Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #21
Kabisa inahitaji ujikaneNilichojifunza ni kuwa mtu kuwa tajiri inahitaji usasacrifice familia, ndugu, marafiki, upendo, akili timamu, starehe, muda wako, etc
BAKITA inabidi wakupe kitengoSio fedha ni Pesa (i.e money). Fedha ni Silver.
Tutafute pesa ila hata tukizipata tujitahidi tusibadilike na kujaa viburi na dharau. Utu wa mtu si kitu au vitu alivyonavyo.
Unawazungumziaje waliokuwa wanakudharau kipindi hauna je utawapa ukaribu ?Tutafute pesa ila hata tukizipata tujitahidi tusibadilike na kujaa viburi na dharau. Utu wa mtu si kitu au vitu alivyonavyo.
Kuwapa watu ukaribu ni tabia tu haina uhusiano na kipato. Kuna watu Wana hela wana ukaribu na watu na wapo hawana hela hawana ukaribu na mtu.Unawazungumziaje waliokuwa wanakudharau kipindi hauna je utawapa ukaribu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninamaanisha watu walio kufanyia dharau na hawakukuthamini , wakija kwako utawapokea ?Kuwapa watu ukaribu ni tabia tu haina uhusiano na kipato. Kuna watu Wana hela wana ukaribu na watu na wapo hawana hela hawana ukaribu na mtu.
Niwapokee kwa mpango gani? Hata usiponifanyia dharau nikupokee kwa mpango gani?Ninamaanisha watu walio kufanyia dharau na hawakukuthamini , wakija kwako utawapokea ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yangu hapo ninamaana watu mamluki unawavimbia waliokuwa wanakuona hufaiNiwapokee kwa mpango gani? Hata usiponifanyia dharau nikupokee kwa mpango gani?
Huna sababu ya kuvimba.Hoja yangu hapo ninamaana watu mamluki unawavimbia waliokuwa wanakuona hufai
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekulia Burger na Pizza , ninaongea uhalisia wa Maisha wewe nahisi hujui Maisha ya mtu kutokuwa na kitu na changamoto anazopitia mpaka afanikiwe that's why unapinga hoja yanguWanaosems pesa isikupe kiburi sio wengine Bali Ni watu waliomiliki pesa kabla na wakaja kugundua kuwa pesa haitatui kila changamoto.
Mtoa mada inaonekana Ni mtu aliyekulia kwenye umasikini uliopitiliza , amezipata na sasa anaamini kuwa pesa ni kila kitu ,hii ni dizaini ya wale ambao hubadilisha hadi marafiki just because wana pesa.
Sent
Hatari sana..pesa ukitafuta kwa hasira na ubinafsi huzipati .. ila ukitafuta kwa akili na kushirikiana na watu kwenye mapambano unazipata...
[/QUOTE
pesa ndo iko ivyo haiitaji HASIRA.
Huzijui harakati wewe , nahisi wewe ni muajiriwaHuna sababu ya kuvimba.
Ukizoea hutotupesa twako utanielewa.
Mwenye hela Mungu tu . Tufunge mjadalaUkizoea hutotupesa twako utanielewa.