mbaritsamenya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2019
- 432
- 507
Kweli mkuu pesa ipo kwa watu naili upate michongo lazma uongee na watu vizuri kimbuka hata kama una pesa kiasi gani bado lazma utakuwa unapigana kuzisaka ili usifilisikeHatari sana..pesa ukitafuta kwa hasira na ubinafsi huzipati .. ila ukitafuta kwa akili na kushirikiana na watu kwenye mapambano unazipata...
Tatizo limeanzia pale ulipotaka kubadilisha msemo wa wahenga kwa fantacy zako binasfi.Ukimwambia mtoto wa malkia wa uingereza nininimaana ya hustling hawezi akakuelewa tofauti na mtu aliyekulia nje ya ufalme sasa kwenye Maisha kila mtu anakuwa na mtazamo wake kutokana na experience alizopitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna na una mawazo hayo siku ukipata utakuwa zaidi ya hapo,roho mbaya ni hulka/tabia uwe nacho au usiwe nacho.
Kuwa na Fedha sio mwisho wa matatizo ila ni kama kuweka ndimu kwenye samaki unakuwa unakata shombo , maadui unawazimaTatizo limeanzia pale ulipotaka kubadilisha msemo wa wahenga kwa fantacy zako binasfi.
Inajulikana bila shida wenye kiburi na pesa wapo na hawataisha Kama wewe vile , Ila usitake kufanya ukweli kuwa uongo,
Leo hii rugemarilla anategemea huruma ya bwana Jela gerezani halafu unakuja na swaga za pesa ndo kila kitu,
Sent
Punguza chuki , hoja hujibiwa kwa hojaKama huna na una mawazo hayo siku ukipata utakuwa zaidi ya hapo,roho mbaya ni hulka/tabia uwe nacho au usiwe nacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa hoja.... ninamaanisha kwa watu waliokuwa hawakutambuiSikuchukii sikujui na sina sababu,nachukia ROHO MBAYA.
Kwamba kutafuta pesa kwa msoto ndiyo kukufanye uwe na kiburi cha pesa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi pesa ya haraka kwa njia ya giza? Hiyo haina jasho ila tu "kuthubutu "Wanaosema fedha isikupe kiburi hawajui ni nini maana ya kutafuta fedha , mtu umesota kwa jua na mvua alafu linatokea jitu linakuletea pua yake kutaka kitonga linakwambia braza au sista nipige tafu ya msimbazi wakati kipindi unazisaka walikuwa hawakutambui.
Unamwambia hapo hapo hamna kumpepesea lugha akakupige tafu baba yako aliye kuzaa , ukizisaka ukipata vimba sana mpaka ardhi ipasuke ,waache waseme hawakuwepo kipindi unatafuta , hii kauli yangu nitaitetea hata mbele za Mungu mbinguni.
Thubutu wewe uwe mfanoVipi pesa ya haraka kwa njia ya giza? Hiyo haina jasho ila tu "kuthubutu "