Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Narudia na nitaendelea kurudia tena, japo ni wake zetu,mama zetu,dada zetu,watoto wetu ila hawa hawa ndio wakala wa shetani hapa duniani.

Wanatuingiza kwenye matatizo na dhambi hapa duniani.

Kama unabisha,chunguza sana utakuja kuelewa.
Ni kweli 100% , usimuamini hata Mama YAKO MZAZI.
 
Uzi wenye machungu na comments zenye kububujikwa hasira kali toka kwa kaka zetu na waume zetu...kazi iendelee
 
I laugh when Men say they cannot understand women..

How can you understand something which was created when you were sleeping?
 
Kuna hadithi moja niliwahi kusimuliwa miaka ya nyuma siikumbuki vizuri ila kiini chake ni hiki;

Kijana mmoja alimuuliza babu yake mwanamke ni nani ? Babu akajibu , kuna bwana mmoja alikuwa ameoa katika kijiji fulani. Mwanamke alikuwa ana mahusiano na mwanaume mwingine yule bwana akaambiwa kuwa mkeo anaenda na mwanaume mwingine. Basi yule bwana akasema ataweka mtego, siku moja yule bwana akaambiwa kuwa mkewe ameonekana na mwanaume wanaenda kisimani. Yule bwana akaenda kisimani kufika, mwanamke akaanza kupga yowe huku analia kama alitaka kudhurika. Mumewe akamuuliza huyu nani ? Akasema huyu bwana uliyemkuta hapa ndiye msamaria kamuokoa asibakwe.

Mwisho wa babu kumsimulia mjukuu hadithi kuhusu mwanamke.
 
Noma Sana[emoji23]
 
Mwanamke ana mbinu 1000 katumie 13 tu
 
Haya lete papa nichakate
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Babu yangu alitania...

"Ukimuona mwanamume anamuongelea sana mkewe(sifa zake ,mambo yake mazuri, watoto wake) mbele za wanaume wenzake ujue huyo ZOBA(yaani beta male)[emoji1787][emoji1787]

#EverydayIsALearningDay
 
Wanasema....mpaka ukimjua mkeo ana mchepuko(Malaya) basi ujue "ameoza kitabia" na kila anayekuzunguka,umuonaye anazijua tabia zake [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji106][emoji1787][emoji1787]
 
Lofa huyo...[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…