Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Mwanaume hata akitaka mtoto ila anayeamua mtoto apatikane ni mwanamke kwa 100%Hahaha. Wana kamsemo kao wanasema "it all starts with a man".
Mhm. Hivi haya mnayoyasema yana ukweli ? Au tunatishana tuUkioa single maza mtu wa kwanza kukudharau ni huyo single maza.
Ni muhimu mtu kutambua anataka nini na kutoendeshwa na peer pressure, mtu aliye timamu na anajua anachofanya hawezi kuingia kwenye ndoa kisa ni utamanduni tu!Sasa kwa wamatumbi huku, ngumu sana kuelewa hii.
Ngumu sana kuelewa uhuru binafsi wa mtu.
Watu walisha karirishwa, Mwanaume lazima aoe. Mwanamke lazima aolewe na aishi na Bwana milele yote.
Kumbe ni Ujima tu na utamaduni wa kishenzi.
Watu wana uhuru na faragha zao binafsi wala hawapaswi kuingiliwa.
Andiko nzuri sana na lenye hoja za maana, hongera sana.
Ukweli malezi sio mepesi , garama za malezi si nyepesi haijalishi una kipato cha namna gani..
Kwetu wanaume hatujali tunagharamika kiasi gani kutoa mahitaji kwa watoto wetu kwani ndani yetu tunajihesabu kama sehemu ya uanaume wetu, kwa lugha rahisi tumejitoa sadaka bila kujali maisha yetu kwa ujumla kwa ajili ya famili, hii iko ndani mwetu .
Binafsi napata shida sana ninapo ona mwanamke anae itwa single mother akibezwa , tena akibezwa na mwanaume .
Naweza nisiwe sahihi lakini huwa naamini anguko lolote la mwanamke ni matokeo ya kufeli mwanaume .
Mwanaume anapo shindwa kusimama kama mwanaume athari zinajidhirisha kwa mwanamke na kisha kulaumiwa mwanamke!
Mapendekezo yako mleta mada ni mazri na yanayo paswa kuungwa mkono. Zinahitaka juhudi za lazima kupunguza hiki kinacho itwa single mother, ikibidi hata mamlaka .
nini kifanyike kwa mwaname kupunguza matokeo ya single mother?
kwanza kabisa ni mwanamke mwenyewe, mwanamke kwa sababu ana wajibu na mwili wake mwenyewe.
kwa sababu pia mwanamke hafanyi mapenzi bila sababu, hana msukumo wa kufanya mapenzi unaolingana mwanaume kwa hio ana uwezo mkubwa wa kupunguza kama si kuuondisha kabisa unao itwa usingle mother.
ikitokea bahati mbaya pamoja na dharura tunarudi pale kwenye mapendekezo yako.
shukrani.
Sote tujihadhari japo options ni chache na sometimes kunakua hakuna namna. Ndo maana nikasema hayataisha kabisa haya. Sikuzote watakuwepo waathirika lazima. Wengine kwa uzembe wengine kwa bahati mbaya.Sahihi, ila kwa kelele hizi za mitandaoni huenda mabinti wataogopa kulombwa bila kinga! Tuwahimize walio karibu yetu pia!
Unpopular opinion, watu wanaotaka amani ni waanzilishi wa vita (Instigators)Hizo amsha amsha mimi sizitaki kabisa mda wa kuishi ni mdogo , usikubali kupoteza hata sekunde ya amani
Hahaha mimi mpole sana na ninaomba msamaha haraka sana nikizingua na kusamehe haraka mnoUnpopular opinion, watu wanaotaka amani ni waanzilishi wa vita (Instigators)
🤣 Sorry homie !
Unga mkono hoja at your own risk mkuu, utapambana na wanaume wenzio kwenye comments section.Mkuu, vijana siku hizi wanakimbia Accountability, wanashindwa kukubali matokeo ya maamuzi yao na kuyabeba ipasavyo kama Wanaume. Hili pia linaongeza Single Mothers mtaani.
Vijana wamekuwa na excuses kama "mwanamke anajua siku zake za hatari hivyo kwanini afanye mapenzi, wengine sababu za kiuchumi,oh!, na wengine wanalaumu wasiyoyajua".
UKWELI ni Mwanaume unapolala na mwanamke bila kutumia Condom, ni lazima ukubaliane na matokeo yatakayotokea baada ya hapo na uyabebe Kiume, regardless. Kama ukipata kisonono, kaswende utaenda kujitibia haraka, Kwanini matokeo yakiwa mtoto/mimba usibebe jukumu la kulea? Jibu ni kutowajibika na matokeo ya maamuzi yako.
wanawake kwenye hili wamekuwa hawana shida ndio maana wengi wakibeba mimba huzaa (kitendo cha kukubali kuzaa ni kuwajibika na matokeo ya matendo yake, maana wana option ya kutoa pia), ila Wanaume tumekuwa na excuse nyingi sana zinazofanya tukimbie uwajibikaji.
Men, usifanye sex bila Condom na mwanamke ambaye haupo tayari kuzaa nae.
binti kiziwi naunga mkono hoja.
Unajua wanswake na wanaume hatuhukumiwi kwa vigezo vinavyofanana. Kuna mambo ambayo jamii itamuhukumu mwanaume lakini mwanamke hayoguswa. Hivyo hivyo kuna mambo ambayo jamii itamuhuku mwanamke lakini mwanaume hatoguswa. Kwenye kesi ya single parenting tayari jamii imeshatengeneza njia za kumwangushia lawama mwanamke. Huwezi kubadilisha hilo.Na mwanamume kumlaumu mwanamke ni unini?
Unamaanisha wanawake wasizae? kwasababu kama ulisema mwanamke azae akiwa na uwezo wa kutunza, maana yake umeshajiondoa….na maana yake nyingine ni kuwa kila mwanamke ambaye amezaa yuko kwenye risk ya kuwa single mother….!
Jamii ni unit ambayo ni static ?Unajua wanswake na wanaume hatuhukumiwi kwa vigezo vinavyofanana. Kuna mambo ambayo jamii itamuhukumu mwanaume lakini mwanamke hayoguswa. Hivyo hivyo kuna mambo ambayo jamii itamuhuku mwanamke lakini mwanaume hatoguswa. Kwenye kesi ya single parenting tayari jamii imeshatengeneza njia za kumwangushia lawama mwanamke. Huwezi kubadilisha hilo.
Kwahiyo suluhisho ni kuwa makini usiingie kwenye hilo kundi la single motherhood au kuwasisitiza wanawake na mabinti wadogo ambao hajazaa wasiinhie uko. Lakini kujifanya advocate kutaka lawama zirishwe pande zote mbili hautaweza.
Hata sisi uoande wetu kuna mambo tunahukumiwa lakini nyie hamguswi. Hatulaumu wala kulazimisha tuwe accountable jinsia zote, isipokua tu tunapambana wenyewe kwa jitahada binafsi
Mdogo angu utabishana na kila mtu hapa lakini mwisho wa siku ukweli utabaki pale pale. Nature haimuhukumu mwanaume na mwanamke kwa kigezo kimoja.Jamii ni unit ambayo ni static ?
As a man naomba uniambie umakini ambao mwanamke anatakiwa kuwa nao ili asiwe single mother. All factors considered. (ushaelewa kwanini tumeamua kujadili chanzo na sio matokeo?
Sio mimi tu naadvocate, ni dunia nzima ndio maana zinatungwa sheria, ni vile tu tunaishi ushenzini.
However ni haki yenu ku kick back kama ninyi ni waathirika wakuu, last time i checked muathirika mkuu ndiye mbeba lawama… Aiii next time nizaliwe kwenye ulimwengu usio na wanaume (jokes)
Sawa, lakini haujajibu swali boss. Kitu gani mwanamke afanye asiwe single mother? Baki na majibu.Mdogo angu utabishana na kila mtu hapa lakini mwisho wa siku ukweli utabaki pale pale. Nature haimuhukumu mwanaume na mwanamke kwa kigezo kimoja.
Stay in your lane.
Hahahaa basi itakua Mimi location nnazotembelea au age nnayokutana nayo sio rafiki bwashee, itabidi nijaribu kuanalyse nijue shida iko wapi kati ya location na umri😅😅Hahaha bwashee mbona wapo watoto kibao hata sio single maza?
Njia moja ambayo itamaliza tatizo for once and for all haiwezekani. Victims na irresponsibles watakuwepo tu. Kwa haraka haraka ninaweza nikasema mwanamke asishike mimba kabla hajajiridhisha na commitment ya mwanaume.Sawa, lakini haujajibu swali boss. Kitu gani mwanamke afanye asiwe single mother? Baki na majibu.
Sibishani, naweka record sawasawa 🤦🏻♀️
Byee!
Singo maza 0 Natafuta Ajira , Xi Jinping, Robert Heriel Mtibeli 3
Naona prida singo maza kajifunga pale
Hahha prida huwa hapindishi toka kitambo😄Kaongea Ukweli kwa sehemy kubwa.
Na wanawake wenye akili wapo hivyo.
Hahha prida huwa hapindishi toka kitambo😄