Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
CCM inawafanya watu masikini ili iwadhalilishe.
Na CCM inapenda masikini na wajinga waendelee kuwa wengi maana ndio mtaji wao .CCM inawafanya watu masikini ili iwadhalilishe.
Za kikatoliki hawawezi ni yechnical za nota. Wakaona cha kufia nini wakavuta fille la nyimbo za manabii feki 😄😄Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Hii takataka haina akili kbs, hasara kwa nchi!
😄😄😄 fanani anaongea kama presha inapanda , kama amepanikthey could have rehearsaled it well before staging such a trash.
BIG NO..!!! wakatoliki tangu lini waimbe nyimbo za wasabato wanaowapiga spana kali hadi humu jfWakatoliki mbona huimba na kupiga nyimbo za wasabato?
Kutumia watu wenye akili ni muhimu katika kila jambo.
Nasisitiza tena, upo umuhimu wa kutumia watu wenye akili na uwezo mkubwa katika propaganda. Ukiangalia tu watu wanaotetea 'ule upande' wengi kama sio wote wanaonekana wana uwezo mdogo sana kiakili na hata kifikra.
Kinachofanyika hapa ni kujaribu kuonyesha umma kwamba, hata huko Katoliki sio wote wanaokubaliana na yale matamko (hii nimewahi kumsikia mtu akisema, japo alikurupuka) lakini sasa hawa wasukuma ajenda mnaowatumia hawana uwezo wowote kiakili. Kwanza sijawahi kumsikia mkatoliki anasema "sisi waroma" hii tayari ni kituko.
Kama unaigiza ukatoliki na hata huwezi kuigiza kuimba nyimbo za kikatoliki, hilo ni tatizo.
Wengi hapo ukiwatazama kwa makini unaona vile wanaumizwa na dhamira zao, wanaumia ni kwanini wapo hapo, hawajatulia kiakili.
Wanafuatisha kuimba nyimbo za wasabato toka kwenye sabufa zao,acha kujifanya nyapara wa wakatolikiBIG NO..!!! wakatoliki tangu lini waimbe nyimbo za wasabato wanaowapiga spana kali hadi humu jf
Catholic na sabato ni maji na mafuta
Waabudu sanamu la zege la kike hawatakiNilipo papenda, wote wamemkiri na kumtukuza Yesu Kristo.
Hii ni Moja ya hatua kubwa sana ya kuijua KWELI na KWELI itawaweka HURU.
Kumtukuza Kristo ni mwanzo wa HEKIMA