Bora hata niliyekuwa nabishana naye anaviji akili maana hakubisha nilipo fafanua ila wewe ni zero kabisa DC inafanya kazi na transformer ila ni manual....kama dc isinge weza kufanya kazi na transformer kwa asilimia 100% basi hata ac isingeweza kufanya kazi na transformer....kama uniamini basi nimetoa njia ya kufanya majaribio...kwa uinjinia huo ni halali kwa majoliwa kuwatakeni muende veta😁😁😁😁Huo umeme wa DC utafanyaje kazi kwenye transformer wewe mhuni ? ,Hivi unajua hata mechanism ya electromagnetic induction inavyofanya kazi kwenye transformer ili kupata voltage kwenye zile winding za upande wa pili ?
Yaani DC ifanye induction kwenye winding au coil za transformer ,Acha usanii
Swali gani yani mimi ndiyo wa kula kona wewe kweli ni kichekesho.we nimekuuliza swali umekula kona🤣🤣
Kama ni swali la crossover distortion...kuna elimu nyingi ya kuelewa vizuri electronic mfsno kuna kitu kinaitwa forward bias na reverse bias kwa kutumia diode unaweza kupunguza au kuondoa hiyo distortion...pia cap zina ondoa piawe nimekuuliza swali umekula kona🤣🤣
nitofautishie transistor in series na transistor in parallel ina faida gani ukijibu vizuri ndy jibu la swali lako ila kumbuka nilisema hivi vitu vinategemeana ili kuongeza kitu fulani kunakuwa na sehemu au njia nyingi za kufanyasasa wewe ukiambiwa utengeneze amplifier ya watts 2000rms bila kukopi mchoro kwenye net utaweza bila calculations
Pia tatizo lako wewe ni lilelile la wasomi uchwara wa udsm wao wanadhani AKILI ndiyo ELIMU tofauti yangu na hao wasomi ni hapo kwenye AKILI wao wanategemea zaidi ELIMU mimi ninategemea zaidi AKILI (KUBWA)
KUNA KANUNI NILIFUNDISHA HAPA JF INASEMA ..
💥kati ya fedha na elimu chagua fedha ...tena chagua fedha bila ya kupepesa macho.
💥Ila kati ya fedha na akili chagua akili ....
transistor ukikonect in series unaongeza gain mfano ni darlington parallel unaongeza powernitofautishie transistor in series na transistor in parallel ina faida gani ukijibu vizuri ndy jibu la swali lako ila kumbuka nilisema hivi vitu vinategemeana ili kuongeza kitu fulani kunakuwa na sehemu au njia nyingi za kufanya
Akili ndiyo uvumbua elimu hivyo ukiwa na akili kubwa ni kitu bora duniani kuliko elimu kubwa hata waajiri duniani wanatafuta usiku na mchana watu wenye akili zaidi kuliko elimu ...mfalme selemani aoiomba akili kwa mungu na mungu alimpongeza kiongozi mzuri ni yule mwenye akili zaidi siyo mwenye elimu kubwa ...akili ndiyo inayo vumbua elimu mpya na kuziboresha elimu ..Lwiva na kukubali kwa kujitetea yani we unasema unatumia akili tu siyo elimu yani unamaanisha kuna siku tu uliamka ukatumia akili ukaunda computer we acha uongo kuna kitu kina itwa basic electronics uwezi kutengeneza kitu chochote bila kujua vifaa vinavyotumika na kila kifaa kinakazi zaidi ya moja kwa faida yako ingia Google search eee guide.com itakuja kunishukulu
computer ya mavi 🤣 🤣Lwiva na kukubali kwa kujitetea yani we unasema unatumia akili tu siyo elimu yani unamaanisha kuna siku tu uliamka ukatumia akili ukaunda computer we acha uongo kuna kitu kina itwa basic electronics uwezi kutengeneza kitu chochote bila kujua vifaa vinavyotumika na kila kifaa kinakazi zaidi ya moja kwa faida yako ingia Google search eee guide.com itakuja kunishukulu
we mzee wa computer nitofautishie flag na register halafu nipe kazi ya kila mojaAkili ndiyo uvumbua elimu hivyo ukiwa na akili kubwa ni kitu bora duniani kuliko elimu kubwa hata waajiri duniani wanatafuta usiku na mchana watu wenye akili zaidi kuliko elimu ...mfalme selemani aoiomba akili kwa mungu na mungu alimpongeza kiongozi mzuri ni yule mwenye akili zaidi siyo mwenye elimu kubwa ...akili ndiyo inayo vumbua elimu mpya na kuziboresha elimu ..
Hivyo ukiambiwa uchague kati ya pesa na elimu basi chagua pesa ila ukiambiwa uchague kati ya pesa na akili chagua akili
Akili ndiyo uvumbua elimu hivyo ukiwa na akili kubwa ni kitu bora duniani kuliko elimu kubwa hata waajiri duniani wanatafuta usiku na mchana watu wenye akili zaidi kuliko elimu ...mfalme selemani aliomba akili kwa mungu na mungu alimpongeza kiongozi mzuri ni yule mwenye akili zaidi siyo mwenye elimu kubwa ...akili ndiyo inayo vumbua elimu mpya na kuziboresha elimu ..Lwiva na kukubali kwa kujitetea yani we unasema unatumia akili tu siyo elimu yani unamaanisha kuna siku tu uliamka ukatumia akili ukaunda computer we acha uongo kuna kitu kina itwa basic electronics uwezi kutengeneza kitu chochote bila kujua vifaa vinavyotumika na kila kifaa kinakazi zaidi ya moja kwa faida yako ingia Google search eee guide.com itakuja kunishukulu
We ni mwehu kaka ,trust meBora hata niliyekuwa nabishana naye anaviji akili maana hakubisha nilipo fafanua ila wewe ni zero kabisa DC inafanya kazi na transformer ila ni manual....kama dc isinge weza kufanya kazi na transformer kwa asilimia 100% basi hata ac isingeweza kufanya kazi na transformer....kama uniamini basi nimetoa njia ya kufanya majaribio...kwa uinjinia huo ni halali kwa majoliwa kuwatakeni muende veta😁😁😁😁
Kunakajiukweli kidogo kuhusu wasomi mainjinia na wasomi wa veta tofauti ni hii
1)wasomi wa veta wanaitimu wakiwa wanauwezo wakutenda zaidi kuliko maneno
2)wasomi wa udsm wanamaliza wakiwa na uwezo wa maneno mengi sana ila vitendo ni aslimia 5%
Watu wa vyouni ufanisi wenu ni mdogo sana hivyo mnatumia mbinu za terminology kuwa criticise wengine hili kuficha udhaifu wenu.we mzee wa computer nitofautishie flag na register halafu nipe kazi ya kila moja
Utamuua huyu , mpeleke huko kwenye ma multiplexer ,counter ,huyu lwiva mpaka a Googlewe mzee wa computer nitofautishie flag na register halafu nipe kazi ya kila moja
Je tukithibitisha kuwa dc inafanya kazi na transformer form wewe utasemaje ?We ni mwehu kaka ,trust me
MZee wewe ni muongo ,acha usanii kakaWatu wa vyouni ufanisi wenu ni mdogo sana hivyo mnatumia mbinu za terminology kuwa criticise wengine hili kuficha udhaifu wenu.
Thibitisha hapaJe tukithibitisha kuwa dc inafanya kazi na transformer form wewe utasemaje ?
Kabla ya kuthibitisha muulize vizuri mwalimu wako umweleze nilicho sema kisha umsikie kama ata bisha nadhani ni rahisi wewe kumwamini mwalimu wako kuliko mimi kisha njoo na jibu alilokupa ndipo nitakuja na proofThibitisha hapa
Akili yako ilivumbua transitor au diode au semiconductor gani ,? ,Acha ujuaji zeroAkili ndiyo uvumbua elimu hivyo ukiwa na akili kubwa ni kitu bora duniani kuliko elimu kubwa hata waajiri duniani wanatafuta usiku na mchana watu wenye akili zaidi kuliko elimu ...mfalme selemani aoiomba akili kwa mungu na mungu alimpongeza kiongozi mzuri ni yule mwenye akili zaidi siyo mwenye elimu kubwa ...akili ndiyo inayo vumbua elimu mpya na kuziboresha elimu ..
Hivyo ukiambiwa uchague kati ya pesa na elimu basi chagua pesa ila ukiambiwa uchague kati ya pesa na akili chagua akili...hizi free energy za kina mwambukusi niliunda miaka ya 89 nikiwa ndogo sana..amplifier niliziunda nikiwa chini ya darasa la 4 wakati huo hakukuwa na smartphone nilitengeneza radio yangu ya kwanza ya free energy mwaka 1989 vifaa nilitoa kwenye redio enzi hizo kulikuwa na transistor tulizo kuwa tuna ziita za bati radio ilikuwa ni mw na fm moja tu zote za serikali
Akili kazi yake siyo kuvumbua tu pia inaweza kuzi study vumbuzi za wengine na kuzifahamu vizuri zaidi na kuzipambanua . Hata kitu kinaitwa reverse engineer ni ustadi wa akili kusoma na kubaini siri za vumbuzi za wengineAkili yako ilivumbua transitor au diode au semiconductor gani ,? ,Acha ujuaji zero
Hivi unajua hizi Electronics revolutions toka Kwenye transistors huko mpaka leo tupo kwenye Electronics chips ambazo zina millions of transitors in micro levels ,unajua ilifanyika vipi ? , Unafikiri ni kwanini makampuni yanawekeza kwenye scientific studies ,researches and development ? ,We una akili kuliko wao sio ?
Unafikiri huo ugeniuos uchwara huwa unafanyika huko kwenye hizi researches au wanapofanya studies ya knowledge iliyopo na kufanya trials and errors kutafuta breakthrough ya njia mpya za kudeal na issues ?
enenaWatu wa vyouni ufanisi wenu ni mdogo sana hivyo mnatumia mbinu za terminology kuwa criticise wengine hili kuficha udhaifu wenu.
Kabla ya kuthibitisha muulize vizuri mwalimu wako umweleze nilicho sema kisha umsikie kama ata bisha nadhani ni rahisi wewe kumwamini mwalimu wako kuliko mimi kisha njoo na jibu alilokupa ndipo nitakuja na proof