Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

Yan huwaga unanishngaza unajiandaa na full morale na kila kitu halafu mwisho wa siku unaghaili Shida ni nini lakini, sema kuna wazo nimegundua litakufaa nitakupa, hayo mafuta yataisha ila kwa nidham.
Uvivu tu, hamna kingine.
Ndo ujitahidi unibebe na ilo wazo tafadhali lisihusishe kuacha kula chips 🀣🀣
 
Lengo lako tujue umekutana na MZUNGU online leo.
Acha kuabudu wazungu.
 
Uvivu tu, hamna kingine.
Ndo ujitahidi unibebe na ilo wazo tafadhali lisihusishe kuacha kula chips 🀣🀣
Sichukui mtu wa hivi baki na mafuta yako.. Yani unatoka jogging unakuja kupumzikia kwenye Chips na peps daily.. Kama trainer na hela yako Narudisha sitaki dharau
 
Sichukui mtu wa hivi baki na mafuta yako.. Yani unatoka jogging unakuja kupumzikia kwenye Chips na peps daily.. Kama trainer na hela yako Narudisha sitaki dharau
Usinifanyie hivyo mwalimu πŸ˜†πŸ˜‹πŸ˜˜
Ndio mwanafunzi mgeni sasa, natakiwa kwenda aste aste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…