Wanaogoma kuichangia pesa Chadema kwenye mikutano yake ya hadhara, wamechoka, hawana pesa au wamegundua wanatapeliwa?

Wanaogoma kuichangia pesa Chadema kwenye mikutano yake ya hadhara, wamechoka, hawana pesa au wamegundua wanatapeliwa?

Gentleman,
kwani wafuata mkumbo walivyokua wanaeleza humu jukwaani kwamba Dodoma wamevunja rekodi ya kuchangia pesa kwa kukusanya laki5, walikua wanaweka video?🐒
Toa sababu personally kwann hujaleta evidence ya video!! Unaleta vp utetezi kwa kuangalia wengine, kwahiyo wengine hao wakpigwa pumbu naww utawaiga?
 
Toa sababu personally kwann hujaleta evidence ya video!! Unaleta vp utetezi kwa kuangalia wengine, kwahiyo wengine hao wakpigwa pumbu naww utawaiga?
Gentleman,
mbona zilipokua zikitolewa taarifa za kiasi cha michango ya pesa ya mahali tofauti tofauti kuvunja rekodi haukua na kiherehere cha kudai uthibitisho wa video uone jinsi wafuata mkumbo walivyokua wakichangia?

au ulikua unasinzia tu 🐒
 
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?

Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?

Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni kisasi gani kimepatikana kama walivyokua wakitangaza awali, tena kwa mbwembwe kweli.

Ni nini mbaya imetokea aise?

Kama mdau wa siasa jukwaani, Unadhani ni kimewafanya wanachadema kusita kuchangia pesa kwaajili ya chama chao?🐒

Mungu Ibariki Tanzaniani
kuna kamsemo ka kiinglish kanasem, " You cannot fool all the people the all time"! Watu wameshtuka wanaibiwa mchana kweupe. Mtoto wa Lissu anaishi Ulaya, halafu eti "Kamanda" anayeishi Nanjilinji kijijini anaambiwa amchangie! ahahahahahahah!!!!!!!
 
Gentleman,
mbona zilipokua zikitolewa taarifa za kiasi cha michango ya pesa ya mahali tofauti tofauti kuvunja rekodi haukua na kiherehere cha kudai uthibitisho wa video uone jinsi wafuata mkumbo walivyokua wakichangia?

au ulikua unasinzia tu 🐒
Nipo Very specific... Weka evidence ya video tuone usilete paruparu za kuleta mada nyingine!!
 
Back
Top Bottom