Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
We Bado mtoto wa fahamu huwajui watu ndiomaana unawaza mambo ya kushirikianaHatari sana..pesa ukitafuta kwa hasira na ubinafsi huzipati .. ila ukitafuta kwa akili na kushirikiana na watu kwenye mapambano unazipata...
Sawa kabisaKILA MTU ATUMIE CHAKE KWA NAMNA AITAKAYO ILI MRADI ASIVUNJE SHERIA, KAMA HUKUNISAIDIA KUTAFUTA USINIPANGIE MATUMIZI
We
We Bado mtoto wa fahamu huwajui watu ndiomaana unawaza mambo ya kushirikiana
Kila la kheri kk ktk safari yako ya kushirikiana na watu ninaomba tu uyaweke maneno yangu kwenye kumbukumbu zakoNiambie mtu gani mwenye mafanikio ameyapata peke yake... lazima uwe na partners sahihi..
Kuna msemo unasema.. kama unataka kwenda haraka nenda peke yako ila kama unataka kwenda mbali nenda na wenzako
Cc RRONDOWanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui.
Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.
He is backpata pesa tujue tabia yako
pata pesa tujue tabia yako
Eid mubaraq!pata pesa tujue tabia yako
SahihiPeta pesa tujue tabia yako, filisika tujue tabia ya mkeo.
Na kwako pia baby shemEid mubaraq!