Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui nini maana ya kutafuta fedha

Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui.

Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.

Jew muundo wa hoja yako , Naunga mkono, mimi ni mjasiria mali pia kutoka mbali Sana lakini Sasa si tajiri lakini nina Ghorofa tatu,Ukiniita tajiri nasikitika sana
 
Nimekulia Burger na Pizza , ninaongea uhalisia wa Maisha wewe nahisi hujui Maisha ya mtu kutokuwa na kitu na changamoto anazopitia mpaka afanikiwe that's why unapinga hoja yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pizza generation haziwagi Kama unavyo describe , l Kwa maelezo yako wewe ni.mtu amabye ulikuwa down financially na sasa upo vzr kiuchumi, ndo mana Kuna watu wanakuomba hata ten , ten.

Pesa kwenye jamii yetu ya kiafrika hainaga constant flow, inakuwaga kwa muda tu, na hata Kama itakaa kwa muda huwa Kuna matatizo unaona kabisa pesa haina mahala pa kuyatatua.
Mi nakuombea mema tu Ila usisahau base yako no matter how bad financially they are , utakuja kuwahitaji siku moja ,na pesa yako ndani.

Sent
 
Hizo ni kauli za kinyonge mtu ata ukifulia Mapambano yanaweza kuanza upya na sio kuangukia mikononi mwa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukizoea hutotupesa twako utanielewa.
+1
Jamaa yupo kwenye phase hiyo ya kiujua pesa , it's like sombody carrying a hammer and thinking everything infront ,will be a nail.

Sent
 
Si kweli.
Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui.

Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni kauli za kinyonge mtu ata ukifulia Mapambano yanaweza kuanza upya na sio kuangukia mikononi mwa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sijazungumzia kufulia, hiyo ni hatua nyingine , mi nazungumzia huo ukaksi wako kutokana na wewe kupata ukwasi.

Pesa sio kila kitu, japo ni muhimu sana kuitafuta na kuipata

Ukimwambia mtoto wa malkia wa uingereza nininimaana ya hustling hawezi akakuelewa tofauti na mtu aliyekulia nje ya ufalme sasa kwenye Maisha kila mtu anakuwa na mtazamo wake kutokana na experience alizopitia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mnyonge na wakwake binafsi nikigundua kundi nilionalo nalipita kipato huwa siambiliki kwa yoyote atayejichanganya kati yao nami kunamahali nakua mmyonge uwongo mbaya
 
Sisi wengine tuna amani kuwa nacho ni kwa neema ya Mungu ndio maana kuvimba hatujui kabisa, embu tazama vidole vyako vya mikononi vina lingana? Mshukuru aliejuu
Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui.

Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakukatalia kabisa kwa sababu:
Kuna watu wanaangaika kutafuta pesa kwa bidii zote tangu akiwa na miaka ishirini mpaka anafika miaka stini hajafanikiwa.
Pia kuna watu wanaangaika kutafuta pesa tangu wakiwa na miaka ishirin mpaka miaka hamsini anafanikiwa.
Pia kuna watu wanafanikiwa miaka ya thelathini na akifika miaka ya arobaini anafilisika ama kwa kutapeliwa, kuibiwa, kuingia kwenye biashara zenye kuleta hasara kwa 100% na hivyo kujikuta wanafilisika.
Kuna wengine walikuwa wameajiriwa wakafanikiwa kwa kiasi fulani na kwa bahati mbaya wakafukuzwa kazi.
Kwa hiyo nachomaanisha hapa ni kwamba kufanikiwa kunakuja kwa bahati au neema kutoka kwa Mungu. Hata huyo aliyefanikiwa kwa wanaoelewa watakuambia ni nema na bahati tu kutoka kwa Mungu. Mungu anakupa mafunuo ya ya biashara fulani unagusa tu kidogo na mambo yananyooka. Sasa hapo kuna cha.kujivunia na kudharau wenzako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una roho mbaya tu,na usifikiri kila mwenye pesa kasota kama wewe,na pesa huna ila umebahatika kupata vihela vya kubadili mboga tu,kajumba na kausafiri unahisi umefika ukomo,narudia tena UNA ROHO MBAYA SANA naishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakukatalia kabisa kwa sababu:
Kuna watu wanaangaika kutafuta pesa kwa bidii zote tangu akiwa na miaka ishirini mpaka anafika miaka stini hajafanikiwa.
Pia kuna watu wanaangaika kutafuta pesa tangu wakiwa na miaka ishirin mpaka miaka hamsini anafanikiwa.
Pia kuna watu wanafanikiwa miaka ya thelathini na akifika miaka ya arobaini anafilisika ama kwa kutapeliwa, kuibiwa, kuingia kwenye biashara zenye kuleta hasara kwa 100% na hivyo kujikuta wanafilisika.
Kuna wengine walikuwa wameajiriwa wakafanikiwa kwa kiasi fulani na kwa bahati mbaya wakafukuzwa kazi.
Kwa hiyo nachomaanisha hapa ni kwamba kufanikiwa kunakuja kwa bahati au neema kutoka kwa Mungu. Hata huyo aliyefanikiwa kwa wanaoelewa watakuambia ni nema na bahati tu kutoka kwa Mungu. Mungu anakupa mafunuo ya ya biashara fulani unagusa tu kidogo na mambo yananyooka. Sasa hapo kuna cha.kujivunia na kudharau wenzako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtumishi hayo ni maoni yako kutokana na experience zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom