Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

Umeona kwa bi mkubwa nini? Au dada zako nyumbani? Sio makosa yako bali ni mazingira uliyokulia ndo yanakupelekea kudhani wanawake wote ni kama wa huko kwenu.

Acha marijali watunze ndoa zao
Basi endeleeni kufurahia Maisha ya Ndoa
 
Afu hao ndo waoaji wazuri kabisa,sema humu wanaleta mdomomdomo tu
Asilimia %85.5 ya wanaume humu wameshaoa na %zilizobaki kurimia mia moja ni vijana ambao hawana ramani na wengine wapo chuo bado wanasoma.,,,,ukiona mtu anasema kataa ndoa ujue bado anaishi kwao au hana ramani.
 
Real wife ni wabaya wa sura na umbo au waliojikatia tamaa ya maisha yani nioe uchafu kisa wana tabia nzuri ? Sipo hapa kuoa ili kuonea huruma viumbe mkuu , bila ndoa nakula mbususu ninayo taka mkitaka tuoe waambieni dada zenu wabane mabaja
Umekariri,
Ni vile hatujuani laiti ungeniona mimi ungefuta hii msg🤣🤣🤣
 
Umekariri,
Ni vile hatujuani laiti ungeniona mimi ungefuta hii msg[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msamehe,jf imejaa vivulana bado vipo shule na havina ramani ya maisha, mwanaume timamu hawezi kuandika huo upupu.


Vinajifariji tu,
 
U
Kukataa ndoa tafsiri yake NI kukataa kushinda mahaka Mani,kukataa kuumia,kuuwa,au kuu Wawa,

Na kchagua kuishi kwa hakili na PESA badara ya mwanamke

Wengne ni Wale " bahati mbaya"
Tunaanza na ndoa. tunakuja na Katiba mpya ili kuivunja Haki.
sawa

Kisha tuna maliza na mkoloni mweusi ccm
 
Ni watu wa kuonewa huruma. Wamelelewa vibaya, kwenye matatizo na migogoro ya wazazi wao.
Wengi wamelelewa bila baba na kama baba alikuwepo basi ni wale walevi, wanaopiga wake zao na kutowajibika kwa familia zao.
Kiufupi walipigika vilivyo na sasa akili zao zimeathirika kisaikolojia.
 
Wanauume una miaka above 40 nn kitakupa furaha zaidi ya kurudi kutoka kwenye mihangaiko ukapoķelewa na mke na watoto wako? Ukirudi nyumbani unafanya nn? Weekend bila watoto wa kuwaelekeza shughuli za nyumbani kama kusafisha mabanda, kuogesha mbwa n.k mbadala unakuwa ni nn?
 
Wanauume una miaka above 40 nn kitakupa furaha zaidi ya kurudi kutoka kwenye mihangaiko ukapoķelewa na mke na watoto wako? Ukirudi nyumbani unafanya nn? Weekend bila watoto wa kuwaelekeza shughuli za nyumbani mbadala unakuwa ni nn?
furaha ni kuwa na Pesa, siyo kutegemea kiumbe ulichonunua kwa Pesa akupe furaha, huo ni Ujuha
 

Mkuu ungefafanua ndoa gani inayopingwa maana sahivi dunia imeharibika kuna aina kama tano Hivi za ndoa Sahivi.
Mimi naunga mkono ndoa ya manaume na mwanamke. Kuoa au kuolewa ni kipimo cha akili ukiona mdada au mkaka hataki kuoa au kuolewa hata usisite kusema bado hana akili. Ndoa ni taasisi, mtu akishindwa kuendesha taasisi ndogo ni wazi hawezi kuendesha taasisi kubwa.
 
furaha ni kuwa na Pesa, siyo kutegemea kiumbe ulichonunua kwa Pesa akupe furaha, huo ni Ujuha
Furaha ni ridhiko la nafsi na umaturity wako kuhusu nature.
Furaha haitokani na pesa bali uwezo wako wa kuyatawala mazingira yako.
Kutegemea pesa au mapenzi ndio yakupe furaha huo ni uteja.
 
Furaha ni ridhiko la nafsi na umaturity wako kuhusu nature.
Furaha haitokani na pesa bali uwezo wako wa kuyatawala mazingira yako.
Kutegemea pesa au mapenzi ndio yakupe furaha huo ni uteja.
kutegemea kiumbe uliyemnunua kwa Pesa akupe furaha, huo ni uteja zaidi, tena ni upumbavu,

pesa ndiyo kila kitu, maana hata huyo unayemuita mke, yupo hapo kwa izo pesa, kosa pesa uone kazi
 
furaha ni kuwa na Pesa, siyo kutegemea kiumbe ukichonunua kwa Pesa akupe furaha, huo ni Ujuha
Hatuwezi kufanana, Binafsi, raha ya pesa ni kuitumia na familia yangu otherwise sioni kazi ya pesa nyingi.
 
Hatuwezi kufanana, Binafsi, raha ya pesa ni kuitumia na familia yangu otherwise sioni kazi ya pesa nyingi.
umenunua kiumbe kwa Pesa, aje kukamua vyanzo vyako unaita furaha, izo akili au matope ? mnakwama wapi?
 
umenunua kiumbe kwa Pesa, aje kukamua vyanzo vyako unaita furaha, izo akili au matope ? mnakwama wapi?
Sijanunua kiumbe kwa pesa. Nimeoa nikabarikiwa watoto, wale watoto kuwahudumia na mama yao ndiyo furaha yangu. Una tatizo na hayo maamuzi ambayo mm yananipa furaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…