Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Kujenga ni sawa na kuweka pesa benki yenye faida kuliko benki zote. Ila kama kuna uwezekano wa kuwekeza pesa zako kibiashara fanya hivyo ili ujenge nyumba nzuri zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nina uhakika hati ya kiwanja unaiweka collateral bank na unapewa terms nzuri tu.
Usikariri maisha, hata furniture unaweka collateral bank.
Jesus never built a buildingAcheni mawazo ya kijinga, hivi mtu unajengaje njiani wakati duniani tunapita..!!
By the way, Jesus alienda kutuandalia makao mbinguni kwa baba.
Hii ni kwa personal loans.Bank issue Yao sio collateral Kwa sababu hata wao lengo lao sio kuuza nyumba/ Kiwanja unapokwama kulipia. Wanazingatia uwezo wako wa kurejesha mkopo. Hawezi kukupatia tu mkopo kisa una viwanja kumi na hauna mzunguko wa kufanya uweze kurejesha mkopo Kwa wakati.
Ndio maana hata mortgage atapewa mfanyakazi anaelipwa mshahara japo hati ya nyumba au Kiwanja itatumika kama collateral.
Kama ni mfanya biashara lazima athibitishe na benki wajiaminishe kwamba ana uwezo wa kurejesha mkopo Kwa wakati.
Hii ni kwa personal loans.
Lakini kama huna kazi, huna income na una kiwanja unaweza kupata mkopo kwa ajili ya biashara.
Unaandika bussiness Plan, unatoa collateral (mradi iakisi gharama, na uhitaji wa soko), unapata loan.
mifano ipo mingi tu ili mradi ujue kujieleza.
Wapi huko mzee naweza pata loan kwa collateral ya nyumba wakati sina kazi? Ebu nidadavhlie maana naweza kuwa nimekalia utajiri huku nahangaika na upepo kwenye bodabkda yanguHii ni kwa personal loans.
Lakini kama huna kazi, huna income na una kiwanja unaweza kupata mkopo kwa ajili ya biashara.
Unaandika bussiness Plan, unatoa collateral (mradi iakisi gharama, na uhitaji wa soko), unapata loan.
mifano ipo mingi tu ili mradi ujue kujieleza.
Mkuu unaweza toa darasa katika hiki kipande kwa mapana zaidi kuna elimu hapa inaweza tusaidia...pls.Hii ni kwa personal loans.
Lakini kama huna kazi, huna income na una kiwanja unaweza kupata mkopo kwa ajili ya biashara.
Unaandika bussiness Plan, unatoa collateral (mradi iakisi gharama, na uhitaji wa soko), unapata loan.
mifano ipo mingi tu ili mradi ujue kujieleza.
Kweli atule elimu maana tunaweza jikomboa kimaisha kupitia hii elimu. Majumba ya urithi tunayo ila ukienda benki wanakwambia unafanya biashara gani...ukiwajibu wee bodaboda wanakusonya tuuMkuu unaweza toa darasa katika hiki kipande kwa mapana zaidi kuna elimu hapa inaweza tusaidia...pls.
NMB.Wapi huko mzee naweza pata loan kwa collateral ya nyumba wakati sina kazi? Ebu nidadavhlie maana naweza kuwa nimekalia utajiri huku nahangaika na upepo kwenye bodabkda yangu.
Kwa mfano kama unataka mkopo wa Bajaji au Guta NMB unapata kama una akaunti na ni mwanachama wa chama cha waendesha boda.Mkuu unaweza toa darasa katika hiki kipande kwa mapana zaidi kuna elimu hapa inaweza tusaidia...pls.
Hio nyumba utakayojenga sasa ili ikupe kodi ya laki 5 kwa mwezi haiwezi kuwa vikindu au chamazi ambako viwanja vya kujenga vinauzwa million 2!Wewe hujui kitu kuhusu uwekezaji kwenye nyumba.
Nimeanza kupangisha nyumba yangu mwaka 2014 kodi laki 5.
Hapa katikati nikapunguza hadi laki 4.5 kwa ushawishi tu wa madalali kwamba vyuma vimekaza, kwahiyo wapangaji hawafiki bei.
Kwakuwa zama za vyuma kukaza zimepita, mzigo unarudi palepale kwa 500k!
Hakuna maintenance ya aina hiyo uliyosema kwenye nyumba kwa mwaka.
Maintenance ya nyumba sio kama service ya gari!
ThanksKwa mfano kama unataka mkopo wa Bajaji au Guta NMB unapata kama una akaunti na ni mwanachama wa chama cha waendesha boda.
Lakini ukiangalia kwanini wanataka uwe mwanachama, basically wanataka ku-deal na biashara siyo personal loans kwa sababu personal loans ndiyo hayo mambo ya kazi.
Register kampuni hata ndogo Brela, andika bussiness plan nzuri ndogo halafu peleka NMB.
Itabidi uwe na maelezo mazuri na collateral itakusaidia.
That's all. Ni wewe tu utavyojieleza.
Mimi nilipanga 300k kwa mwezi, nyumba yenyewe ni vyumba 2, sebule na jiko. Halafu haina matengenezo. Full kero. Nikaona ni ujinga huu. Nikajenga na sasa niko kwangu, full kujiachia. WatuKiufupi nilifikia uamuzi wa kujenga kutokana na kero za kupanga ,wanaopanga wananielewa nachomaanisha hapa,i wish nikitoka kazini nikapumzishe akili nyumbani kwangu.
Alaf sio kila anaejenga hana viwanja vingine tunavyo sana na hatulipwi hio hela ya mbuzi uliyotaja hapo
Hata mi ningemuelewa, angesema kama una viwanja 10 uuze viwili ujenge kimoja, hapo sawa.Mkuu hujanielewa ni hv kazi au kiwanja na nyumba ni dhamana tu ya mkopo! Unapaje wanaevalute business..yako.ndio maana yangu ambayo utakuwa una 7 return each month.!!..unaposema nanunua viwanja kisha nakopea bank bado kuna a lot of evaluation alafu hela ya bank ndio ujengee!! First uwe nayo biashara kwanza....
Musoma inachoka aiseee
My congratulationsKuwa halisi haimaanishi kufuata mkumbo.
Katika kipindi hicho cha miaka kumi, badala ya kujenga, nunua viwanja.
Nyumba kama Jengo siyo asset.
Ardhi ni asset.
Nyumba ya milioni 30 utapangisha kwa laki mbili kwa mwezi ambayo ni milioni mbili kwa mwaka (maintanance laki nne ambayo ni ndogo najua).
Itachukua miaka 15 ku break even.
Baada ya hapo utakuwa unachukua mshahara wa laki mbili kwa mwezi.
Buy land, then wait.
Sana tuMy congratulations
Tunarudi kule kule kumbe kujenga nyumba ni dili maana unaenda kukopea,Kwa nini usiende kukopea alteza yako?Huyo aliyejenga nyumba kariakoo mwaka 1970 saizi umemuona yupo katika hali gani? nyumba tunajenga kama security ya maisha tu kwamba ikitokea siku huna ajira basi usishindwe kulipa kodi ukae kwako. Kama sio mfanyabiashara ukijenga nyumba umefukia pesa shimoni. Unajenga nyumba ya milion 70 mpangaji analipa kodi sh laki 2. mpaka ije irudi pesa uliyoifukia hapo ni miaka 20 ijayo baada ya hiyo miaka 20 nyumba yako inaonekana kama kibanda cha mganga wa kienyeji. Wafanyabiasha wanajenga nyumba wanaenda benk wanakopea mzigo wa maana wanauzungushia ndani ya muda mfupi wanapata faida kibao kodi za wapangaji ndo marejesho ya mkopo