hauingizi pesa,ila hata usingejenga bado hio pesa ungetumia kulipia kodi,watoa hoja naona mmebase sana kwenye suala la hela,kiufupi mimi najenga nipate amani,asikuambie mtu kupanga kuna kero ,mara uibiwe nguo ukianika,bado hapo hamjagombana kwenye kulipa bill za maji ,bado hujagombana na jirani yako watoto wake wakikwangua gari yako na kisoda aisee ,bado mwenye nyumba hajakwambia utengeneze kitasa umeharibu wakati alinnunua mwenyewe mchina ,Mungu nisimamie nyumba yangu ikamilike 2024 nihamie kwangu.