Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani
inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa
yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao
ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata
mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan wa mkutano wa
Nyamgana Mwanza, kisha Mugumu na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanaotoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wa kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Hadi mzee wangu Mohamed Said umeamua kuongea kuhusu hawa madalali wa kisiasa kweli CCM wana hali mbaya na maigizo yao wanayoyafanya kupitia haya mapandikizi yao.Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani
inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa
yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao
ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata
mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan wa mkutano wa
Nyamgana Mwanza, kisha Mugumu na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanaotoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wa kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Suzan Kimwaga anaondoka na watu 50 ni vichekesho sana kiufupi hana ushawishiJumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.
Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.
Amandla...
Hoja ilikuwa mbona wanaondoka peke yao? Hata kama angeondoka na wanachama wawili bado ni wanachama.Suzan Kimwaga anaondoka na watu 50 ni vichekesho sana kiufupi hana ushawishi
Una hakika kuwa wote wanaohudhuria mikutano ya hadhara ya CDM ni wanachama wa CDM?Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Hata kama sio mwanachama ni shabiki.Una hakika kuwa wote wanaohudhuria mikutano ya hadhara ya CDM ni wanachama wa CDM?
Amandla...
Pure...Mohamed Said ni hazina kubwa Sana TANZANIA MUNGU ukubariki
Fundi...Una hakika kuwa wote wanaohudhuria mikutano ya hadhara ya CDM ni wanachama wa CDM?
Amandla...
Lissu mpuuzi sana. Kafunga mazingira ya watu kupiga pesa wakati wa Uchaguzi. Anategemea watu waishi vipi? Sasa ni kutafuta malisho mapya huko kwingine. Wakati huu ndo wakati wa kupiga pesa. Lakini yeye anaziba mianyaViongozi ndio walikuwa Wauza Duka sasa Yule Tundu Lisu amefunga Duka
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Huyo huwa anajichanganya,ana kazi nyingiNimeunganisha dots
WeeeeeeeehhhhhMaelfu kwa maelfu wamekikimbia chama, safari watabaki Lissu na Heche.
Hatukubali ubaguzi.
Wanajiona wao ndio chama, kumbe walizoea wananchi wanapigwa virungu wao wanazunguka kupewa bahasha😀Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
hao viongozi wamejisahau au wanataka kujisahaulisha wao ni bora kuliko chama!Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
wacha upumbavu wewe! Maelfu? mkifika alfu mje humu! Hicho chama kimepiganiwa na watu wengi sana sio Mbowe aliyepewa mikoba na Baba Mkwe na genge lake tu! Rejea uchaguzi wa kwanza 1995! CHADEMA iliambulia viti vitatu tu na sio hata Machame bali Kigoma, Mpanda na Rombo!Maelfu kwa maelfu wamekikimbia chama, safari watabaki Lissu na Heche.
Hatukubali ubaguzi.
Wanachama hawanunuliki kwavile hawapigi kelelele nyuma ya mikamera, labda vibe la kwenye mikutano, Kwanini wasipeleke hiyo mihela kwenye mikutano ya chadema, ili kunyamazisha vibeWachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Hao viongozi wanaohama walikuwa madalali wa CCM kwa kujinufaisha wenyewe sasa wameumbuka kuwa hawakuwa wanapigania maslahi ya wanachama/wananchi bali matumbo yao!Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Unajua we jamaa fala sana😂 umesababisha nacheka peke yangu kwa sautiItafuata awamu ya chawa kutoka ccm,kujileta chamani,natabiri ujio waLucas Mushaambaa,Tlatlaah,ChoiceVariable na wengine anui.Hivyo mpango wa g55 unazo awamu,hivyo kwakuwa awamu walizoanzia zimeshafale kabla ya kufika robo ya mpango wao nataraji wanajipanga kivingine.