gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wewe ndiyo mkatoliki sana, kila wiki unabeba msalaba wa jumuiya siyoHamna swali lenye akili umeuliza hapo
Mmechukua wapuuzi wenzenu ambao hawajui taratibu Wala nyimbo Moja ya kikatoliki
Mnazidi kumdhalilisha Jezebel mnywa damu za watu kama yule wa enzi za Ahabu alivyoua watu hovyo
Lakini kiongozi ni kawaida akiwa mjinga LAZIMA azungukwe na wajinga
Nyimbo za kumsifu yesu unaimba kanisa lolote tuSio kwenye shughuli ya kikanisa au kwenye kusanyiko tena maalum kama hilo! Ujinga Mtupu!
Ficho ujinga wako.Wakatoliki hatuna ujinga huo.Wakatoliki mbona huimba na kupiga nyimbo za wasabato?.. kwamba hakuna mkatoliki wa kuimba nyimbo za rose mhando,shusho,chidumule?
Unalijua Kanisa Katoliki? Tuanzie hapo kwanzaNyimbo za kumsifu yesu unaimba kanisa lolote tu
Katika wakati jiwe alizingua zaidi ni hapaSamia Samia Samia!
Sijui Marehemu alikuokotea wapi!
Mungu ni Mkubwa wa Vyote, Atatenda Miujiza Yake Haraka.
Ni kanisa tu,tena Bora walutheri hawapigii magoti sanamuUnalijua Kanisa Katoliki? Tuanzie hapo kwanza
Nipo chini ya mwamba ya Moravian na nimeisikiliza sana nyumba za wakatolikiFicho ujinga wako.Wakatoliki hatuna ujinga huo.
Na umeambiwa hawavai madela/Vijora, sijui kama ni kweli wakatoliki wote ni wakishua wanavaa spesho pamba kali tu!!Wakatoliki mbona huimba na kupiga nyimbo za wasabato?.. kwamba hakuna mkatoliki wa kuimba nyimbo za rose mhando,shusho,chidumule?
wakatoliki wana nyimbo zao we papasi, hao kenge wameumbuka kwa kushindwa kuiga pozi za kikatolikiNyimbo za kumsifu yesu unaimba kanisa lolote tu
Kweli mkuu
Nasisitiza tena, upo umuhimu wa kutumia watu wenye akili na uwezo mkubwa katika propaganda. Ukiangalia tu watu wanaotetea 'ule upande' wengi kama sio wote wanaonekana wana uwezo mdogo sana kiakili na hata kifikra.
Kinachofanyika hapa ni kujaribu kuonyesha umma kwamba, hata huko Katoliki sio wote wanaokubaliana na yale matamko (hii nimewahi kumsikia mtu akisema, japo alikurupuka) lakini sasa hawa wasukuma ajenda mnaowatumia hawana uwezo wowote kiakili. Kwanza sijawahi kumsikia mkatoliki anasema "sisi waroma" hii tayari ni kituko.
Kama unaigiza ukatoliki na hata huwezi kuigiza kuimba nyimbo za kikatoliki, hilo ni tatizo.
Wengi hapo ukiwatazama kwa makini unaona vile wanaumizwa na dhamira zao, wanaumia ni kwanini wapo hapo, hawajatulia kiakili.
KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UTAKIRI KUWA YESU KRISTO NI BWANA --- HATA KWA HILANaomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
Uzuri kwenye hawa wanadamanaji kuna Waislam wanaojulikana kwa majina na wote kwa kauli moja wameimba kuwa Yesu ni Mwamba.Wanafuatisha kuimba nyimbo za wasabato toka kwenye sabufa zao,acha kujifanya nyapara wa wakatoliki
Sijakuuliza kuhusu hayo mambo mengine wala sijakuuliza habari za madhehebu mengine wala ukuu wa kanisa katoliki na sijasema ni kanisa bora kuliko wengine, Nimekuuliza unalijua kanisa katoliki? Unafahamu taratibu zao za kiluturjia? Nyimbo za misa, Kanuni za kiimani, Misingi na taratibu zao?Ni kanisa tu,tena Bora walutheri hawapigii magoti sanamu