Wanaoishambulia ACT-Wazalendo kujiunga SUK wajiulize kama CHADEMA hawajapokea ruzuku ya Novemba 2020

Mimi nimehoji tu bwashee.

Bila ruzuku Mnyika na watumishi wote hapo Ufipa hawana mshahara ujue!
 
Badala ya kuleta ushahidi wa CHADEMA kupokea hiyo ruzuku, unataka sisi ndio tutafute ukweli ili hali wewe ndio umeleta hii habari!

Hata hivyo, hilo likitokea sitashangaa kwani niliwahi tabiri jambo kama hilo kufanywa.
Ana stress huyo anaona wapinzani wanakula teuzi yeye anasugua matako tu hapo kwa buku saba.
 
Nikiangalia siasa za hovyo za wanasiasa wetu,natamani Kama wangeangalia mahojiano yaliyofsnywa na mtangazaji wa citizen,Sam,yenye title"UHURUTO MAZE"na waliokuwa viongozi wa Jubilee part,Isaac Mwaura,Aden Duale,na Kipchumba Murkomen,
Yaani watu wanaongea kwa weredi balaa,kila kitu kinawekwa wazi,sio huku kwetu ni kusifia tu,au kushindwa kujibu maswali.
 

Kamuamshe marehemu Sita au mfuate mama Samia wao ndio walikuwa maspika wa bunge la katiba, wawaulize zile pesa ambazo wabunge wa ukawa walitoka bungeni walizipeleka wapi?
 
Kamuamshe marehemu Sita au mfuate mama Samia wao ndio walikuwa maspika wa bunge la katiba, wawaulize zile pesa ambazo wabunge wa ukawa walitoka bungeni walizipeleka wapi?
Zile hazikuwa ruzuku bwashee!

Ruzuku ni lazima ushiriki uchaguzi na upate matokeo ya kuridhisha!
 
Politics is"who,gets where and how"
 
Maendeleo hayana chama chedema lazima wapokee pesa ili waendelee utaendeleaje kwa kususa na kuzira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…