Wanaogoma kuichangia pesa Chadema kwenye mikutano yake ya hadhara, wamechoka, hawana pesa au wamegundua wanatapeliwa?

Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?

Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?

Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni kisasi gani kimepatikana kama walivyokua wakitangaza awali, tena kwa mbwembwe kweli.

Ni nini mbaya imetokea aise?

Kama mdau wa siasa jukwaani, Unadhani ni kimewafanya wanachadema kusita kuchangia pesa kwaajili ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzaniani

I think ni hali ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja kuwa mbaya zaidi,

Hakuna Ajira, bidhaa zimepanda bei, Yan kiujumla maisha yamekuwa magumu sana kwa watu wa hali ya chini

Nadhani hii ndio sababu watu hawatoi ela za kuchangia chama,

Ndio maana hata kwenye mikutano watu sio wengi, me ningewashauri chadema watumie njia ya kile chama kingine, wapike wali uwanjani na kuwabeba watu kwenye Malori kama magunia ya mbaazi
 
kwanini hawataki kabisa kusikia habari za michango?

au kuna kiongozi wa kitaifa akionekana tu kwenye mkutano wa hadhara, wanachadema wanapigia mstari kwamba hapa tukichangia tu, tunapigwa?

unadhani ni nani huyo?🐒

Mmmh nadhani ni yule YUDA
 
I think ni hali ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja kuwa mbaya zaidi,

Hakuna Ajira, bidhaa zimepanda bei, Yan kiujumla maisha yamekuwa magumu sana kwa watu wa hali ya chini

Nadhani hii ndio sababu watu hawatoi ela za kuchangia chama,

Ndio maana hata kwenye mikutano watu sio wengi, me ningewashauri chadema watumie njia ya kile chama kingine, wapike wali uwanjani na kuwabeba watu kwenye Malori kama magunia ya mbaazi
hiyo homa na huo ugonjwa umeanza lini gentleman 🤣
 
Wameona CHADEMA inataka kuwafanya wafuasi wake chuma ulete na Manyumbu yasiyojitambua . Sasa wameamka na kuanza kuona ukweli baada ya kuona akina Bon yai wananenepa Mashavu na matumbo huku wao wakikondeana tu kama ndama aliyekosa maziwa

Ni kweli kabisa wameona waachane na porojo za chadema wakajiunge na kikundi cha wezi na mafisadi
 
Wameona CHADEMA inataka kuwafanya wafuasi wake chuma ulete na Manyumbu yasiyojitambua . Sasa wameamka na kuanza kuona ukweli baada ya kuona akina Bon yai wananenepa Mashavu na matumbo huku wao wakikondeana tu kama ndama aliyekosa maziwa
na kwakweli wametapeliwa kwa muda mrefu sana na hawaoni manufaa ya wanachochangia
 
I think chadema wameona na wao bora watapeli watu tu, coz hata chama kikuu kinafanya the same,

Bora wote sasa wawe matapeli tu wa siasa
 
mimi sijui na wala sifahamu chochote kuhusu hizo hisia na mtazamo wako.

yangu yote nimeyaeleza kinagaubaga kwenye hoja ya msingi mezani 🐒
 
Hoja yako ni sahihi na mimi naunga mkono ila nimejaribu tu kukueleza kuwa kuna lichama lingine ni wezi wa kuaminika zaidi ya matapeli chadema
 
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?

Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?

Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni kisasi gani kimepatikana kama walivyokua wakitangaza awali, tena kwa mbwembwe kweli.

Ni nini mbaya imetokea aise?

Kama mdau wa siasa jukwaani, Unadhani ni kimewafanya wanachadema kusita kuchangia pesa kwaajili ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzaniani

Kwa vile michango ni midogo ndiyo unafikiri wamegoma. Watanzania ni Maskini hawana pesa.

CCM wao wakitaka michango wanawaita MAPONJORO wachache tu wanakusanaya BIllion 1. Hilo haliwezekani kwa chama cha maskini au wanyonge.
 
Huwa kinakunogesha sana hicho cha -Kugoma kwenda-!!??
 
Kwa vile michango ni midogo ndiyo unafikiri wamegoma. Watanzania ni Maskini hawana pesa.

CCM wao wakitaka michango wanawaita MAPONJORO wachache tu wanakusanaya BIllion 1. Hilo haliwezekani kwa chama cha maskini au wanyonge.
midogo kivipi gentleman?
kwani hicho kidogo mlikua nacho? na ikiwa kidogo mbona kilikua kinatangazwa?
Na huo umaskini umeanza baada ya kugoma kuchangiwa pesa, right?

Lakini pia kama hakijapatikana kitu si ni vizuri kueleza pia kwa faida ya wadau wa Jf?🐒
 
Yes,
it's true gentleman,
Tanzania is going to be more powerful country, united and more stronger than before 🐒
Screenshot_20260520-120305~2.png
 
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?

Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?

Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni kisasi gani kimepatikana kama walivyokua wakitangaza awali, tena kwa mbwembwe kweli.

Ni nini mbaya imetokea aise?

Kama mdau wa siasa jukwaani, Unadhani ni kimewafanya wanachadema kusita kuchangia pesa kwaajili ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzaniani
Ila wanataka mabasi na malori ya bure kuwapeleka kwenye mikutano,wasanii wakubwa kama akina Ally Kiba, Diamond, Harmonize n.k waje kutumbuiza bure, t-shirts za bure,bila ya kusahau pesa za bure kwa bodaboda ili wajaze mikutano na wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ni muhimu sana kwenye mikutano ya CHADEMA.
 
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?

Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?

Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni kisasi gani kimepatikana kama walivyokua wakitangaza awali, tena kwa mbwembwe kweli.

Ni nini mbaya imetokea aise?

Kama mdau wa siasa jukwaani, Unadhani ni kimewafanya wanachadema kusita kuchangia pesa kwaajili ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzaniani

Mimi sipendelei kujadili mambo ya siasa ILA Umeshasema kuchangia...
Nijuavyo kuchangia ni hiari ya mtu, sasa sijui kwa nini tukae kujadili mchango mtu anayotoa kwa hiari yake?
 
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?

Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?

Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni kisasi gani kimepatikana kama walivyokua wakitangaza awali, tena kwa mbwembwe kweli.

Ni nini mbaya imetokea aise?

Kama mdau wa siasa jukwaani, Unadhani ni kimewafanya wanachadema kusita kuchangia pesa kwaajili ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzaniani
Mbona hujaweka hiyo video tuwasikie waliogoma?
 
Gentleman,
kwani wafuata mkumbo walivyokua wanaeleza humu jukwaani kwamba Dodoma wamevunja rekodi ya kuchangia pesa kwa kukusanya laki5, walikua wanaweka video?🐒
 
Back
Top Bottom