Wanaopinga mkataba wa DP World njooni hapa mseme mnataka nini?

Kama tulikosea kwa TICS tuendelee na makosa yaleyale kwa DPW.
 
Enzi za giza zimeshapita boss
 
Huo ni Uwongo!
Wapi kwenye huo Mkataba unaposema Wataajiri Madereva?

Unapotosha
 
Hivi JF Ina wajinga kiasi hiki.

DP world ana Operate kwenye Nchi nyingi .


Suala sio DP world, Suala ni MKATABA NA KILICHOMO.


wanaopinga, tunataka Mkataba upitiwe upya ili walete kitu ambacho ni Win-Win.

Hatupingi uwekezaji !!. Hata Ivo, kwa Nchi yenye Kujitambua, Kuna Sehem nyetinyeti ni lazima, ZIWE CONTROLLED NA SERIKALI MOJA KWA MOJA.



Kumbe JF Ina wajinga hivi !!!!
 
Kumbe DP wanajenga bandari kavu nchi jirani zote zinazochukua mzigo Tanzania kwa makubaliano ya DP na nchi husika .wala hamsemi
Mbona hilo limezengumziwa sana tu Humu; Hoja zingine zilihoji "mbona Rwanda wana bandari kavu zinazoendeshwa na DPW, kwanini sisi Watanzania tuwakatae?" Hatahivyo huo ni uwongo pia. Tanzania peke yake Imetumia matrillioni ya Shilingi kuboresha, kujenga na hata kupanua Bandari kavu Tanzania. Fedha zetu!

Ati wanajenga Nchi Jirani! so what?
Unapotosha
 
MIMI NIPO NEUTRAL.
SIPO KWA WANAOPINGA MKATABA WALA WANAOSUPPORT MKATABA ILA KERO YANGU NI WALE AMBAO WANATAKA JAMIIFORUMS YOTE MADA ZIWE NI DP WORLD.
DUNIA HAIENDI HIVYO KUNA MAJUKWAA NDIO YANAHUSIKA NA MAMBO YA SIASA PELEKENI HUKO MALUMBANO YENU YA HOJA,MAKELELE,UTETEZI NA YOTE YAHUSUYO DP WORLD.
UNAKUTA MTU UMEANZISHA ZAKO UZI MMU MTU ANAKUJA KUKOMENTI MAMBO YA DP WORLD.
MNAKERAAAAAAA
AU UKUTE MADA WALA HATA HAIHUSIANI WATU WANAKUJA NA MADP WORLD YAO.

NB: JamiiForums na moderators kuna kipindi mlinipiga ban kwa sababu za kusambaza habari za YANGA kipindi kile anacheza fanali ya CAFCC.
SASA Msipowashughulikia au kuwaonya wanaochafua nyuzi mbalimbali zisizohusiana na DP WORLD.
NITAANZA KUSAMBAZA HABARI ZA YANGA KWENYE THREADS MBALIMBALI.
 
Wewe ni kiazi ,

Wabunge walisha weka mawazo ya kupitiwa upya,

Waziri mkuu lishasema kuwa wameyachukua mashauri yote ya nje na ndani ya Bunge.

Kiazi mbatata Kama wewe na akili za lapili b nani akuelewe

USSR
 
Unajadili nini hapa unadhani jamiiforums alianza mamako ili wewe na mmeo mjadili ishu za period zako

USSR
 
Kumbe DP wanamtandao wa mawakala wa usafirishaji kote duniani hii itaongeza mizigo kwa zaid ya 50% kutoka ilivyo sasa.wala hamsemi
Muongo.
Kianzio tu, DPW kuwa na mawakala duniani hakumaanishi mizigo Itaongezeka, isitoshe Waziri mbarawa ametoa kisio tu, narudia kisio tu ambalo linatarajiwa kufikiwa baada ya miaka 10 na kisio hilo halizidi asilimia 35% Vilevile hoja kuu ya Viongozi ni Mapato Mapato Mapato.

Piga ua kuwa na Monopoly haiwezi kutafsiriwa ongezeko lelote lina tija Tanzania....kuukamata mnyororo wote wa Usafirishaji hauna tija Tanzania.

Wacha upotoshaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…