TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Kunena kwa lugha ni kupi? Ndio huku ambako kanisa zima wanaongea lugha isiyoeleweka na hamna mwenye karama ya kutafsiri?Super Intelligence haiwezi kukufanya unene kwa lugha. Hiyo ni kazi ya Roho Mtakatifu tu. (Mdo 2:4).
Hilo ndo kusudi hasa la AI. Setfree aone mashahidi mmeanza kujitokeza, maana wakati mwingine Roho Mtakatifu hatafsiri ndoto yako kwa haraka, unaingia AI.Kweli, yale maswali nilokuwa namuuliza roho saivi nauilza AI tu
Hivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo zisiwafikie watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili.
Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi kuwa "SI" yaani Super Intelligence. Wabunifu wa jina hili jipya wameona kuwa kuendelea kuiita teknolojia hii mpya "AI" ni kuifanya ionekane feki, wakati hii ni teknolojia ya hali ya juu na yenye kupendeza.
Mimi naungana nao kwa asilimia 200, kwa sababu teknolojia hii inatimiza unabii wa Daniel kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka (Dan 12:4). Kubadilishwa kwa jina hilo kutaifanya pia teknolojia hii ipendwe na watumishi wengi wa Mungu, na hivyo kuifanya Injili ihubiriwe kwa kasi zaidi ulimwenguni pote, na kutimiza tena unabii wa Yesu Kristo mwenyewe kwamba Injili ikiishahubiriwa ulimwenguni pote, hapo ndipo mwisho wa dunia utakapokuja (Mt 24:14).
Kuanzia leo teknolojia hii ukiiita AI utaonekana umepitwa na wakati. Wenzako sasa tunaiita Super Intelligence. Wabunifu wa maneno ya Kiswahili sijui wataiitaje; muda utaongea.
Haya jamani watumishi wenzangu wa Mungu, tuchangamke, tuitumie Super Intelligence(SI), kuandaa video, nyimbo, tafsiri, vipindi na makala mbalimbali zinazofikisha Ujumbe wa Kristo kwa watu wengi zaidi. YESU YU KARIBU KURUDI(Ufu 22:10-12).
Hivi hapa vifungu vya Biblia vinavyoonyesha ukweli wa kisayansi karne nyingi kabla wanasayansi hawajagundua mambo ya kisayansi kwa kutumia mitambo:
1. Umbo la Dunia: Isaya 40:22 inasema, "Yeye ndiye anayeketi juu ya duara la dunia..." Aya hii ilitaja umbo la duara (sphere) la dunia wakati ambapo mataifa mengi ya kale walikuwa wanaamini dunia ni bapa.
2. Fizikia na Jiolojia: Ayubu 26:7 inasema, "Yeye hutandaza kaskazini juu ya nafasi tupu, na kuining'iniza dunia pasipo na kitu." Maandiko haya yanathibitisha kuwa dunia iko angani bila kushikiliwa na nguzo yoyote, jambo linaloendana na sheria ya sasa ya nguvu ya uvutano (gravity).
3. Mzunguko wa Maji: Mhubiri 1:7 Inasema, "Mito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena." Huu ni ufafanuzi kamili wa kisayansi wa mzunguko wa maji (hydrological cycle). Mvua inanyesha, inaingia mtoni/baharini, maji yanayeyuka na kurudi hewani kuwa mawingu.
4. Uhai na Tiba: Mambo ya Walawi 17:11 inasema, "Kwa kuwa uhai nguvu za mwili u katika hiyo damu." Hadi karne ya 19, matabibu walikuwa wanatibu wagonjwa kwa "kunyonya damu" (bloodletting), jambo lililoua watu wengi (akiwemo George Washington). Biblia ilionya mapema kuwa uhai unategemea damu.
Katika Mithali 4:13 tunaambiwa pia hivi:
"Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako."
Elimu inayozungumzwa hapo ni pamoja na elimu ya sayansi inayotufundisha kuchemsha maji ya kunywa ili kuua vijidudu vya magonjwa, kupiga mswaki, kula vyakula vya aina zote badala ya kuchagua chagua, kuoga, kufua nguo. Yote hayo ni sehemu ya elimu ya sayansi na yanakubalika kibiblia.
Nilishawaambia Biblia ina hazina nyingi zilizojificha, lakini watu wamedanganywa na shetani wasiisome wakaerevuka.
Anza leo kusoma Biblia utagundua mambo mengi ya kukusaidia kiafya, kielimu, kikazi na kibiashara
cc: Manyanza Gunner11
Hii picha hujaona kwamba inasambaza Injili? Au unafikiri huyu ni mtu halisi?
View attachment 3676740
Pole sana, wewe ni miongoni mwa watu waliokuwa wanaipinga AI na kuiona kama kitu feki. Sijui unajisikiaje sasa 'kuhabarishwa' kuwa AI 'imepandishwa cheo' na kuitwa Super Intelligence (AI).🚮🚮😀 Vilevile inasema Dunia iliumbwa kwa siku tu. Sisi wote ni familia ya Nuhu, jua lilisima siku 3, kulikuwa na mwanga kabla ya jua, Dunia ilianza ikafuata jua na nyota nyingine. Aya bhan kama Biblia imekuwa sayansi siku hizi nawapongeza.
Mungu akuhurumie, yasikupate yaliyompata huyu aliyekuwa akifanya uchafu huoHii kama ni wewe naenda kuipigia nyeto polepole. Hapa unafanya vijana wanaipenda injili polepole huku wakiburudika.
Pole sana, wewe ni miongoni mwa watu waliokuwa wanaipinga AI na kuiona kama kitu feki. Sijui unajisikiaje sasa 'kuhabarishwa' kuwa AI 'imepandishwa cheo' na kuitwa Super Intelligence (AI).
Njia za Mungu hazizuiliki. Injili sasa itahubiriwa kwa viwango vya juu sana kwa kutumia Super Intelligence. Hata Wachina watasikia Injili.
约翰福音 3:16
神爱世人,甚至将他的独生子赐给他们,叫一切信他的,不至灭亡,反得永生。

Mungu akuhurumie, yasikupate yaliyompata huyu aliyekuwa akifanya uchafu huo
Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa kipigo?
Mtu huyu alipigwa na Mungu mwenyewe. Ilikuwa hivi: alianza kuhisi hali isiyo ya kawaida katika macho yake. Akaenda kufanyiwa check-up katika hospitali kubwa, ya kisasa, yenye daktari aliyebobea katika kutibu magonjwa ya macho. Akaambiwa kuna vipele vipele vidogo pembezoni mwa macho (kwa ndani)...
- Setfree
- kipigo kufanya
- Replies: 139
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Sio confidence, ni reality, tembelea youtube usearch channel hii @TheAIBibleOfficial - created by Pray.com, this high-profile project brings stories from the Old Testament and the Book of Revelation to life through highly cinematic, blockbuster-style storytelling. Its visually powerful approach has attracted widespread attention from theologians and viewers alike, presenting the Bible as an expansive and interconnected “Marvel universe of faith” and making these timeless biblical narratives accessible to a new generation.Just be smart don't let AI give you such confidence
Hata huyo jamaa alikuwa anajitetea hivyo hivyo hadi hilo janga lilipomkuta ndio akabadilika.Punyeto sio mbaya na Haina madhara kiafya may be addiction. Watu wamekuwa wakifanya kwa miaka bil shida.
Sawa sikuhizi tunatengeneza roho chumbani kwetuRoho wa Mungu anapasa kuishi katika mwili wa mwanadamu anayeamini na kutimiza mapenzi ya Mungu.AI au SI ni roho wa mfalme wa anga(shetani)alifukuzwa na Mungu na kutumia anga kufanya kazi zake kuhadaa roho za binadamu ili waufuate ufalme wake.Tunapasa kuwa macho nyakati hizi
1. Principal kuu ya Sayansi ni kuthibitisha. Unaweza kuthibitisha Kuna mtu anaeketi juu ya duniaHivi hapa vifungu vya Biblia vinavyoonyesha ukweli wa kisayansi karne nyingi kabla wanasayansi hawajagundua mambo ya kisayansi kwa kutumia mitambo: