Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui nini maana ya kutafuta fedha

Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui nini maana ya kutafuta fedha

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui.

Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.
 
Mimi ndiyo naenda kulala sasa hivi saa nne asubuhi jana nimekesha naserve kwenye sherehe
 
Niambie mtu gani mwenye mafanikio ameyapata peke yake... lazima uwe na partners sahihi..

Kuna msemo unasema.. kama unataka kwenda haraka nenda peke yako ila kama unataka kwenda mbali nenda na wenzako
Kila la kheri kk ktk safari yako ya kushirikiana na watu ninaomba tu uyaweke maneno yangu kwenye kumbukumbu zako
 
Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui.

Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.
Cc RRONDO
 
pesa ina mambo mengi ila usiiamini kwamba ukiipata ni kwa nguvu zako bali ni mungu ndo anakubariki hvo kuwa mbinafs au kutumia na wenzako n chaguo lako ila kumbuka tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni kazi sana pia usipangiwe matumizi
 
Back
Top Bottom