Tatizo siyo kula mlo mmoja, tatizo ni unakula nini katika huo mlo wako mmoja? Unatumia Sukari, Ngano iliyokobolewa na ya Kisasa? Mafuta ya kupikia ya aina gani unayotumia? Unafanya mazoezi na mazoezi ya aina gani? Je unakunywa Pombe? Unakula sana Cabs? Sasa kabla hujamlaumu Janabi jiangalie wewe kwanza.janabi muongo kuliko waongo, mimi maisha yangu nakula mlo mmoja tu saa kumi na moja jioni basi lakini bado nina kitambi na nina presha
Weka hoja yako sio matusi matusiYou have been brainwashed to believe so, nenda kasome tena.
Pitia uzi nishaweka hoja yangu kwenye moja ya replies. Alafu sijatukana ila nimekwambia ukweli kwamba una maarifa ya kupumbazwa yasiyo sahihi.Weka hoja yako sio matusi matusi
NonesensePitia uzi nishaweka hoja yangu kwenye moja ya replies. Alafu sijatukana ila nimekwambia ukweli kwamba una maarifa ya kupumbazwa yasiyo sahihi.
Ila pia kobe hanywi supuKabisa prof janabi alisema kobe hafanyi mazoezi kabisa anaishi miaka miasaba, jogging zinaleta magonjwa nyemelezi
Huyo jamaa ameandika facts ila itakuwa ngumu kumuelewa sababu tulisha Kengeja kwenye akili zetu kwamba jogging inaleta afya,kwa uzoefu wangu wa mambo ya mazoezi nikiwa kama binadamu aliyeshiriki michezo kwa kipindi kirefu,karate,football na basketball,naweza kueleza kuwa mazoezi yoyote kama yatafanywa bila kipimo maalumu yatamuumiza anayeyafanya,mfano wataalamu wengi wanashauri ufanye mazoezi kwa nusu saa kila siku ili mwili wako na mifumo yake iwe fit,sasa hebu fikiria mtu anayekimbia jogging kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa tatu asubuhi anakuwa ametumia masaa mangapi?na je huo mda mwingi wa mazoezi alioutumia umemletea afya au ameuchosha na kuuzeesha mwili wake.Kwa hiyo akili zako zinakubaliana na huyo mzungu
Wazungu wanavyosapoti ushoga, wewe unakubaliana nao??
Yaani mtu apate madhara kisa anafanya jogging??
Ficha ujinga wako
Siku tatu kwa wiki zinatosha kabisa kufanya mazoez na ukapata matokeo chanya kwa mtu mzima....Kwa wiki ni vizuri kukimbia au kutembea kwa siku ngapi?
Hata mimi kwa hali ya kawaida siwezi kunywa supu ya kondoo. Kwenye tambiko huwa ni lazima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hicho kitu siwezi labda kutumia mafuta yake kwa matambiko ila kula mkia wa kondoo thubutu
HahahahaIla pia kobe hanywi supu
Picha iko profile hapo.Tupostie picha yako hapa tukuone muonekano wako wa mwili kama uridhisha tutaacha, maana inavyosemekana mtu akitafuta excuse ya kutokufanya jambo basi hatoikosa.
Sasa eti mtu anakimbia kilometer hadi sita au kumi na hana vision ya kuwa mwanariadha kisa anataka atume takwimu za App ya adidas mitandaoni aonekane anakimbia.Nashangaa watu kuleta mashambulizi kwa mleta mada,mimi kila siku napanda ghorofa hadi ya sita,kwa miguu tena zaidi hata ya mara kumi,na huwa natoka jasho,uniambie nikafanye jogging ili nitafute nini?
Wewe ambaye kupata kwako riziki ni kwa kukaa muda mwingi ndiye unatakiwa ufanye hayo majogging napo ufanye kwa kiasi,ukixidisha ndiyo ile unakomaa unakua kama Kipchoge ambaye anaitwa kijana,ilhali ukimuona ni kama mbabu kabisa.
Mnamponda mleta mada kisa tena kamtaja mzungu,ilhali hata hizo jogging wamezileta haohao,madaktari wakitaka kujifunza sijui mambo ya upasuaji kwa njia ya kompyuta,wanaenda Ulaya kwa haohao wazungu kujifunza,then wanakuja huku kututibu,saa hizi mnamponda mtu kisa kataja mzungu.
Fanyeni jogging nyie mnaokaa tu,mimi siwezi na sina kitambi wala presha,maisha yangu ni zaidi ya jogging,mambo ya kukimbia bila kupima afya,matokeo yake ni kupanua mioyo yenu,mnaishia kulundikana cardiolgy mnasema mmerogwa,kumbe ni maxoezi bila mpangilio.
Huwezi kula vyakula vya kiwandani ili uje ufanye mazoezi.Mazoezi ya jogging ni mazuri kwa afya na uimara wa mwili hasa kwa nyakati hizi za vyakula vya viwandani .. Huyo mzungu ana lake jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula kina play part kubwa sana kwenye swala la afya kuliko jim na JogingSiku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi.
Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.
Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni Nike ambao walipromote hizo jogging ili wauze viatu huko US. Hii ilikuwa mwaka 1965.
Haina maana kukimbia klm hadi 10 eti kiafya wakati ungetembea kwa miguu klm hata moja na unakuwa fiti kabisa.
Wengi wa joggeres waliokubuhu wanasura za Kichovu, kizee na zisizo na nuru. Wale chronic joggers, Pia hapo baadae watakuwa wanaugua magonjwa ya misuri na kutetemea.
Haijengi afya, inaua afya.
Ni hayo tu.
Ushauri:
The safiest exercise in the world is Walking.
Seems like unafosi kuandika vitu out of hojaHuyo jamaa ameandika facts ila itakuwa ngumu kumuelewa sababu tulisha Kengeja kwenye akili zetu kwamba jogging inaleta afya,kwa uzoefu wangu wa mambo ya mazoezi nikiwa kama binadamu aliyeshiriki michezo kwa kipindi kirefu,karate,football na basketball,naweza kueleza kuwa mazoezi yoyote kama yatafanywa bila kipimo maalumu yatamuumiza anayeyafanya,mfano wataalamu wengi wanashauri ufanye mazoezi kwa nusu saa kila siku ili mwili wako na mifumo yake iwe fit,sasa hebu fikiria mtu anayekimbia jogging kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa tatu asubuhi anakuwa ametumia masaa mangapi?na je huo mda mwingi wa mazoezi alioutumia umemletea afya au ameuchosha na kuuzeesha mwili wake.
Watu wanatakiwa wajue kutofautisha kati ya mazoezi ya kuupa afya mwili na mazoezi ya mtu anayetafuta fitness kwa ajili ya mashindano au mechi fulani.