Wanaopinga mkataba wa DP World njooni hapa mseme mnataka nini?

Hao makomandoo uchwara kwenye avatar ndio wanakupasua trako wamekupa kiburi

USSR
Wewe ni choko kama machoko wengine kushadadia wanaume.
Maku la mammayo
 
Kumbe bandari itakuza Pato la taifa kutoa 37% ya Sasa Hadi 67 % hii itaifanya nchi iniendeshe yenyewe,wala hamsemi
Tumesema Bandari ni uti wa mgongo wa Mtanzania. Takwimu zinaonyesha mapato ndani ya 40% saa mnaanza kuzishusha ati 37% Na ndio tunasema, hatuwezi kumtegemea Mwarabu au tumwachie atitingishie kiberiti kwa hiyo 40% tuliyokuwa nayo! Wapi royal tour? wapi mapato ya Loliondo, Serengeti mpaka mmeangamiza Jamii nzima ya Mmasai kwa hoja hizo hizo za kuongezea mapato Serikali?
Nchi haiendeshwi kwa kuning'iniziwa hereni yake yakhe!
 
Wewe ni choko kama machoko wengine kushadadia wanaume.
Maku la mammayo
Mwanaume chakula Kama wewe unaliwa Nadi na wafungwa ,Lita kushoto hapo unanuka nuka mavi tu

USSR
 
Umesoma nilicho andika lakini ,DP wanaweza kupandisha kutoka 37%hadi 67%

USSR
 
Wewe ni kiazi ,

Wabunge walisha weka mawazo ya kupitiwa upya,

Waziri mkuu lishasema kuwa wameyachukua mashauri yote ya nje na ndani ya Bunge.

Kiazi mbatata Kama wewe na akili za lapili b nani akuelewe

USSR
Wewe ni lijinga, kuanzia Leo siiamin JF Tena.

JF Ina wajinga wengi ,, nmekugundua hili.
 
Wewe unao uhakika kwa lipi zaidi ya kisio biashara zote ni makisio tu

USSR
 
Kumbe DP wanateknolojia ya ulimwengu wa Kwanza na umejaza wazungu wengi kutoka ukaya na sio waarabu tunao wakataa.wala hamsemi
Tumeshasema, huu ni Ukoloni 3.0 tunajua karibia asilimia 40% ya shares za DPW ni za Wazungu.. Ndio maana tunaukataa huu Mkataba....na hata angekuwa Mzungu ndio kabisa hatutaki aje aendeshe Bandari yetu-Tunajua Mwarabu(mjomba) ametumiwa!

.Hiyo teknolojia ya Ulimwengu wa Kwanza haipo. Usitudanganye na matamshi na maneno ya upotoshaji. Watanzania tushawekeza, tushanunua vyombo na miundombinu mingine unganishi kwa ajili ya Bandari yetu DPW haongezei chochote Bandarini kwetu. Hatahivyo tuonyeshe ni wapi panaposema watafanya hivyo?
Tushasema!
 
Acha ujinga na wew umejaza pumba namashudu hapa
 
DPWorld wataiendesha bandari yetu ya Dar kwa muda gani?

Ni hilo tu.
 
Ushawafuatilia ukaajua wana kesi ngap kwenye nchi walizo invest?
 


Soma mwenyewe na ndugu zako, halafu mkakae na DP pale Bandarini
 
Kumbe DP inaweka mtambo pale ikulu ili serkali ijue kiwango cha mizigo inayoingizwa na kusafirishwa na mapato,Wala hamsemi.
Muongo. Na unabisha? Tuwekee huo mtambo hapa unaitwaje, tuwekee huo mtambobkamanulivyowekwa kwenye Nchi zingine ilipofanya Uwekezaji au inapofanya Uendeshaji.

Unapotosha
 
Kumbe kutakuwa na kamati ya watanzania na watu wa DP itakayokuwa inakusanyika Kila mwisho wa wiki kungalia tija.wala hamsemi.
Tuwekee hicho kipengele kwenye Mkataba huo unaosema hivyo! Bila hayo huo ni Upotoshaji. Ni Uwongo. Hatahivyo haileti mantiki wala tija kuwa na kamati ya aina hiyo(High level Comittee) manake ndio unataka tuamini hivyo!
Unapotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…