Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
Kabisa, hata mimi nimeonaUnatafuta vita na wasambaa 🤣🤣
Zumbe umshambaa kaibu lutindiNenda Tamota, nenda Bungu, nenda Sheshui, Nenda Ambangulu, nenda Lutindi, nenda Kwemshai, nenda Kemagoda, nenda Kunga, Kushoto, nenda Irente, Soni, nenda Dakarani, nenda ..... Usambaani kote kaone watu wa kazi wanavyozalisha.
Kakae Mombo na Korogwe uone jinsi makenta yanavyoshusha bidhaa toka Usambaani. Halafu urudi tena na thread yako hii.
Mkuu una mawazo kama yangu,kile kuna vibinti vyeupe ee vina adabu na vichapakazi aswaa,nakosa tu pakuanzia ila wanawake walushoto ni wife materialWasambaa ndo kabila ambalo Lina wanawakee wanaongoza kwa kuolewa hawachagui mume Wala kabila Bora mtu kafata talatibu zao ata Mimi Niko mbioni kuoa msambaa wa rushoto
Hivi Hawa wasambaa sindio wamepakana na wapare wa sameNenda Tamota, nenda Bungu, nenda Sheshui, Nenda Ambangulu, nenda Lutindi, nenda Kwemshai, nenda Kemagoda, nenda Kunga, Kushoto, nenda Irente, Soni, nenda Dakarani, nenda ..... Usambaani kote kaone watu wa kazi wanavyozalisha.
Kakae Mombo na Korogwe uone jinsi makenta yanavyoshusha bidhaa toka Usambaani. Halafu urudi tena na thread yako hii.
Nahisi ndio wenye milima tanga nzima [emoji3] ile milima ya usambaaPale unapofikiria kwa makalio...wasambaa ndo matajiri Tanga na Wana elimu Tanga fuatilia wakina professor Riziki Shemdoe, Kijazi marehemu, Shekilango mpaka ana mtaa hapa Sinza. Wasambaa ndo advanced na wachapakazi hata kwa sura nzuri na interaction na wazungu wapo.
Kama unabisha fuatilia watu wengi Serikalini kwa wanaotoka Tanga ni kabila gani hayo majina ya "She" yapo kibao na ni wachapakazi .
Soko la Mgandini ni wasambaa ,kule chuma na Ngamiani ... Tajiri kama Shehoza ni msambaa ni wachache sana kwa umaskini Wasambaa. Nilikaa hapo ukienda pale 15 ni wafanyabiashara wakubwa.
Nenda mpaka Arusha ,Dar, Moshi kaone balaa la wasambaa ..
Wadigo ujuaji mwingi kujua kiswahili wanajifanya wanajua kila kitu.
Wadigo wamechanganyikiwa maana Tanga yote ni Wasambaa 2025 madiwani wote tutachagua wasambaa ili mchanganyikiwe zaidi.Ss sio wavivu kama nyie.
Zumbe umshambaa kaibu lutindi