Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

Your house is not an asset, ni liability ambayo ukiacha kufanya kazi inakutumikisha
Sijaongelea habari za asset elewa comment tatizo mawazo yote yamelenga kuangalia habari za hela ,mimi sipo huko.

kuhusu comment yako ukiwa na nyumba yako utakua na uhakika na pa kulala hata ukiacha kufanya kazi ,matengenezo mengine ya nyumba ni madogo madogo hayafikirishi sana,lakini kama umepanga jua utatolewa vitu nje mapema sana endapo utakoma kazi au biashara itayumba.
 
Mkuu, muda wa kubishana kwa kweli sina. Kila mtu abaki na anachokiamini au vipi?
 
Kujenga ni asset .. wazee wa finance wananielewa .. iwe kampuni ama Mtu binafsi.


Ukihitaji mkopo bank ndo utajua hujui...


Achana na habari ya shares na bonds kama collaterally..


Nyumba/majengo ni lulu
 
Kwa hiyo mwenye nyumba wako alizika pesa?
Siku akikosa kibarua na mwenye nyumba anataka Kodi yake ndio atajua kuwa kujenga ni kuzika hela au ni upumbavu Gani.

Kila baada ya miezi sita mwenye nyumba yake anataka pesa yake, bado hajui kama kujenga ni kuzika hela au kuvuna Hela.

Kuna zile 4 cash flow quadrants.

Sijui kama anazijua.

E=employment

S=Self employment

B=Business

I= Investment

Ukichanganya B na I ndio kuishia kuita kujenga nyumba ni kuzika hela

Kasomeni kwanza hizo mambo ndio mje hapa kupiga kelele
 
 
Huyo jamaa niliamua kumuacha tu baada ya kumuona anaona maajabu kusikia kuna nyumba kodi laki 5.

Yaani hajui kuna nyumba hadi milioni 2 na zaidi kwa nwezi.
Tena kwa nyumba yenye uwekezaji usiozidi million ishirini (25,000,000)unapata kodi ya shilling zaidi ya laki tano kwa mwezi
 
Nikanunue Nyumba?
Labda niwe na hela za kuchezea.
Wewe unaongea tu. Nyumba zinanunuliwa na zunapigwa greda everyday.
Nyumba inaleta heshima kwa mtu, siyo faida ya kifedha.
Labda fremu.
Unaposema frem unamaanisha kuwa so nyumba au ?
 
Hakuna ulichoeleza hapa nisichokua nacho, wewe ndo unajidanganya
 
Ni wajinga sana hao watu , mwisho wa siku wataushia kulala kwenye mabox
 
We jenga nyumba ni mahali pa kujihifadhi tu, mambo ingine ni mbwembwe tu unaongeza kadiri ya kipato chako.
Bakhresa aweze kununua ferry na boti kibao huku hana pa kulala.
Whats stupendo reasoning.
 
We jenga nyumba ni mahali pa kujihifadhi tu, mambo ingine ni mbwembwe tu unaongeza kadiri ya kipato chako.
Bakhresa aweze kununua ferry na boti kibao huku hana pa kulala.
Whats stupendo reasoning.

Umenena
 
Mkuu nyumba si ipo kwenye ardhi? Kama ardhi inaongezeka thamani na nyumba pia huongezeka thamani au kuna kitu sijakupata, usifikirie nyumba in terms ya kupanga tu, fikiria kuuza.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…