Sijaongelea habari za asset elewa comment tatizo mawazo yote yamelenga kuangalia habari za hela ,mimi sipo huko.Your house is not an asset, ni liability ambayo ukiacha kufanya kazi inakutumikisha
kuhusu comment yako ukiwa na nyumba yako utakua na uhakika na pa kulala hata ukiacha kufanya kazi ,matengenezo mengine ya nyumba ni madogo madogo hayafikirishi sana,lakini kama umepanga jua utatolewa vitu nje mapema sana endapo utakoma kazi au biashara itayumba.