Wanaofanya haya, mwisho wa maisha yao utakuwa mzuri au mbaya?

Wewe unahukumu kama nani? Utakuta yote uliyoandika hufanyi ila unao Uzinzi, unafiki, umbea, unafitini watu je utaenda mbinguni? Usijihesabie haki mkuu
 
Ongezea na hizi:

1. Wanaokunywa soda na pombe
2. Wasiosali siku ya Sabato
3. Wanaomuita Papa Baba Mtakatifu
4. Wanaokula nguruwe
5. Wanaokula wanyama wasiokuwa na kwato
6. Wanaokula samaki wasio na magamba
7. Wanaokula wanyama wasiocheua
8. Wasioamini katika roho ya unabii
9. Wasiompenda Nabii mkuu Ellen G. White
10. Wasioamini kuwa Papa ndiye yule Mpinga Kristo na Kahaba wa Babiloni aliyetajwa katika kitabu cha Ufunuo

Waadventista Wasabato bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
Namba 9 tu ndo inanitoaga nje ya reli
 
Mimi niulize tu,we ulijuaje kuwa hizo wanazosikiliza ni nyimbo za kidunia?
Basi hata wewe unatiketi namba 1 pale karibu na dereva mpo msafara wa kuelekea huko ukujuako!
 
Wazungu wenyewe waliotuletea dini wanatembea uchi, ni mashoga wewe unajifanya kuijua fini kuliko wao
 
Namaanisha baada ya muda wa hawa watu kuishi huku Duniani kuisha na wakaondoka. Huko watakapokwenda watakuwa na maisha mazuri au mabaya ?

Imekuwa kawaida ya watu kila kitu wanachoambiwa wao ni kupinga tu. Hawatengi muda wa kutafakari, Hawatengi muda wa kujiuliza kwanini mtu ameamua kuacha muda wa kufanya mambo yake hadi akawaambia hicho kitu, Hawatengi muda wa kufanya utafiti ,Hawatengi muda wa kusoma kitabu cha KWELI ambacho atapata majibu ya kweli.
Wao wanachojua ni kupinga tu .

Enyi wanadamu mnao sikia sauti hii naomba mzingatie jambo hili .Mtafakari , mpeleleze, muulize kwenye chanzo cha KWELI ambacho hutoa taarifa za kweli .Kisha mjiulize je wanadamu wote wanao fanya mambo haya Je wataweza kuwa na mwisho mzuri baada ya muda wao hapa Duniani kuisha.?

1) Wanaosuka kwa kuweka nywele bandia.
2) Wanaotumia vipodozi kubadili ngozi zao.
3) Wanaosikiliza nyimbo mbaya za kidunia.
4) Wasichana na wanawake wanao vaa nguo za kikahaba.Zinazo bana
5) Wanaovaa mapambo mbalimbali kwenye viungo vya miili yao.
6) Wanaopaka rangi tatoos na kuchora michoro mbalimbali kwenye miili yao.
7) Watu wanaowaomba watu walio kufa wakiitwa watakatifu
8) Watu wanaoomba kupitia bikira Maria.
9) Watu wanaopinga ubatizo wa maji mengi wakisema hauna umuhimu wowote ule.
10) Ubatizo wa watoto wachanga.
11) Ubatizo wa kunyunyizia maji.
12) Watu wanaotizama movies mbaya za ukatili za kutisha na uchawi.
13) Watu wanaopinga Karama ya kunena kwa lugha.
14) Watu wanaopuuza mambo ya IMANI YA KWELI . Wao wana amini katika sayansi pekee na akili za kibinadamu. Hawa amini chochote.
15) Watu wasiotenga muda wa kutosha wa kuwasiliana na Yule aliye waleta huku Duniani.Wao wanacho jali ni kazi na pesa tu na starehe na anasa na tamaa na majivuno .

NAAMINI UKIZINGATIA USHAURI HUU UTAWEZA KUFAHAMU KWELI ITAKAYO KUWEKA HURU.

TAFAKARI HAYO NA CHUKUA HATUA SAHIHI.

ASANTE NA NAKUTAKIA SIKU NJEMA
Msabato bogus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani unataka usikilizwe wewe tuuu?? Mtu akipinga ana sababu wewe pia msikilize...acha udikiteta wa kizamani huo........
Kumbuka Musa aliimba wimbo wa aina yake kuwakomboa wana wa israel.....imeandikwa usihukumu usije hukumiwa...ukitamani mtu aliye vaa nguo fupi umesha zini naye moyoni..... Ukiona mtu hakusikilizi weye ndo una dhambi....hata shetani anaijua Biblia tena kuliko weye.....wapi uliona Yesu anamtukana shetani??? Hata shetani ni mwana wa Mungu sana tu....tena wanapiga stori kuliko weye.. rejea kisa cha ayubu.... Wenzako wale wanajuana kuliko unavodhani...ivi nakuuliza mungu akimsamehe shetani si utajiua weye???...pia mie siyo lazima nimjue mungu wako wkt simjui.....Biblia imetaja miungu weeeeengi sana.. hata yesu ni mzungu sasa weye mtu mweusi wapi na wapi na yesu mkoloni??...atakufungia nje siku ya kiama wkt wazungu wanaingia bure paradiso. Labda uwe na hela...lkn vinginevyo kumuona yesu mzungu!!! muuza watumwa yule kazi iko....nasema utanitafuta..kwa mbinde siku ya kiama hayyyaaa...
 
Kufall in love na Msabato heri nidondokee islamic 😒

Nyie ndugu zetu Mbingu ni yenu,, kaeni hapo msubiri bus la kuwapeleka huko.
Loool baby love!! Uko sahihi kabisa..... njoo kwangu utaenda mbinguni tu nakuhakikishia....usiiepuuze neema hii ya sauti ikuitayo nyikani......mda ni sasa usije juta!
 
Namaanisha baada ya muda wa hawa watu kuishi huku Duniani kuisha na wakaondoka. Huko watakapokwenda watakuwa na maisha mazuri au mabaya ?

Imekuwa kawaida ya watu kila kitu wanachoambiwa wao ni kupinga tu. Hawatengi muda wa kutafakari, Hawatengi muda wa kujiuliza kwanini mtu ameamua kuacha muda wa kufanya mambo yake hadi akawaambia hicho kitu, Hawatengi muda wa kufanya utafiti ,Hawatengi muda wa kusoma kitabu cha KWELI ambacho atapata majibu ya kweli.
Wao wanachojua ni kupinga tu .

Enyi wanadamu mnao sikia sauti hii naomba mzingatie jambo hili .Mtafakari , mpeleleze, muulize kwenye chanzo cha KWELI ambacho hutoa taarifa za kweli .Kisha mjiulize je wanadamu wote wanao fanya mambo haya Je wataweza kuwa na mwisho mzuri baada ya muda wao hapa Duniani kuisha.?

1) Wanaosuka kwa kuweka nywele bandia.
2) Wanaotumia vipodozi kubadili ngozi zao.
3) Wanaosikiliza nyimbo mbaya za kidunia.
4) Wasichana na wanawake wanao vaa nguo za kikahaba.Zinazo bana
5) Wanaovaa mapambo mbalimbali kwenye viungo vya miili yao.
6) Wanaopaka rangi tatoos na kuchora michoro mbalimbali kwenye miili yao.
7) Watu wanaowaomba watu walio kufa wakiitwa watakatifu
8) Watu wanaoomba kupitia bikira Maria.
9) Watu wanaopinga ubatizo wa maji mengi wakisema hauna umuhimu wowote ule.
10) Ubatizo wa watoto wachanga.
11) Ubatizo wa kunyunyizia maji.
12) Watu wanaotizama movies mbaya za ukatili za kutisha na uchawi.
13) Watu wanaopinga Karama ya kunena kwa lugha.
14) Watu wanaopuuza mambo ya IMANI YA KWELI . Wao wana amini katika sayansi pekee na akili za kibinadamu. Hawa amini chochote.
15) Watu wasiotenga muda wa kutosha wa kuwasiliana na Yule aliye waleta huku Duniani.Wao wanacho jali ni kazi na pesa tu na starehe na anasa na tamaa na majivuno .

NAAMINI UKIZINGATIA USHAURI HUU UTAWEZA KUFAHAMU KWELI ITAKAYO KUWEKA HURU.

TAFAKARI HAYO NA CHUKUA HATUA SAHIHI.

ASANTE NA NAKUTAKIA SIKU NJEMA
Ukienda tubali na fiji utashangaa sana. Wanaume wote wanavaa sketi
 
Back
Top Bottom