Wanaolilia legacy ya Hayati Magufuli someni alichoandika Bollen Ngetti

Jua tu kuwa una mke aliyelelewa ktk mazingira yasiyo/ jamii isiyo sahihi. Je kama mkeo angekuwa madam president wa JMT ungemkataza asiangalie TBC?
 
Maneno ya Magufuli unayoweza kutumia ni acha Mavi yako nyumbani, Katerero (Sijui kama inaandikwa hivyo), Huko nyuma mnataka kuingizwa, wanawake weupe watamu na upuuzi mwingine kama huo. Jamaa alikuwa simple minded sana, Hotuba zake zilikuwa nyepesi, akaamua kujificha kwenye kivuli cha ukali na vitisho. Fkc him
 
sifikiri kama kuna mtu mwenye akili timamu atakaye kuwa na matumaini na CCM. CCM ni janga la TAIFA. CCM ni laana ya TAIFA
 
Na wale kinamama walioweka kanga zao njiani lilipopita gari walikuwa ni wasanii.

Punguza akili za kitoto.
Sio kwa ubaya, lakini uelewa wetu ni wa Watanzania ni hafifu. Ukihoji mmoja mmoja uulize nini kinachomliza, ndio utaona maana ya hoja ya Ngeti.

Kazi ya Rais haiwezi kuwa kuruhusu machinga wajazane stendi ya mabasi. Sikumbuki Mkapa na Kikwete wakishuka kwenye level za chini hivi kufanya kazi za mgambo. Nani atafikiri kuhusu Tanzania ya 2070 na 2120 kama Rais anafikiri kuhusu machinga?
 
Boleni Ngeti huyu anayedunda mkewe kila wakati hivi kituo cha polisi alishatoka? Yeye ana legacy gani nyumbani kwake?
 
 
Hivi mtu mwenyewe alishakufa mbona bado watu wanaumia
Tutaendelea kuumia na kumsema kama akina hitler, bokasa, mussolini, idd amin, mobutu, nguema na mashetani yote menzake yaliyoweza kuvamia viti vitakatifu ikulu na kuvinyea kwa mauaji na manyanyaso kwa waliowavamia. Magu? afe mara 100000000 zaidi
 
Na wale kinamama walioweka kanga zao njiani lilipopita gari walikuwa ni wasanii.

Punguza akili za kitoto.
Wewe fala hujiulizi kwa nini hatukuona hizi tantabelua wakati wa mazishi ya baba wa taifa!
Kilaza wa vilaza katika ubora wako. Unatambua ni wasomi? Upeo wa msomi kuwa dharau nyepesi nyepesi mitandaoni? Alieleweka na hao wa chini kwa sababu hawaelewi wakielewacho na ndio maana wakawa wa huko chini. Walimwelewa mwenzao kwa uelewa mufilisi kama wao. Mitaa 2021 haipitiki 2025 mitaa isingekuwepo. Mwendazake alitengeneza wanyongwa wengi zaidi. Matajiri wote walinyongwa na kuwa wanyonge.

Wewe peke yako ndiye una akili sawa nao hao waliompenda. Usipoangalia utabaki peke yako. Gambo kaacha huo uzwazwa jana. Nnauye tangu juzi. Hao watu wako ni wa chini na ndivyo walivyo. Akili yao ni ya chini. Sisi tuliwazidi akili mashuleni na maishani wakabaki huko chini. Mnazidi kuwashikilia huko huko. Hakuna anayewainua. Mwazidi kuwadidimiza. Wanafurahia. Hawaelewi. Uelewa mdogo. Akili ya chini. Na wewe pamoja nao!

Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Ni usemi maarufu usiokuwa sahihi. Kama ni sahihi Mnara wa Babeli ungesimama. Ile ilikuwa sauti ya dunia nzima. Sauti ya Mungu ilikuwa kinyume!
 
Kwa namna ulivyodefine legacy basi JPM kaacha legacy. Ni katika utawala wa JPM watanzania tumeweza kujiamini kwamba hatuna mjomba wala shangazi huko nje. Tusipoijenga nchi yetu kwa maono yetu wenyewe, kwa mikono yetu wenyewe na kwa mali zetu wenyewe tutabaki mafukara hivi hivi hadi Yesu anarudi. Hata msimamo wa Tanzania (na tabia zetu) kuhusu corona baada ya JPM kuondoka inaonesha laivu huyu mtu ameacha legacy na ni kupitia legacy hiyo tunapima kila kinachoendelea ulimwenguni kwa mizania yetu wenyewe, si kulishwalishwa mambo kama vile tu marobot. Na ukitaka kujua kuwa JPM ameacha legacy embu waliopo wajaribu kuirudisha nchi yetu kuwa shamba la bibi kama ilivyokuwa enzi za JK ndio utajua kuwa Magufuli anaweza kuwa kafa (kama ambavyo watu wote hufa) lakini spirit yake haijafa. Kafa JPM mmoja lakini kuna viJPM kibao vipo kwenye pipeline. Vipo kwenye sekta zote na havitaruhusu nchi yetu irudi kwenye takataka za huko nyuma.
 
Ni rahisi sana kuongea kwa mbwembwe jamiiforum kuliko kupewa ofisi ya urais na kikafanyika chochote cha maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…