Hoja zangu zimekuwa kaa la Moto kwakoHuo nao ni Upotoshaji.
Haingii akilini kwa mtu yeyote yule anayejua Miundombinu maana yake nini kwamba mifumo iliyokuwepo sasa hivi haijaunganika kwa namna moja au nyingine: Kwanza hilo ni tusi, yaaninl unataka kutuaminisha miundombinu iliyopo sasa hivi na mifumo yake unganishi hazijaungwa? Unataka kusema Waarabu, samahani DPW ndio wenye akili kuzidi Mainjinia wetu? Yaani hawakufanya systems analysis?
Aidha unatukana, au Unajiondoa Ufahamu, au Unapotosha kwa makusud...mimi nasema ni yote hayo hapo juu!
Ongezea peteroli...Watanganyika tuko macho....na tutasema
Mbona bandari ya Berbera bunge la nchi hiyo lilitangaza kuwa DPworld amepewa kuendesha bandari kwa miaka 35 ni kipi mnakifanya siri?Classified
Ussr
Amejiondoa ufahamu na haya chiniNchi gani
Hayo sasa ni Matusi. Yana karibishwa na "yatajibiwa kwa kadri yanavyotolewa"Tangu mjiamulie mmefanga nini la maana
USSR
Farijika. Ukimbuke na Utafakari....Usinge leta hayo uliyayabandika kama vile mna utelezi na Ajenda yenu!Hoja zangu zimekuwa kaa la Moto kwako
USSR
Kuna baadhi ya mambo hatupaswi kujitoa akili kiasi hikiKumbe ni kuendeleza bandari kiuchumi na kijamii tu wala hamsemi mko bize na aliyesaini
USSR
Mkuu USSR! Mi naomba uniletee page ambayo pande zote 2 za Serikali zilisain, yaani Serikali ya Tanzania pia Serikali ya Dubai iliposaini! Walioshuhudia utiaji sain uo kila upande pia wakiambatanishwa na majina yao wote na vyeo vyao.Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni nyingine!.Wala hamsemi
Kumbe ajira zitangezeka hasa kutokana na usafirishaji wa mizigo nje na ndani ya nchi hapa madereva wengi watahitajika kwa kuwa mzigo utakuwa unaingia na kushushwa faster yaani dereva yupo njiani anapigiwa simu afanye haraka kuna mzigo mwingine.wala hamsemi
Kumbe DP wanajenga bandari kavu nchi jirani zote zinazochukua mzigo Tanzania kwa makubaliano ya DP na nchi husika .wala hamsemi
Kumbe DP wanamtandao wa mawakala wa usafirishaji kote duniani hii itaongeza mizigo kwa zaid ya 50% kutoka ilivyo sasa.wala hamsemi
Kumbe bandari itakuza Pato la taifa kutoa 37% ya Sasa Hadi 67 % hii itaifanya nchi iniendeshe yenyewe,wala hamsemi
Kumbe DP wanateknolojia ya ulimwengu wa Kwanza na umejaza wazungu wengi kutoka ukaya na sio waarabu tunao wakataa.wala hamsemi
Kumbe DP inaweka mtambo pale ikulu ili serkali ijue kiwango cha mizigo inayoingizwa na kusafirishwa na mapato,Wala hamsemi.
Kumbe kutakuwa na kamati ya watanzania na watu wa DP itakayokuwa inakusanyika Kila mwisho wa wiki kungalia tija.wala hamsemi.
Kumbe bandari zote za maziwa na bahari za Tanzania zitaendelezwa kwa kuungwa na mifumo na miundombinu .Wala hamsemi
Kumbe wabunge ambao ndio wawakilishi wetu wameshirikishwa kila hatua na wametoa maoni na serkali inayafanyia kazi,wala hamsemi.
Kumbe wanaopinga huu mkataba wanalipwa pesa za kuponda.wala hamsemi.
Mwenye hoja aje ajibiwe ,msikae kimya jf ni shule tuwafundishe
USSR
Share zao Nasdaq zimeshanona. Jamaa wa wallstreet wanapiga cheers. The monopoly ya bandari ulimwenguni via Dubai by Jews.Kwi kwi kwi the teh teh
Majadiliano yepi tena? Unaota? Hayo mmbona yaliisha zamani baina ya nchi na nchi.
Hapa unapiga porojo na Watanzania, umelala?
Nakunukuu!Wewe kesi yako ya utapeli USA iliishaje? Ulilambwa miaka mingapi? Unafikiri tumekusahau?
acha kuvidhalilisha vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama wetu kwamba hawawaoni mawakala wa majizi[emoji35]Samia piga kazi achana na wakala wa majizi
Mkuu Tatizo Elimu Hasa Somo la Civics halikuwekewa Kipaumbele Toka malezi ya baba na Mama Familia hadi [emoji128] hadi shuleni na vyuoni!Na wewe ulimsikiliza Mbarawa Bungeni? Hata hivyo
DPW haji Tanzania kuja kuiongezea Mapato Serikali...(Sio Dhamira yake) .na ndio tunasema hatuwezi kumuachia Muarabu atutingishie kibiriti... na 40%(tuliyojijengea kwa jasho la mtanzania).hatuwezi tukumuachia mgeni awe ana control mapato ya Serikali! Unajua maana ya Sovereign? Unajua uhuru wetu wa kujiamlia ndio unaweza kutekwa hapo, au unajiondoa ufahama?
Nimekusoma nimekujibu
Usipotoshe
Aisee! bibi unamaneno !Hapa napiga porojo na kuelimisha wajinga wajinga kama wewe.
Mnanipotezea muda vizuri.
Mhe. PROF. MAKAME MNYAA MBARAWA (Mb) Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Akiwa mjini Dodoma, Tzania, kutia saini kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai Kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya maendeleoView attachment 2687041
Sent using Jamii Forums mobile app