Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

Hili bomu Mimi hata Sina cha ku appreciate. Yaani uniambie kaleta demokrasia na kufungua nchi ndiyo kafanya makubwa.? RUSHWA,ufisadi,utapeli na manyanyaso kwa raia,nauli kupanda mara 2,ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi hamuoni? wananchi wenye kipato cha chini hawana mtetezi Tena. Who is edo? Ni bomu ni bomu Tena la kienyeji. No vote from me just praying for bad deeds. God of mercy take..........!
 
Enzi za Magufuli kulikuwa na rushwa mara dufu ya kipindi hiki
 
Achaña na ndoto za mchana dogo.
Mwigulu na makonda hawawezi kuongoza nchi hii.
Hata huyo kipara anayeandaliwa, hawezi KWASABABU wote hawana uwezo wa kuongoza hata vikao vya familia zao.
 

Ofcourse watanzania ndio tulivyo but kusema mwigulu na makonda wawe presidential hiyo ni big hell no
 
Achaña na ndoto za mchana dogo.
Mwigulu na makonda hawawezi kuongoza nchi hii.
Hata huyo kipara anayeandaliwa, hawezi KWASABABU wote hawana uwezo wa kuongoza hata vikao vya familia zao.
Anayefaa ni nani...
 
Kwani tunguli lenu limewaonyesha nini nyie machawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…