Vita na chakula wapi na waoi kwani vita vilipiganiwa zaidi ndani ya ardhi yetu ...tangia wakoloni Tanzania wananchi wake walikuwa wanakula vyakula wanavyo lima wenyewe isipokuwa maeneo ya mijini tuVyuo vingi vya kilimo mzee wangu alisimamia uanzishwaji wake, kula ugali wa yanga ilitokana na nchi kuwa imetoka vitani hazina haikuwa na pesa kabisa.
Umaskini ulitamalaki kila kona. Mzee Mwinyi alipoingia ikulu akakubaliana na masharti ya IMF.
Umesema baba Yako alikuwa mshauri, maana yake amewahauri vibaya la sivyo angejiuzulu kama hawashaurikiMzee wangu hajaua kilimo, inabidi uelewe masuala mengi ya kitaifa ili uweze kujua kwanini jembe la mkono lilidumu kwa miaka mingi baada ya uhuru.
Nilisikia sauti za takriban 1,910 wakiimba wimbo wa "Tuuuna imaaaani na Samiaaa, oyaaa oyaaa oyaaa'!!! Samia kweliiii kweli kweli kwelikweli kweli Samiaaa. Au wewe ulikuwa wapi usisikie? Mbona ukumbi wote uliimba chorus ya wimbo huo mashuri wa CCM?Watu hawampingi Moja Kwa moja kugombea ila wanapinga njia aliyotumia kujipitisha kugombea.Tatizo ndio linaanzia hapo.Kujipitisha Kwa mlango wa nyuma,wakati watu wakisubiri mlango wa mbele🤔
Usikute mwenye kichwa kibavu kama wewe unavizia teuzi kujifanya unasifia.Amakweli Uchawa ni kazi Ngumu sana🤔Nilisikia sauti za takriban 1,910 wakiimba wimbo wa "Tuuuna imaaaani na Samiaaa, oyaaa oyaaa oyaaa'!!! Samia kweliiii kweli kweli kwelikweli kweli Samiaaa. Au wewe ulikuwa wapi usisikie? Mbona ukumbi wote uliimba chorus ya wimbo huo mashuri wa CCM?
Kama unakerwa na kuchoshwa na namna mambo yanavyoendeahwa CCM hamia upande wa pili au anzisha chama chako
agenda mojawapo itakuwa kujadili wakoraChama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1948456663083634852?t=O7Y_gGZZ83FxR2-y1xWklg&s=08
Huwezi amini, huko CCM hakuna anaenijua mm, mimi najadili hoja tu za kitaifa zenye manufaa kwa watanzania wote kama taifa, mimi sina njaa sana ya kuwa chawa. Ukitaka ukweli kama Samia hafai basi ni CCM isiyofaa, maana CCM imekuwa ikifanya hivihivi tangu awamu ya kwanza. Hii ya sasa inayotokea kwa Samia sio mpya ni maisha ya kawaida ndani ya CCM. Ndiyo maana JPM alikuwa haipendi CCM hata kidogo na alikuwa hautaki hata uwenyekiti wa chama. Wewe kama unaona CCM imekosea uteuzi wa mgombea tumia fursa hiyo kugombea kupitia chama kingine ili ukamshinde mgombea wao kwa kishindo mchana kweupe. Usipoteze muda wako huku ukijua kuwa CCM ndivyo ilivyo jana na leo.Usikute mwenye kichwa kibavu kama wewe unavizia teuzi kujifanya unasifia.Amakweli Uchawa ni kazi Ngumu sana🤔
Kipindi kijacho hana haja ya kukimbizana saaana na miradi ya kurithi, akifanya hivyo sifa nyingi hazitakwenda kwake. Kama anataka kung'ara zaidi ajikite kwenye kusambaza maji na umeme kila kona ya nchi, kukuza matumizi ya gesi ya kupikia hadi vijijini, kuimarisha kilimo na uvuvi kwa kiwango cha juu kabisa ili tuuze chakula na samaki mataifa mengine. Asiondoke bila kuandika katiba nzuri itakayopambana na ufisadi.Udini ni janga la kitaifa, hawataki kusema wazi ila ni wazi wengi wao walitaka bwana yule amalize ngwe yake kisha ndo achukue wa dini ile kama ilivyokuwa desturi yao kupokezana kijiti sasa yakatokea ya kutokea, ila hamna namna kelele zipigwe tu ila zitaisha oktoba na watatoka kapa, Bimkubwa shikilia bomba katiba imekupa rungu kama alivyosema mjeshi wahuni walitaka kiti baada ya anguko bila kufuata katiba iweje sasa wang'ake kuwa desturi zimevunjwa? Ni lini bongo iliwahi kuwa na Rais wa term moja? Watu wamejizima data na hawatashinda kwenye azma yao ya kidhalimu.
What you have to do Bimkubwa ni kimoja tu , kuweka pembeni wote wanaokuhujumu na kumalizia haraka sgr ifike Mwanza na Kigoma basi, na hiyo nuclear power plant ianze that is your legacy, mengine huyawezi waachie wanaokuja sijui vituo vya Afya kila siku wanazaliwa maelfu.
Mitano tena kwa Mama, hakuna namna, season two ya Royal Tour ni muhimu irekodiwe sasa ili kuipaisha bongo kimataifa.
Watz hatuna pa kukimbilia maana wahuni hawajali utulivu wanachotaka ni kiti tu, wabongo tunataka amani tu na yaliyopitishwa na mkutano wao yaheshimiwe, si walikaa wao wenyewe na kuamua shida nini sasa? ugali tutatafuta wenyewe
Hilo la "ugali wa mahindi" sitapoteza muda hapa kujadili jambo la kipumbavu kama hilo toka kwa mpumbavu asiyejuwa chochote katika eneo hilo.Ndiyo maana nasema ugali wa mahindi usiwalishe watoto wako sana, vinginevyo watakuwa kama wewe. Utafiti ulifanyika kujua kwanini wayahudi wana uwezo mkubwa wa kufikiri, ndipo wakabaini kuwa wao wanatumia nafaka ya ngano sana katika forms mbalimbali kama mkate, kande, uji, pombe, nk karibia Kila siku. Nchi nyingine mahindi wanalisha nguruwe tu.
Kwanini unang'ng'ania uteuzi wa mgombea wa CCM tu wakati nchi ni ya vyama vingi? Kama CCM wameteua mgombea dhaifu hiyo ni faida kwa vyama vingine ambao watateua wagombea madhubuti watakaomshinda Samia mchana kweupe na taifa litapata Rais bora kuliko Samia. Shida Iko wapi hiyo? Mwl Nyerere alisema kama CCM itateua mgombea dhaifu wananchi watamtafuta Rais bora njje ya CCM. Kwanini unalazimisha lazima CCM ichague mgombea bora kama vile lazima Rais atoke CCM.
Ndiyo maana nasema ugali wa mahindi una walakini kama ukiutumia sana, slow learners wengi wanataka huko.
Kuendelea kufikiri kuwa Samia anao uwezo huo ni ndoto za kijinga sana. Mtu anayegawa raslimali za nchi kama hazina thamani bado unamwekea matumaini kama hayo ni kujionyesha mwenyewe kwamba kichwani hazikutoshiKipindi kijacho hana haja ya kukimbizana saaana na miradi ya kurithi, akifanya hivyo sifa nyingi hazitakwenda kwake. Kama anataka kung'ara zaidi ajikite kwenye kusambaza maji na umeme kila kona ya nchi, kukuza matumizi ya gesi ya kupikia hadi vijijini, kuimarisha kilimo na uvuvi kwa kiwango cha juu kabisa ili tuuze chakula na samaki mataifa mengine. Asiondoke bila kuandika katiba nzuri itakayopambana na ufisadi.
Huu ni upumbavu. Tanzania siyo lazima ipitie njia hizo. Unajaribu kutishia watu wasimng'oe kiongozi mwovu kwa njia zao watakazopenda kuzitumia kwa kuweka mifano ya kutishia watu?Kenya, DRC, Ethiopia, Sudan, na Libya walipoteza uoga wamepata nini
Inaonekana umelishwa unga wa mahindi tangu tumboni. Itizame mikoa ya Tanzania kisha chora ramani za mikoa inayotumia zaidi ugali wa mahindi, mchele, ndizi, muhogo, mtama, ngano au ulezi uwone ulinganishe maendeleo yao kielimu, kibiashara na mambo mengine. Utagundua kuwa wala mahindi wengi wako more machenical (mtulinga) na maendeleo kidogo sana.Hilo la "ugali wa mahindi" sitapoteza muda hapa kujadili jambo la kipumbavu kama hilo toka kwa mpumbavu asiyejuwa chochote katika eneo hilo.
Swala la kujadili CCM, wewe bado nalo hulioni kuwa ni la waTanzania wote kulko jambo jingine lolote kwa sasa? Mtu mwenye akili timamu kweli utauliza swali la kipumbavu namna hiyo?
CCM; kwa kutumiwa na GENGE lenu linaloongozwa na Kikwete na Samia ndio wanaowaumiza waTanzania wote kwa sasa hivi; kwa nini wasiwajadili?
Hapo hapo kuonyesha uduni wa fikra zako ulivyo, unahoji kwa nini waTanzania wasiwachague viongozi wa vyama vingine, huku ukijuwa bayana kiongozi mbovu kabisa kuwahi kutokea ndani ya taifa hili kang'ang'ania abaki madarakani kwa nguvu zote, hata ikibidi kumwaga damu ya waTanzania!
Kama ilivyo kawaida ya tabia zenu (sijui kwa sababu ya kutotumia vyakula visivyo tokana na mahindi; najuwa huu ni ujumbe unaouingiza kama ule wa JWTZ) kutotumia kwenu mahindi ndiyo inawasababishia tabia mbovu kabisa ulaghai/uongo/hadaa na maovu chungu nzima ndiyo jadi yenu? Sasa inakuwaje hao wenzenu wasiotumia mahindi uliowataja hapo juu wanawapa wenye jadi zenu surubu kiasi kile; wakati na wao si wala mahindi?
Mkuu 'kavulata' kama mlikuwa na matumaini ya kuipeleka Tanzania kwenye himaya za wasiokula mahindi, hilo sahau kabisa. Tanzania itabaki kuwa ni nchi ya waTanzania wote, bila kujali sifa za ula mahindi au hivyo mnavyokula nyinyi.
Umenielewa?
Kesho usikose, usile ugali ili usisinzie mkutanoni wakati hoja zinajadiliwa.Kuendelea kufikiri kuwa Samia anao uwezo huo ni ndoto za kijinga sana. Mtu anayegawa raslimali za nchi kama hazina thamani bado unamwekea matumaini kama hayo ni kujionyesha mwenyewe kwamba kichwani hazikutoshi
Huu ni upumbavu. Tanzania siyo lazima ipitie njia hizo. Unajaribu kutishia watu wasimng'oe kiongozi mwovu kwa njia zao watakazopenda kuzitumia kwa kuweka mifano ya kutishia watu?
Hebu anza wewe kupoteza woga wako tuone. Umevimbiwa na kiporo cha ugali wa mahindi wewe. Tumia hizo nguvu kuchimba majaruba upande mpunga ili upunguze kula mahindi.Huu ni upumbavu. Tanzania siyo lazima ipitie njia hizo. Unajaribu kutishia watu wasimng'oe kiongozi mwovu kwa njia zao watakazopenda kuzitumia kwa kuweka mifano ya kutishia watu?
Wewe utakuwa mtoto mdogo.Vita na chakula wapi na waoi kwani vita vilipiganiwa zaidi ndani ya ardhi yetu ...tangia wakoloni Tanzania wananchi wake walikuwa wanakula vyakula wanavyo lima wenyewe isipokuwa maeneo ya mijini tu
Unataka nitoe mara ngapi; unajibu bila kusoma kilicho andikwa?Toa namna watanzania wanavyoumizwa na Samia na uteuzi wa Samia. Wewe hapo unaumiaje ili nielewe na mimi?
Sasa ndio wakati wa kujuwa kuwa hamuwajui waTanganyika.Katiba hii tumeiandika watanganyika sisi wenyewe kwa mikono yetu na kuwakabidhi wazanzibar waitumie. Tusing'ake pale wanapoitumia kama ilivyoandikwa. Hii mizengwe ya kupata wagombea ndani ya CCM tumeinzisha watanganyika sisi wenyewe tukawakabidhi wazanzibar waitumie.
Samia hajawahi kuchaguliwa na yeyote kuanzisha AWAMU ya aina yoyote. Mwisho wake ni hapa.Tulia bhana wewe CCM haina Rais wa awamu moja tu, wacha amalizie awamu yake ya pili kama desturi ya CCM inavyotaka kisha maisha mengine yaendelee. Mengineyo ni upuuzi tu wa ugali mgumu wa mahindi unaokupatia nguvu nyingi na akili kidogo za kutafakari mambo kwa kina.