Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui nini maana ya kutafuta fedha

Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui nini maana ya kutafuta fedha

Hatari sana..pesa ukitafuta kwa hasira na ubinafsi huzipati .. ila ukitafuta kwa akili na kushirikiana na watu kwenye mapambano unazipata...
Kweli mkuu pesa ipo kwa watu naili upate michongo lazma uongee na watu vizuri kimbuka hata kama una pesa kiasi gani bado lazma utakuwa unapigana kuzisaka ili usifilisike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwambia mtoto wa malkia wa uingereza nininimaana ya hustling hawezi akakuelewa tofauti na mtu aliyekulia nje ya ufalme sasa kwenye Maisha kila mtu anakuwa na mtazamo wake kutokana na experience alizopitia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo limeanzia pale ulipotaka kubadilisha msemo wa wahenga kwa fantacy zako binasfi.

Inajulikana bila shida wenye kiburi na pesa wapo na hawataisha Kama wewe vile , Ila usitake kufanya ukweli kuwa uongo,

Leo hii rugemarilla anategemea huruma ya bwana Jela gerezani halafu unakuja na swaga za pesa ndo kila kitu,

Sent
 
Kuwa na Fedha sio mwisho wa matatizo ila ni kama kuweka ndimu kwenye samaki unakuwa unakata shombo , maadui unawazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutakiwi kuvimba kabisa biashara wengi wanafanya ila wanafanikiwa ni wachache hivyo jitihada haishindi kudra muheshimu Mungu aliekukirimia, kila anaevuta pumzi ni Mungu kampa hiyo pumzi hivyo heshimu viumbe wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui.

Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.
Vipi pesa ya haraka kwa njia ya giza? Hiyo haina jasho ila tu "kuthubutu "
 
Back
Top Bottom