi. Fatma sote tunamjua.
 
Baba...
Ndiyo siku zote husema sisi tuna wajibu wa kuwaelimisha hawa ndugu zetu watujue.

Wengi wao asili zao ni bara na pengine wamekuja pwani wakiwa tayari ni wakubwa.

Hii ndiyo sababu hata zile adabu ndogo za kawaida ya maongezi zinawashinda wanasema chochote.

Hawajui athari yake.
Hao wanaowaita majina wote hao mabibi zao ni Wamanyema nduguze Bi. Matuka.
Mzee wangu unakwepa hoja!!!!Ukoo wangu umekuepo pwani hata kabla ya ujio wa waarabu,wahindi na wachina!!!!!Tatizo mzee wangu historia ya pwani ya afrika mashariki unajua imeanzia kwa waarabu tu!!!!Nataka nije kukupa somo kidogo kuhusu wabantu wa afrika mashariki
 
Nelson...
Fanya utafiti utajua kuwa Sayyid Khalifa mkewe alikuwa Mwafrika jina lake Matuka.

Haifai kujadili kitu usichokijua.

Karume mkewe Bi. Fatma sote tunamjua.
Sayidd alikua na wake na masuria wangapi!!!!Binti yake Salma bin sayed kaeleza kwenye kitabu chake sote tunajua!!!!Lakinoi hiyo sio sababu ya kuhalalisha dhuluma na zahama za seyid said na vizazi vyake zanzbar kabla ya mapinduzi matukufu
 
Mzee wangu unakwepa hoja!!!!Ukoo wangu umekuepo pwani hata kabla ya ujio wa waarabu,wahindi na wachina!!!!!Tatizo mzee wangu historia ya pwani ya afrika mashariki unajua imeanzia kwa waarabu tu!!!!Nataka nije kukupa somo kidogo kuhusu wabantu wa afrika mashariki
Nelson,
Sawa tutakusikiliza lakini leo hayo hayana maana.

Tuko hapa kuondoa chuki.
 
Au na wewe ndio wale mnaobeza mapinduzi matukufu ya kuwaondoa wazalimu na walowezi wa kikoloni zanzbar 1964??????Kama wale ndugu zangu wanaolibeza azimio la Arusha?????

Waarabu hata Hao wazungu waliokuletea ukristo hawana lugha zako wewe

Huyo dada unaemsema ameenda kufanya kazi Oman ana sifa za mfanyakazi wa ndani? Ana hata certificate ya Nutrition?

Nchi za Ghuba nyingi wafanyakazi wana Union zao na wapo protected, wengi hutoka Ufilipino na India na mishahara ni mizuri sometime inazidi milioni 1 kwa mwezi.

Kuna watanzania kibao wanafuata utaratibu na wanafanya kazi hizo nchi za kiarabu huku wamejenga na wana maisha mazuri tu.

Hao mnaowasema nyie ni wale wanaoingia kienyeji, wanatafutiwa kazi na madalali na hata ubalozi haujui kama wanafanya kazi kule. Mwisho wa siku wanaenda kuajiriwa na masikini wenzao ambao hata sio raia sometime.

Vaa viatu vya hao raia wa Gulf, unaingiza bilioni kadhaa kwa mwaka, utataka mtoto wako alelewe na mtu ambaye hajui hata Vitamin B ni nini?
Kaka unajaribu kuwatetea watu wa nasaba yako nakuelewa kaka!!!!Lakini ukweli upo wazi na ndio maana tukafanya mapinduzi matukufu 1964
 
Wewe ndio una chuki kwa kuficha mabaya aliyofanya seyid said na vizazi vyake zanzbar kwa kisingizio cha unasaba wa kidini

Kwani waliyofanyiwa ASP na kanisa hayafichwi ? Wako wapi Jaha Ubwa , Othman Sharrif, Twala, na wengineo ? History yao mbona haisemwi?
 
Mzee wangu hata sisi hao watu wenye nasaba na nyinyi wamefanya maovu mengi sana kwa jamii zetu za kibantu ukanda wote huu wa afrika mashariki!!!Unasaba wa kidini na kindugu usiwe sababu ya sisi kutoongelea dhulmati na zahama na ubaguzi uliofanywa na waarabu kabla ya mapinduzi!!!!Afu kuingiliana na kuoleana kulikua katika mfumo upi kabla ya mapinduzi 1964??????Je kuna mbantu yoyote aliruhusiwa kumuoa binti wa kiarabu?????
Umefahamishwa nini dhuluma na hao Mapadri wako?

Hii utaitaje?

Lakini hilo halizuii wala kuhararisha dhuluma ya masultani wa zanzbar kwa watu!!!!!Kwanini mnauogopa ukweli ambao mzee karume aliuweka wazi?????
Waachie Wazanzibari waiseme wenyewe,

Mwanzo umesema Zuluma/zulma ukasahihiswa, sasa hivi umesema Dhuluma, mimi si Mzanzibari ila kwa Lafudhi tu yako naona wewe sio Mzanzibari.

Haimake sense kwa mtu anatoka bara mambo yanayoendelea pwani yanamuuma sana kuliko watu wa pwani wenyewe.

Na huu uongo munaoupakaza unadudumiza Taifa, Hao masultani wa Zanzibar ni pride ya Nchi wafundisheni watoto mashuleni waambieni pia sio wote walikuwa waarabu walikuwepo weusi pia.

Hizi Propaganda zenu zinafanya watu kuwa na mentality ya kitumwa, mtoto toka kazaliwa anaambiwa babu yako mtumwa, mweusi hana IQ, Mweupe ana Akili etc hizi blah blah zenu zimetengeneza Nchi isio na Confidence na isiyojiamini.

Ila mungefundisha Historia ya Ukweli, kwamba wakanda sio Finction tu bali kulikuwepo watu weusi na walikuwa Wafalme waliongoza na walikuwa na Elimu ya Hali ya Juu.

Nimekupa Mfano wa huyo Humudi, Sio tu Alikuwa Sultan Mweusi wa Zanzibar, Jamaa alisoma Uingereza na Ana Tuzo kibao za Elimu alikuwa Kichwa, mifano ya Tuzo zake kama

  • King Edward VII Coronation Medal-1902
  • Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
  • Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
  • Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
  • Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
  • King George V Coronation Medal-1911
Prussia (Ujerumani), Italy, Uingereza, Ottoman (Uturuki), Portugal kote jamaa ana Tuzo, mtu kama Huyu ndio wewe mtu mweusi ulitakiwa umjue, ila munawaficha na kuwaita masultan waovu, badala yake mnafundisha watoto kwamba wahenga wenu ni kina Mangungo.
 
Kaka huu uzi niliuweka kujadili mapinduzi matukufu ya 1964 na wale wanayoyapinga!!!!Mzee wangu saidi anaelewa!!!!Sitegemei mchango wowote wenye tija kutoka kwako!!!!Sababu wewe ni masalia ya hizbu!!!!
 
Waachie Wazanzibari waiseme wenyewe,

Mwanzo umesema Zuluma/zulma ukasahihiswa, sasa hivi umesema Dhuluma, mimi si Mzanzibari ila kwa Lafudhi tu yako naona wewe sio Mzanzibari.

Haimake sense kwa mtu anatoka bara mambo yanayoendelea pwani yanamuuma sana kuliko watu wa pwani wenyewe.

Na huu uongo munaoupakaza unadudumiza Taifa, Hao masultani wa Zanzibar ni pride ya Nchi wafundisheni watoto mashuleni waambieni pia sio wote walikuwa waarabu walikuwepo weusi pia.

Hizi Propaganda zenu zinafanya watu kuwa na mentality ya kitumwa, mtoto toka kazaliwa anaambiwa babu yako mtumwa, mweusi hana IQ, Mweupe ana Akili etc hizi blah blah zenu zimetengeneza Nchi isio na Confidence na isiyojiamini.

Ila mungefundisha Historia ya Ukweli, kwamba wakanda sio Finction tu bali kulikuwepo watu weusi na walikuwa Wafalme waliongoza na walikuwa na Elimu ya Hali ya Juu.

Nimekupa Mfano wa huyo Humudi, Sio tu Alikuwa Sultan Mweusi wa Zanzibar, Jamaa alisoma Uingereza na Ana Tuzo kibao za Elimu alikuwa Kichwa, mifano ya Tuzo zake kama

  • King Edward VII Coronation Medal-1902
  • Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
  • Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
  • Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
  • Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
  • King George V Coronation Medal-1911
Prussia (Ujerumani), Italy, Uingereza, Ottoman (Uturuki), Portugal kote jamaa ana Tuzo, mtu kama Huyu ndio wewe mtu mweusi ulitakiwa umjue, ila munawaficha na kuwaita masultan waovu, badala yake mnafundisha watoto kwamba wahenga wenu ni kina Mangungo.
Lazima uwatete wazazi wa Bibi yako kwa sababu sisi ASP tulikomesha udhalimu wa walowezi wa kiarabu unguja na pemba!!!
 
Back
Top Bottom