Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

Yaani mke wa mtu anaweza kuwa anagongwa na mme akampgia simu na akaipokea huku anafiniyia ndani na akachukuwa maelekezo yote alafu mchezo ukaendelea pasipo shaka yoyote. Kuna kisa huwa natamani kukiweka hadharani lakini mara kadhaa ninasita kwani madhara yanaweza kuwa makubwa kuliko funzo.
[emoji1787][emoji1787]
 
Here is wanawake once agaaaaaain!! Uzi mwanana kabisa kutoka kwa malaika wetu watukufu.

Dj walete wazee wa "kataa ndoa" kwa wimbo wowote matata wa amapiano[emoji446][emoji441][emoji441][emoji441][emoji441]
Kwani kuongea maovu ya wanawake+wanaume ndio kukataa ndoa?!!!! [emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787]
 
Wanawake na wanaume wote ni wa ovyo na hakuna uharibifu bila uwepo wa wanaume

Unatongoza mke wa mtu hadi unampa mimba nani ni muharibifu? Na mwanamke unakubali kutoka nje ya ndoa nae ni mwehu Kwa kifupi wote hatuna akili.
Sasa wewe mke wa mtu mwenye kiapo mbele za Mungu ukichepuka 75% ya makosa ni yako....mwanamke ni mlinzi na msiri...unauzaje Siri za kambi?!!! Askari gani aliyeko lindo yuko hivyo?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana.

Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa tunasubiri muda wa kuwaona wagonjwa.

Jamaa akanisimulia mkewe alipata shida akiwa kwenye harakati za kutoa mimba aliyopewa na mchepuko wake wa mjini. Hayo amekiri mwanamke baada ya madaktari kuweka wazi kuwa alikuwa anatoa mimba. Tukirudi nyuma kidogo huyu mwanamke aliingia kwenye mgogoro na mumewe kwa madai kuchoka kuzalishwa kila mara. Wakakubaliana watumie kondomu kama uzazi wa mpango.

Lakini mwanamke akawa na mchepuko mji wa pili ambapo ni dhahiri hawakuwa wanatumia kondom. Wakati huku nyumbani jamaa analazimika kula kwa kondom mchepuko ulikuwa unakula kavu mpaka ukatia mimba ya kwanza. Kuogopa mgogoro yule shemeji akatoa mimba, akafanikiwa.

Ajabu ni kwamba hakuacha kuchekupa kwa yule jamaa. Tena aliendelea kuliwa kavu baada ya muda tena mimba ikajaa. Akaona isiwe shida akapanga tena kutoa. Akiwa kwenye harakati za kutoa ndo mimba ikagoma na afya ikawa tete. Kukimbilia hospitali ndio yote hayo yakabainika.

Wakuu huyu ndio mwanamke. Wanaojiona wanamjua sana mwanamke wanajidanganya. Mwanamke amekuwa sehemu kubwa ya migigoro ngazi ya familia. Mwanamke ndio mchochezi wa kuni anaweza kuwasha moto anaweza kuuzima na kila kitu.

Ishi kwa akili sana na mwanamke,kuna watu wanawaamini wake zao kwa 100%. Sasa ukipigwa tukio usitusumbue oooh bora nife-kufaaaaaa
Mwanamke sio kiumbe cha kuaminika (baadhi) lakini sio wote,waaminifu na wenye utii, ucha mungu, ukweli, ni 2/100.
 
Huo UPUMBAVU ndiyo tulionao siku hizi Me kwa kuiga iga mila zisizo zetu za kupitia tamthilia za Wafilipino.

Maisha ni wewe mwenyewe na kupanga ni kuchagua.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wale wafilipino waliberali?!!!
Mimi nimepiga marufuku kwangu....mwendo ni OTTOMAN tu [emoji1787][emoji1787]
 
Yani wanachosha wakat wao ndo waharibifu wakubwa
nani analawiti watoto?
Nani anaongoza Kwa kutoka nje ya ndoa?
Nani huwa wanalawit wanaume wenzao?
Nani analawiti wanawake?
Nani anakuza biashara ya ukahaba Kwa kuwa wanunuaji mahiri?
Walichotuzidi ni uhodari wa kulalamika na kuona wanaonewa watupumzishe kwanza
Ukiwatoa watoto(wanaowafanya ni wachache)...

Wasingekuwepo hao wanaolawitiwa kwa hiyari/makahaba hiyo michezo michafu ISINGEKUWEPO......[emoji1787][emoji1787]
 
Inasemwa "ametokea ubavu wa kushoto"....

Hebu chukua jiwe urushe na mkono wa kushoto uone litakwenda umbali gani kufananisha na la mkono wa kulia[emoji1787]

Basi ujue ukiweza kurusha mbali kwa mkono wa kushoto(ujue mko wachache) na hivyohivyo wanawake WEMA na WAELEWA ni wachache sana [emoji1787][emoji1787]
 
Wanawake ndio watu wabaya sana, yani unampa mmeo na kondom alafu mchepuko kavu duh inasikitisha sana.
Kipindi anatongozwa kwa nini asiseme mimi ni mke wa mtu sitaki, singizia basi unaukimwi[emoji23][emoji23]
Kama hakuogopa mimba ataogopa UKIMWI?!!! [emoji1787][emoji1787]

Wengi wanaogopa mimba zaidi ya HIV.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua Kuna malipo ajiulize yeye hajawahi kula mke wa mtu kweli [emoji3]sema huenda kazidiwa mkew kapewa na mimba [emoji23][emoji23]
".....na mtu alalaye na mwanamke nje ya ndoa hana akili...."

#YetzerHatov[emoji120]
 
Yaani siku hizi wako na gubu hata shetani anaogopa. Isitokee mwanamke kafanya jambo tu, baaasi watalishikia bangooo hatari wakati wana matukio hayaelezeki [emoji134][emoji134][emoji134]

Ila hii kampeni ya kumchafua mwanamke sii bure, kuna kitu nyuma yake.

Basi oaneni wenyewe mridhike.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usipaniki dada...sasa wakioana wenyewe si ndio ANGAMIZO la Sodoma....kwani kuna mtu amesema mwanamke hana maana na thamani duniani?!!!

Bila ya mwanamke na mwanaume tutazalianaje sasa?!!! [emoji1787][emoji1787]
 
Angalia hapa:
Adamu aliponzwa na mwanamke
Samson aliponzwa na mwanamke
Rutu aliponzwa na mwanamke
Mfalme suleiman aliponzwa na mwanamke
Dola ya rumi chanzo cha kuanguka ni mwanamke

Ndio maana vitabu vitakatifu vikawaasa wanaume muishi nao kwa akili sana maana anaweza kua analia usoni kumbe moyoni anacheka tu na anaweza kua anacheka kumbe usoni analia ni vyema kua makini sana .mwanamke sio kiumbe dhaifu kama wengi mnavodhani, kama aliweza kupanga mipango na nyoka unadhani atashindwa kupanga nini huyu kiumbe
[emoji1787]
 
Hii umeandika tu hujakutana na wazee hizo mambo mwenyewe utarudisha mpira kwa kipa. Kuna mabaharia wakiamua hata mwaka wanautenga ili wakupige mambo. Nataka nikwambie jambo moja mtu yeyote akishaingia kwenye ndoa concentration ya mambo ya mapenzi inapungua, iwe mwanamke au mwanaume na wengi tunajikita kwenye issue ya maisha, kama kutafuta hela, kujenga na kusomesha watoto.
Hapa ndo mabaharia huingia na niwaombe samahani kwa kutoa siri za kambi. Hapa baharia atatenga muda ili tu akuvue nguo atahakikisha kwa siku anakujulia hali hata mara nne, yaani asubuhi, mchana, alasiri na jioni.
Huambatana na vijizawadi vidogo vidogo tu ambavyo havilingani thamani na vile alivokupatia mmeo. ( Wanawake wa kileo mtaanza kumwita baharia ROMANTIC) hahaha yaani ngoja nicheke. Ghafla utajikuta mwenyewe unampangia ratiba ya muda gani mzuri wa kuwasiliana na wewe.

Mzee baba akirudi nyumbani ana stress, watoto wanataka ada, chuo boom halijatoka, mara mzigo umekwama bandarini, gari imegonga nk. Akijitahidi anagonga kimoja na hana story analala usingizi. Baharia akija kwa sababu akili yake ameiandaa kwa ajili ya hayo mambo nawe umejiandaa kwa ajili hizo mambo, mechi inakuwa finali kila mmoja anaonyesha uwezo wa kumili dimba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ufanye kazi kwa nguvu....
Yaani uipe familia maisha CLASS...
Yaani ucheze na watoto.....

Halafu upige "mechi za kibaharia" kila panapokuwa na "mechi"?!!! [emoji1787][emoji1787]Aaaaa blaza uongooo huo [emoji1787]
 
Jamaa yangu ameniita juzi na kunieleza haya yafuatayo.....

Japo naye ana makosa kwa hatua aliyochukua ila hebu fuatilia haya niyajuayo.......

Alikuwa na ugomvi na mke yapata miaka 2 iliyopita...hawakuweza kusuluhishwa na wazazi+ viongozi wa dini...jamaa akaamua amrudishe kwao lakini akienda kumpa matumizi ya chakula na vitu vidogovidogo....alibaki nyumbani na watoto 3(miaka 12,7,5) pamoja na housegirl.....aliendelea kuichakata mbususu siku mojamoja lakini si kwake.....aliacha kuichakata mbususu yapata mwaka 1 uliopita baada ya bibiye kuendeleza matukio ya "kugawa" hukohuko kwao [emoji1787][emoji1787]

Sasa kisa cha kulitoa la moyoni ni kuwa bibie ni mjamzito wa miezi saba na mwamba aliacha kuisigina mbususu yapata mwaka na kidogo [emoji1787][emoji1787]
Mwamba anatia huruma kwa kweli......
 
Kumbe shida ni nyie kuwa busy na maisha kwaiyo kutenga muda hata weekend na mkeo hamna Sasa mnatarajia Nini alafu mnalalamika
Banaa weeee siku 6 tuko bize kulala mida ya wanga kuamka majogoo unadhani hiyo siku moja ya kupumzika+kucheza na watoto+ kazi za bustani(hobby kwetu wengine) ,asubuhi kufanya mazoezi ,kwenda kunywa kahawa+other men's talk,kurudi kwenu kuchat nanyi...halafu tuichakate mbususu ukweli wa kuichakata mpaka mridhike na msitake michepuko(mabaharia) halafu majogoo ya siku inayofuata tuamkie katika "cycle" ya kila wiki?!!! Mmmmh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahahaha wanaume bhana. Hapa wote mnaungana na mtoa mada vizuri tu kama vile wote mmepigwa matukio.

Vipi kwani, hamkuoa bikra? Maana kwenye nyuzi za bikra karibia wote mnasema hamuwezi kuoa asiye bikra. Kwamba mabikra wana tabia njema.

Vipi hamkuoa wenye wapo 25years and below? Maana kwenye mada za hivo wote mmeoa wenye wapo under 24 maana wana maadili.

Vipi sasa, mbona mnalia lia kama vile wote mmeoa single mothers ikiwa humu hamtaki kuoa single mothers? Au hao bikra na under 25 nao wanawapiga matukio?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha tupate pa kupumulia humu....mmmh hii dunia hii....wacha tu tuendelee kuwahudumia ninyi na kuwatafutia maisha bora vitoto vyetu.....
 
Omba yasikukute tuu, wakati mwingine divorce, kuendelea naye au kutoa kipigo sio solution
 
Back
Top Bottom