Wanaolilia legacy ya Hayati Magufuli someni alichoandika Bollen Ngetti

Wewe ndio zwazwa wa JF. Mamilioni ya watu waliomlilia hawawezi kuwa wajinga halafu wewe uliyejificha nyuma ya keyboard ndio ukawa na akili.

Dodoma iliwashinda waliomtangulia kwa miaka 42 yeye ndani ya miaka miwili kila kitu kipo huko na kazi zinaendelea kama kawaida.

Kifo ni wajibu wa kila mja, JPM alikuwa ni mtu na robo tatu, chuma imara.
 
Hayo ni mawazo yako lakini kwa ujumla wengine na wengi wamesema ifuatavyo kumaanisha LEGACY:-

  1. something transmitted by or received from an ancestor or predecessor or from the past the legacy of the ancient philosophers The war left a legacy of pain and suffering.
  2. Legacy definition, a gift of property, especially personal property, as money, by will; a bequest.
  3. Something handed down from an ancestor or a predecessor or from the past.
  4. A legacy of religious freedom.
  5. The definition of legacy is something that is passed on to you from family, including reputation.
  6. An example of legacy is family property that has been handed down for generations.
  7. Legacy means an older style or system
  8. An example of legacy is the filing system of a previous secretary at your new job
  9. Money or property given to another by will
  10. Anything handed down from, or as from, an ancestor.

Hizi ni legacy za Obama
Today, very few people fully understand the extensive consequences of President Obama's two terms in office. Life as we know it in America will never be the same. In Revealed: Obama's Legacy, the details are presented.


  • Ran roughshod over the U.S. Constitution
  • Undermined America's Judicial System
  • World's number one promoter of lesbian, gay, bisexual, transgender (LGBT)
  • Celebrated Supreme Court decision on same-sex marriage with a rainbow imaged on the White House
  • Directed a destructive transformation of the U.S. military
  • Lectured God-fearing Christians on how to behave
  • A Muslim apologist and defender of Islam in America
  • Passionate about Middle East refugees coming to America
  • Expressed no emotion over Christians being persecuted for their faith
  • Endangered Israel and U.S. Middle East allies by destabilizing the region
  • U.S. Federal Debt will almost double to $20 trillion; Federal Reserve debt increased over $4 trillion; personal debt at record level

Mwandishi atakuwa na chuki zake tu
 
Huwezi kujenga legacy kama wewe siyo visionary leader, na kuwa visionary leader lazima una akili kubwa (great minds) ukilinganisha na watu wa kawaida (average persons), na hizi akili kubwa unazipata kwa watu kama akina J.K Nyerere, Nelson Mandela, Nkwame Nkurumah, John F. Kennedy, and the likes......kamwe hizi quality huwezi kuzikuta kwa watu ambao wanaendeshwa na tamaa za kujipatia utajiri ikulu na kujenga himaya binafsi kama akina meko.....
 
Duuuh hii ni hatari na robo tatu. Ungekuwa mkweli ungezikwa naye. Kuna watu walikuwa wanazikwa wazima na machifu tu wa vikabila tena vidogo. Iweje wewe utudanganye kwa hayo mahaba kwa mfalme wa makabila takriban 130 ubaki na porojo zako hizo? Tafakari. Chukua hatua!
 
Sour grapes?
 
Utekelezaji wa jambo lolote lile, huanza kwanza na idea, halafu inakuja mipango kisha ndo unakuja utekelezaji, na baadae Matokeo.

Hapa Kazi Tu !!! Ni falsafa inayoishi, inayotoa hamasa, iliyobadili mtindo wa maisha wa mtanzania hasa katika kujenga nchi.

Hapa Kazi Tu !!! Ni idea inayolenga kuweka mfumo mpya wa uendeshaji wa Serikali kutoka kwenye kufanyakazi kwa mazoea kwenda kwenye uwajibaki.

Matokeo ya falsafa/idea hii ndo imeleta mapinduzi katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali, nidhamu kazini, uwajibikaji kwa viongozi na watumishi wa umma.

Matokeo ya haya yote, ndo tumeona miundombinu mikubwa ikijengwa ikiwemo madaraja n.k , uimarishaji wa ATCL, Bwawa la mwl. Nyerere, SGR na nchi kuingia uchumi wa kati. Vyote hivi vimetekelezwa kwa muda mfupi sana wa miaka 5 tu kuliko ilivyotarajiwa.

Kama idea hii iliweza kuleta matokeo chanya, kwanini watu waulaumiwe au kudhihakiwa wanaposema JPM ameacha legacy.

Kwani hii Legacy ikilindwa ili viongozi wengine hata kama watakuja na ya kwao, lakini wakifuata njia ambayo tayari imeonyeshwa kunakua na ubaya gani?

Mimi nadhani ifike mahali tusiendeshwe na chuki katika kufanya analysis ya mambo. Hata kama hatukua tunakubaliana na sera za mtu, lakini kama kuna jambo jema ameliacha, basi tulitukuze na kulienzi.

Kwa kumalizia niseme, JPM hakuacha tu Legacy bali ameacha TUNU ya taifa inayopaswa kulindwa kwa nguvu zote.
 
Ngetti ni moja ya vijana wa ccm wanaojitambua sana huwa namkubali sana huyu jamaa japo siku za magufuli alikuwa kapigwa pin sana kutokana na aina yake ya ukosoaji wenye kubeba dhana nzito. Happy to see you are back!!!!
 
Tutaendelea kuumia na kumsema kama akina hitler, bokasa, mussolini, idd amin, mobutu, nguema na mashetani yote menzake yaliyoweza kuvamia viti vitakatifu ikulu na kuvinyea kwa mauaji na manyanyaso kwa waliowavamia. Magu? afe mara 100000000 zaidi
Haya poa kazana
 
Ukichagua maumivu kuwa legacy sawa, lkn Magufuli kaacha legacy.
Tumeshaifuta legacy yake kabla ya hata ya arobaini yake kutimia. Mateso yake yalifuta mazuri yote aliyofanya. After all ni kodi zetu na kila Rais alifanya kwa kodi zetu.
 
Hivi mtu mwenyewe alishakufa mbona bado watu wanaumia
Hivi unadhania kwa matendo mabaya aliyowafanyia watu watamuacha tu, hivi hivi?kuna watu waliathirika na awamu ya kwanza, hadi leo wanamsema nyerere, sembuse huyuuu!!mbona bado sanaa, na kibaya zaidi wanaozidi kumchongea ni hao MATAGA!!mala afanywe mtakatifu, hapo unategemea watu wafanye nini?!!
Kwani ali asisi siasa za kipekee(za chuki) nchini ambazo hatukuwahi kuwa nazo!!na kuona mwana ccm, ndio mtu mwenye haki ya kila kitu nchi hii!!!MUNGU FUNDI
 
Ahahahahahahah! Nasikia huyu Bollen Ngetti ndiye aliyeasisi ile kauli mbiu ya Bernard Membe ya " Nazi na Bata". Wakati wa kampeni za urais, akamshauri "mgombea" wake aje na kauli ya "Kushambulia na kufunga dakika ya 89"! Bollen Ngetti huyu! Ahahahahahahah!!!
 
Legacy ya Magufuli siyo lazima kila mmoja aifuate au aienzi wengi wetu tutaenzi legacy yake ambayo itaishi mioyoni na akilini mwetu.
1.Ujasiri was Hali ya juu kukabiliana na matatizo makubwa bila kuomba omba misaada mahala pengine Wala kuiga kila kitu kwenye upande wa kutatua matatizo e.g jinsi alivyokabiliana na ugonjwa was virus za corona19
2.Kutobembelezana katika masuala ya msingi moja ya eneo lililomzolea maadui wengi ambao wanateseka Hadi hivi Sasa.
3.Uthubutu na kujiamini katika uwezo wake binafsi na nchi kwa UJUMLA.e.g kutenda mambo mengine ambayo baadhi ya watu mambo hayohayo waliogopa au walisita kuyafanya kwamfano kuhamia dodoma,stigglers kujenga reli za umeme na miradi mingi mikubwa.
4.Kukubali na kujivunia utu wake Kama musfrika.hapa viongozi wengi kwa mifano yao mibovu wamekuwa wakibeza uafrika wao kwamaneno na vitendo lakin Jpm tutamkumbuka kwakuwa MWAFRIKA halisi aliyejivunia kwa maneno na vitendo kuanzia lugha(viongozi 99%wanatumia lugha ambazo si za kiafrika hapa Wajinga wakasema hajui kiingereza [emoji23] mavazi n.k
 
Legacy in urithi uliotukuka! Legacy aliyotuachia Rais Magufuli ni imani kuwa Tanzania siyo maskinina tunaweza kutekeleza mipango yetu kwa kutumia fedha zetu za ndani! Mfano ni uchaguzi mkuu wa 2020 kwa mara ya kwanza tumeufanya kwa kutumia pesa zetu za ndani bila kutegemea ufadhili was nje
 
Tumeshaifuta legacy yake kabla ya hata ya arobaini yake kutimia. Mateso yake yalifuta mazuri yote aliyofanya. After all ni kodi zetu na kila Rais alifanya kwa kodi zetu.
Roho mbaya tu, kodi zenu sawa rais angeamua kwenda kubembea LA ungemkataza?
 
mataga watabisha na kukuona wewe ni libeberu
 
Pengine wakati wanazika kiheshima mtu ashawekwa kuzimu huko anachomeka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bollen Ngetti.
Umenifurahisha sana. Sijui kama wamekuelewa hasa ma-CCM na Wabunge wao Class-7 wasiojua maana wala kutamka Neno "LEGACY".
Mtu kama Kibajaj au Msukuma anasimama Bungeni na kuongea kwa mapovu na mimate ikimtoka ati anatetea "RIGASI" ya mwenda zake....!! Shame on them Utopian members of Parliament from CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…