Wewe sasa unaboronga tu huna lolote la maana unalo ongelea tena.Mbona mnajipa kazi ngumu sana wajemeni wakati 2030 sio mbali. Kikwete alipokatwa kiaina ile 1995 alitulia na alijipanga kwa 2005. Hata nyinyi fanyeni hivyo walahi.
Hayo sijui lakini ninachojua mm reli ya SGR inafanyakazi, anasambaza maji na umeme Kila Kona, shule zimejengwa, bandari makusanyo yameongezeka, madarasa yamejengwa, madaraja yamejengwa na barabara za mwendokasi dar ni Kila kona. Sasa sijui huyo wako atafanya nn kuliko hivi.Kwa hiyo unataka kumlinganisha Samia na Dotto Biteko? Huyo Samia hana hata uwezo kumzidi mbunge wa Rombo au mkuu wa wilaya ya Same😀
Ulianzia huko wewe mpuuzi kutishia watu. Sasa juwa kwamba hao wanajeshi siyo mali yenu. Hao ni waTanzania, na hizo silaha ni za waTanzania siyo za magenge yenu.Umeenda mbali nje ya Katiba, Fuata Katiba kwenda Ikulu. Kuna watu wameapa kulinda Katiba hata ikibidi kufa. Lakini Sasa kabla wao hawajakufa Kuna ma
Hizi ngonjera huwa sina muda nazo. Nenda kamwimbie Samia Suluhu Hassan, anazipenda sana. Pengine ndiyo maana kakuajiri kufanya hii kazi humu JF.Karibu 💪💪 tuimbe hiyenahiyena CCM nambari one, mitano tena. Tabia ya CCM ni ileile haijabadilika, usiogope. Katiba ya nchi haibadilishwi kama jezi ili kumfaa mtu fulani.
Mnaimba nyimbo zile zile, timu nzima humu JF. WaTanzania hawahaidiki GENGE ni lazima lidhibitiwe!Hayo sijui lakini ninachojua mm reli ya SGR inafanyakazi, anasambaza maji na umeme Kila Kona, shule zimejengwa, bandari makusanyo yameongezeka, madarasa yamejengwa, madaraja yamejengwa na barabara za mwendokasi dar ni Kila kona. Sasa sijui huyo wako atafanya nn kuliko hivi.
Hayo yote amefanya Magufuli ponjoro wwHayo sijui lakini ninachojua mm reli ya SGR inafanyakazi, anasambaza maji na umeme Kila Kona, shule zimejengwa, bandari makusanyo yameongezeka, madarasa yamejengwa, madaraja yamejengwa na barabara za mwendokasi dar ni Kila kona. Sasa sijui huyo wako atafanya nn kuliko hivi.
Nifuate utaratibu upi, kwanza natamani nchi iwe kama Rwanda, siasa kidogo matokeo makubwa. Afrika tumedanganywa sana na demokrasia, kutwa tunabishana eti utaratibu badala ya matokeo. Shame on us.
Ruhusuni ushindani Kwa kutoa fomu nyingi watu wajaze ndo mtawapima, cyo unaandika huku ukiwakipofuIwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
Ndio maana wakora walikuwa wanataka kuitisha kikao cha dharura cha bunge ili kugeuza, kuongeza, kupunguza au kufuta vifungu kwenye Katiba. Hii ni baada ya kuona katiba walioapa kuilinda haisemi mambo mengi kuhusu wao na matumbo yao.Hv kama utamaduni wao ni rais kuongoza miaka 10, kwann wanaweka mchakato wa kupigiana kura wakati tayari utaratibu wanaujua?
Acha uongoSamia kakataliwa na watanzania hasa watanganyika kwa asilimia 95% ni kikundi kidogo cha wahuni na waislamu wanafiki ndiyo kinamuunga mkono kwa maslai yao binafsi siyo ya taifa
Inawezekana wewe hujui, Wacha nikukumbushe wewe na wenzio.Ruhusuni ushindani Kwa kutoa fomu nyingi watu wajaze ndo mtawapima, cyo unaandika huku ukiwakipofu
Uko sahihi. Wakati JPM akiwaambia wakurugenzi na wasimamizi wa uchaguzi kuwa "ole wako umtangaze mtu mwingine kuwa ameshinda wakati nimekuteua mimi" huyu polepole alikuwa na cheo gani huko CCM?. Maana huo ndio uliukuwa muda na wakati sahihi kwake kujiuzulu kila nafasi aliyopewa na JPM.Polepole mtafute kabla ya JPM RIP ndio utajua alikuwa CCM au ni mpinzani sio mbali kwanzia 2015 tu kaamia CCM baada ya kupewa minofu na JPM !!!
sasa Minofu kanyang,anywa ulitegemea abaki bado CCM !!!!
Ata mpenzi wako ukitumia pesa kumpata siku pesa zikikata jua atasepa tu.!!
tena sio kimya kimya utapewa maneno ya Shombo ili usimtafute tena !!
Uyo ni pesa tu ndio kafata sio chengine !!!
Polepole naye ndio ivyo kashapata Njia nyengine ya kupata pesa tegemea tu matusi yataelekezwa kwa CCM..
Wenye CCM kina Nape January nk piga uwa watabaki CCM tu. Ata kama kukosoa watakosoa na watabaki tz sababu wao ni zao la CCM !!
watakachokosoa kina ukweli sio cha kinafiki!!
mtu katafuta pango kwanza la kujificha ndio anakosoa haaaaa.,
CCM imejifunza kitu kuokota okota watu ni tatizo kubwa !!
ikitokea kakosea na ukitaka kumwadhibu yeye hataki kuadhibiwa ajazoea kuadhibiwa
tofaut na mwana CCM kindaki ndaki.
Hakuna taratibu zilizokiukwa hapa. Hawa wanaosema taratibu zifuatwe ndio walewale waliotaka kubadilisha Katiba (utaratibu) ili Makamu wa Rais asiwe Rais baada ya JPM Mungu kumchukua. Kama wao hawataki utaratibu wa kikatiba kabisa ya nchi, je, ni taratibu gani akina samia wamevunja kumteua yeye kuwa mgombea 2025?Watu wanataka taratibu na sheria zifuatwe tu hata kama unamtaka mama saaana, afuate due process tu umpe kura sio kujipakulia pishi loooote mwenyewe namna hiyo, hamna ntu mwenye ntu wake, period
Siyo swala la kutaja tu. Ni suala la kufuata utaratibu. Compliances ulisoma wapi huko ulikofundishwa ujinga weweIwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
2030 utashuhudia utaratibu/ukiritimba wote wa uchaguzi, kwa sasa kusanyeni nguvu kwa 2030. conserve your energy for 2030. This time round you will be onlookers.Siyo swala la kutaja tu. Ni suala la kufuata utaratibu. Compliances ulisoma wapi huko ulikofundishwa ujinga wewe
Lissu ndiye Rais halal wa JMT. Mungu wa mbinguni endelea kumbariki TAL!Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
Kalamu ya hovyo, hebu msikie JPM kisha utoe comments.Wacha uongo. Salim Ahmed Salim alifanyiwa hujuma gani; hujui?
Lakini pamoja na kujisahaulisha hayo, ninakushukuru sana kwa kuweka hiyo video ya huyo mwananchi. Kama ndani ya nchi hii bado wamo wananchi wa aina hii, kwa nini tuwe na hofu hivi?
Ni scientific name ya mmea gani?NCHIMBUE BRAZILIANO
Mmea namba 2 kwenye nyika ya TangaNi scientific name ya mmea gani?
Wewe nimekuweka daraja la pekee kidogo zaidi ya mizoga wenzio humu JF. Wewe umediriki ahata kutafuta ushahidi wa ma-'Rear Admiral' ambao unadhani watatulazimisha kuwa watwana zenu; kwa vile tu kundi lenu siyo kundi la "wala ugali wa mahindi".Kalamu ya hovyo, hebu msikie JPM kisha utoe comments.
View: https://youtu.be/dHw20sg_WUk?si=wUqWrq73Js22O5T7