Wanaolilia legacy ya Hayati Magufuli someni alichoandika Bollen Ngetti

Naunga mkono hoja
 

Nyani kaparamia mti mwingine hahataki kukubali propoganda zake zimsfikwa na umauti.

Uzuri wenyewe hata Mh Rais SSH kagundua hamumsaidii bali mnamchimbia shimo ili aishie kudumbukia mzima mzima.

JPM anaishi kwenye Nyoyo na Akili za Watanzania wanaojielewa. Hatakiwi na chuki za mijizi na mafisadi wa Taifa hili tu. Ulimwengu huu uliondelea katika Sanyansi na Teknologia hamuwezi kuzima legacy yake kama mlivyo fanikiwa kuficha baadhi ya hotuba za Mwl JK Nyerere enzi hizo.
 
Legacy ya Magufuli haiwezi kufutika hata iweje.
 
Kwa Marekani mfano: huwezi kuwa Raia bila kwanza kuandika kitabu au makala kadhaa kuonesha watu nini falsafa yako kasoro Donald Trump.

" THE ART OF THE DEAL" naambiwa kiliandikwa na Donald Trump!!!
 
Ilikuwa ndiyo cheap popolariry yake alijijengea. Eti wanyonge. My foot. Mtu akiniita mnyonge nampiga kadebra.
Tatizo la wasomi ni hizi dharau nyepesi nyepesi za mitandaoni ndio huwa mwishoni wa upeo wenu.

Marehemu alieleweka kwa watu wa hali ya chini. Nguvu zake alizielekeza kwao watu wa aina hiyo.

Wewe ni mimi hatuwezi kuwa na akili kuwazidi mamilioni ya watu walioonyesha upendo wao kwake.
 
Sijui kama Boring Ngoti anajua anachotaka kueleza zaidi ya kulalia upande mmoja akajiridhisha kuwa ametenda haki kiakili wakati siyo,
 
Mjomba umeandika kitu ndefuu halafu na viingereza vingi wengine hatuelewi kitu.

Sisi Watanzania tumeshakubaliana kuwa hakuna kitu aliyoacha huyo mwendazake zaidi ya maumivu kwetu.

Hata usitumie nguvu nyingi maana kikao tulishamaliza na makubaliano ndio hayo tuliyofikia, huwezi kutushawishi vinginevyo.
 
Hili ni andiko zito kwa wenye uelewa, na shule kwa wenye akili lakini wakanyimwa maarifa.

Asante sana.
 
Hapa umeandika upuuzi mtupu. Ulivyo mjanja baada ya kujua Watanzania hawajui English ukaona upitie humohumo tu,lakini ungeliyaandika haya kwa Kiswahili nadhani hata Layman wa Kindergarten angelikuona kilaza TU.

Unasema Kujenga Bwawa la Nyerere nayo ni Legacy? Kwamaana hiyo kama ni hiyo basi kila rais wa Marekani kaacha Legacy make kila rais alijenga Miundombinu mikubwa kuliko hiyo unayosema. Hivi siku akija mwingine rais akajenga bwawa kubwa kama lile la INGA DAMS la Congo DR la 40,000MW si hako ka Bwawa ka JPM ka 2115MW kataonekana Utopolo?

Legacy Ni Ideas na Philosophy inayoachwa na Mtu kwa vizazi vingi vijavyo. Nyerere hakumbukwi kwa kujenga viwanda vikubwa zaidi ya 400 kila Mkoa,Mkoa wa Tanga pekee ulikuwa na Viwanda zaidi ya 150 leo hii ni Magofu tu,watoto watakaozaliwa mwaka 2100 hawatayaona hayo Magofu ndio wamkumbuke Nyerere. Nyerere aliacha Legacy ya Mawazo ambayo mpaka leo yanaishi,kila Kiongozi awe wa Upinzani au CCM akitaka Popularity hutumia baadhi ya Misemo ya Nyerere ambayo baba wa Taifa aliitamka kipindi cha uhai wake. Amka Jomba.
 
ni ushoga kulazimisha ifutike kwa nguvu zote.

kwani yeye hana kazi za kufanya!!!
 
Je kiongozi atakaye kuja na kujenga daraja toka Dar es salaam mpaka Unguja itakuwaje? sababu inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…