Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui nini maana ya kutafuta fedha

Ova!
1590313864_1590313863-picsay.jpg
 
Wanaosems pesa isikupe kiburi sio wengine Bali Ni watu waliomiliki pesa kabla na wakaja kugundua kuwa pesa haitatui kila changamoto.

Mtoa mada inaonekana Ni mtu aliyekulia kwenye umasikini uliopitiliza , amezipata na sasa anaamini kuwa pesa ni kila kitu ,hii ni dizaini ya wale ambao hubadilisha hadi marafiki just because wana pesa.

Sent
 
tafuta ata kwa jasho la damu, watu watakula kirahisi tu, kama ulivyokula zao. pesa n matokeo, usifanye fedha n MUNGU. huwez tafuta mwenyewe wala kula mwenyewe.
 
Wanaosems pesa isikupe kiburi sio wengine Bali Ni watu waliomiliki pesa kabla na wakaja kugundua kuwa pesa haitatui kila changamoto.

Mtoa mada inaonekana Ni mtu aliyekulia kwenye umasikini uliopitiliza , amezipata na sasa anaamini kuwa pesa ni kila kitu ,hii ni dizaini ya wale ambao hubadilisha hadi marafiki just because wana pesa.

Sent
Nimekulia Burger na Pizza , ninaongea uhalisia wa Maisha wewe nahisi hujui Maisha ya mtu kutokuwa na kitu na changamoto anazopitia mpaka afanikiwe that's why unapinga hoja yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom