Wanaofanya haya, mwisho wa maisha yao utakuwa mzuri au mbaya?

Kufall in love na Msabato heri nidondokee islamic πŸ˜’


Nyie ndugu zetu Mbingu ni yenu,, kaeni hapo msubiri bus la kuwapeleka huko.
 
16. Watu wanaopiga nyeto(nikiwemo mimi)
17. Watu wanaopenda kupiga chabo(ndo ulevi wangu)
18.Watu wanaoombea wenzao wafe ili wapige hela(mimi ni mmoja wao nauzaga majeneza na sanda)
 
Hapo namba 7 eleza kidogo wanyama gani Mana wapo wengi kweli wanaoliwa 😁😁
 
Kabla hujaanza kutuhukumu je huyo atakae hukumu unamjuwa?

Na je hujui kila mtu na imani yake? Yaan imani yangu kuna mambo imehalalisha ambayo kwako ni haram[emoji23] na vise versa halali kwako kwangu n haram, so usiforce kufanana.

Subiri kihama kila mtu atahukumiwa kutokana na imani yake[emoji23][emoji23], kwanza huko mnakokuota hukumuni hakupo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usabato ni genge la Roman catholic, tofaut yenu ni ndogo sana na wao, mkitaka muwe watakatifu basi acheni kutumia kalenda iliyohasisiwa na mrumi, acheni kutumia biblia maana nayo iliandikwa na wahuni wa kirumi,

Kuna mengi hamyajui mnafuata mkumbo tu, dini na madhehebu yote yako chini ya mkatoric, hakuna aliye sahihi maana nyote mnatumia uongo ule ule[emoji23][emoji23].

Ukitaka ujitenge na Upapa basi ikane dini na mafundisho yake, or otherwise unapoteza muda
 
Waambie!
 
Jeeeeesuuuus is loooooord ...receiiiiveeeee receive. Receive ya nyoko.... Mpeni Kaizari yaliye yake kaisari mpeni Mungu yaliye yake Mungu. Na hakuna aliyeenda huko akarudi hata wewe hujui hilo .... Maneno meeeengi hata jirani yako tu haumjali kumbaafu.
 
Vipi kuhusu wanaomcheka mleta mada? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aaaah wapi ....nakaaa nao mtaa Mmoja hapa kanisa lao ndio utachoka hayo mavazi yao kwanza siku hizi wasabato hawanyoi tena kama POLICE COLLEGE
Ni rahisi Sheikh kchangamana na mkatoliki kuliko Msabato
 
Kufall in love na Msabato heri nidondokee islamic [emoji19]


Nyie ndugu zetu Mbingu ni yenu,, kaeni hapo msubiri bus la kuwapeleka huko.
Utaweza kuvaa juba bibie maana unywele wako anatakiwa auone mume tu

Hakuna kuringishia tena mashosti msuko ulionyoa
 
Baada ya kusoma hiyo list na kujua imenigusa kwa asilimia 80% kila baadhi ya vipande nipo au sipo

Namalizia kusema tukutana motoni wanangu wote

Yule baliega wa gomzi najua nitamkuta huko hilo halina ubishi pamoja na mzabzab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…