hapo ulipo unajivimbisha kwa sababu ya silaha za waTanzania. Tutakunyang'anya hizi silaha tuone kama utaendelea kujivimbisha.Hebu anza wewe kupoteza woga wako tuone. Umevimbiwa na kiporo cha ugali wa mahindi wewe. Tumia hizo nguvu kuchimba majaruba upande mpunga ili upunguze kula mahindi
Mawazo ya aina hii ndiyo alama ilio wazi kujuwa wewe ni mtu wa aina gani; na nikatika fikra hizo hizo Samia na nyinyi wote mnajigeuza kuwa ni watu bora kuzidi wengine.Unajua wewe kwani wazungu, wachina, wahindi, waarabu hawali ugali wa mahindi? Unadhani hawajui kwamba mahindi ni chakula? Uwezo wao wa kufikiri unauonaje? Hapa Tanganyika ni makabila gani chakula chao kikuu sio ugali wa mahindi? maendeleo yao yakoje?
Njaa iliyo ikumba tz miaka hiyo sababu siyo vita ...mbona waganda awakula ugali ya YangaWewe utakuwa mtoto mdogo.
Ndio maana nakwambia wewe mtoto mdogo nitahitaji muda mrefu sana kukuelimisha.Njaa iliyo ikumba tz miaka hiyo sababu siyo vita ...mbona waganda awakula ugali ya Yanga
Kenya wana uhuru wa mahakama kwani ht hilo dogo umeshindwa kuliona? Kabla cjataja mengineKenya, DRC, Ethiopia, Sudan, na Libya walipoteza uoga wamepata nini?
Unaropoka tu, nendeni mkarrekebishe Katiba isome mnavyotaka iwe.Unataka nitoe mara ngapi; unajibu bila kusoma kilicho andikwa?
Sasa ndio wakati wa kujuwa kuwa hamuwajui waTanganyika.
Samia hajawahi kuchaguliwa na yeyote kuanzisha AWAMU ya aina yoyote. Mwisho wake ni hapa.
Wewe sasa nakuchukulia kuwa ni adui mkubwa wa nchi hii; nchi unayo dharau watu wake. Sasa nitajibishna na wewe katika muundo huo.Unaropoka tu, nendeni mkarrekebishe Katiba isome mnavyotaka iwe.
Umevimbiwa na amani wewe. Wakati Membe anazuiwa asigombee uliona ni haki yake jpm kugombea bila kupingwa. Sasa ni zamu ya Samia kupita bila kupingwa pia, Tulia ganzi isambae maumivu yataisha,hapo ulipo unajivimbisha kwa sababu ya silaha za waTanzania. Tutakunyang'anya hizi silaha tuone kama utaendelea kujivimbisha.
Mawazo ya aina hii ndiyo alama ilio wazi kujuwa wewe ni mtu wa aina gani; na nikatika fikra hizo hizo Samia na nyinyi wote mnajigeuza kuwa ni watu bora kuzidi wengine.
Sasa tambua kwamba kukikweza kwenu huko hakutawasaidia tena.
Mnauza raslimali zote za waTanzania, hata bandari mnaona hawana uwezo wa kuiendesha?
Kila kitu mnataka hao uliowataja hapo ndio waje kuzitumia kwa faida yao mkijidanganya kuwa ndiyo kuendelea kwa waTanzania!
Mentality za kitumwa hizo hapa tulizikataa tokea 1961, nyinyi mnaturudisha huko.
WaTanzania hawawezi kuwa watwana tena hata mara moja.
Unanieleza habari za Membe ili iweje. Membe hakuichukia nchi hii kama mnavyofanya nyinyi. Nyinyi ni maadui wa nchi, ni lazima tuwaangamize.Umevimbiwa na amani wewe. Wakati Membe anazuiwa asigombee uliona ni haki yake jpm kugombea bila kupingwa. Sasa ni zamu ya Samia kupita bila kupingwa pia, Tulia ganzi isambae maumivu yataisha,
Mlidhani wafuasi wa Membe walifurahi?
Wacha Samia ainyooshe nchi kwa Mila na desturi hizihizi za CCM zilizotumika kumwengua Membe 2020.
Napendekeza Luca,Tlatlah,chiembe na wenu mtakao ongeza.Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
Kakojoe ulale, hamna namna , subiri kikao cha kesho kipite kwanza.Unanieleza habari za Membe ili iweje. Membe hakuichukia nchi hii kama mnavyofanya nyinyi. Nyinyi ni maadui wa nchi, ni lazima tuwaangamize.
Sasa tunajuwa hampo hapa kwa maslahi ya waTanzania; bali yenu binafsi na ya hao wajomba zenu.
Hatuwezi kuuzwa utumwani kwa mara nyingine tena.
Huo mzigo wenu hatuutaki; kwa nini mlazimishe watu?Kakojoe ulale, hamna namna , subiri kikao cha kesho kipite kwanza.
Wewe usianze kuzusha, JPM alishinda kihalali kwenye mkutano mkuu, mlaumu ndugu yako JK kwa kumtaka Membe na kumhujumu Lowasaa. Alichofanya JK wakati ule ndiyo typical nyie wa upanse huo ndiyo mlivyo, mnaogopa ukweli. Mwambie huyo ushungi wenu afuate mpangilio hata kama atakuja na vikaratasi vya mfukoniMagufuli aliteuliwa kuwa mgombea kwa mizengwe ya CCM na wajumbe wa mkutano Mkuu kumpitisha ingawa alikuwa hana sifa hata Moja ya kupitishwa. Bila mizengwe ile Lowasa angekuwa Rais, na bila mizengwe Ya CCM Membe angekuwa Rais.
Mnachokitafuta mtakipata CCM ni ileile ya mizengwe.
Karibu 💪💪 tuimbe hiyenahiyena CCM nambari one, mitano tena. Tabia ya CCM ni ileile haijabadilika, usiogope. Katiba ya nchi haibadilishwi kama jezi ili kumfaa mtu fulani.Huo mzigo wenu hatuutaki; kwa nini mlazimishe watu?
Ninakushangaa kama bado hunielewi.
Maadam wewe umejipambanua mwenyewe kuwa adui wa waTanzania, SIKUACHI. Mimi na wewe hadi lyamba
Kuna "mzoga" mwenzio humu kwa jina 'Tlaatlaah'; naona ni timu maalum mlioletwa humu kwa kazi ya kuwadhalilisha waTanzania.
Sasa wewe siachani nawe.
Umeenda mbali nje ya Katiba, Fuata Katiba kwenda Ikulu. Kuna watu wameapa kulinda Katiba hata ikibidi kufa. Lakini Sasa kabla wao hawajakufa Kuna masilaha za waTanzania. Tutakunyang'anya hizi silaha tuone kama utaendelea kujivimbisha.
Mbona mnajipa kazi ngumu sana wajemeni wakati 2030 sio mbali. Kikwete alipokatwa kiaina ile 1995 alitulia na alijipanga kwa 2005. Hata nyinyi fanyeni hivyo walahi.hapo ulipo unajivimbisha kwa sababu ya silaha za waTanzania. Tutakunyang'anya hizi silaha tuone kama utaendelea kujivimbisha.