Nikanunue Nyumba?Nenda ukanunue nyumba ndiyo utaelewa kama zinaongezeka dhamani au la
Yeye anachojua ni "face value" but not intrisique valueLaki 1 ya mwaka 70 sio laki 1 ya mwaka 2022. Angalia ktu inaitwa "money value" au "purchasing power" ya hela
wachache sana watakuelewa hapaViwanja vina thamani inayokua. Hata by looking at the population increase. Mapori mengi ya miaka 15 iliyopita Sasa ni miji.
Nyumba haiongezeki thamani
Labda uwe mwajiriwa ama una biasharaHivi bank wanakubali kutoa mkopo ukiwa na hati ya kiwanja ambacho hakina jengo?
Kodi kubwa ni kutokana na location, ila nyumba hiyo hiyo ingekuwa Bagamoyo ingekuwa robo ya hiyo kodi, point ya Kobello ni chenye thamani ni kiwanja, thamani yake inaongezeka, ila jengo thamani yake inapungua. Kama utashindwa kuelewa bado basi omba watoto wako wawe wamechukua akili za upande wa mama.Mshamba sana huyo jamaa hajui Mikocheni watu wanalipa kodi mil3 kwa mwezi
Ungeweza tu kucomment na ukaeleweka bila ya kumkejeli unayemjibu.Kodi kubwa ni kutokana na location, ila nyumba hiyo hiyo ingekuwa Bagamoyo ingekuwa robo ya hiyo kodi, point ya Kobello ni chenye thamani ni kiwanja, thamani yake inaongezeka, ila jengo thamani yake inapungua. Kama utashindwa kuelewa bado basi omba watoto wako wawe wamechukua akili za upande wa mama.
Tusipojenga nyumba, hasa hizi za kupanga ambazo mlango wa mbele unaangalia chooni kwa jirani, mabenki automatically yataanza kujenga nyumba.Watu wote wakiwa na akili kama zako wewe utaenda kupanga wapi?
Watu bado wanaishi kwenye mifumo ya kizamani ambayo imeshaachwa na dunia, shida kubwa ni ujinga wa watanzania wengi (akili za uwekezaji hawana).Tusipojenga nyumba, hasa hizi za kupanga ambazo mlango wa mbele unaangalia chooni kwa jirani, mabenki automatically yataanza kujenga nyumba.
Na sisi tutachukua mortgage.
Huu ndiyo mfumo mzuri wa ujenzi na umilikaji wa nyumba.
Tupe mchanganuo wako , ilikugharimu Tshs ngapi kununua kiwanja pamoja na kujenga ???Wewe hujui kitu kuhusu uwekezaji kwenye nyumba.
Nimeanza kupangisha nyumba yangu mwaka 2014 kodi laki 5.
Hapa katikati nikapunguza hadi laki 4.5 kwa ushawishi tu wa madalali kwamba vyuma vimekaza, kwahiyo wapangaji hawafiki bei.
Kwakuwa zama za vyuma kukaza zimepita, mzigo unarudi palepale kwa 500k!
Hakuna maintenance ya aina hiyo uliyosema kwenye nyumba kwa mwaka.
Maintenance ya nyumba sio kama service ya gari!
Kwa hiyo sasa sie ambao tupo tupo tuu lakini tuna mijengo ya babu zetu tunapataje mkopo🤔🤔🤔🤔Labda uwe mwajiriwa ama una biashara
Hana akili huyo kada wa LumumbaLaki 1 ya mwaka 70 sio laki 1 ya mwaka 2022. Angalia ktu inaitwa "money value" au "purchasing power" ya hela
Nimesoma mtiririko na kuuelewa vyema, kuna watu tu wanajaribu kujitia ujinga, ukiacha prime locations za Dsm, mikoa karibu yote kupanga ni cheap. Kwa laki 3 unapata nyumba nzuri kabisa karibu na mjini mikoani. Swali linakuja, je hii ni biashara nzuri au unatunza kiwanja ?Ungeweza tu kucomment na ukaeleweka bila ya kumkejeli unayemjibu.
Huyo jamaa Kobello kwanza aliponda uwekezaji wa nyumba kama biashara isiyolipa.
Akaleta na hesabu za uendeshaji ambazo kiuhalisia hazipo.
Lakini kubwa zaidi alishangaa kodi.
Yaani aliona kodi kuwa laki 5 ni jambo la ajabu.
Halafu ndio ukaja wewe sasa!
Pointi hapa ni kwamba: Uwe unasoma mtiririko kabla ya ku-quote/kujibu mtu.
Cc: Kinuju
Tupambane na hali zetuKwa hiyo sasa sie ambao tupo tupo tuu lakini tuna mijengo ya babu zetu tunapataje mkopo🤔🤔🤔🤔
Dah yaani hawatufikirii kabisa. Maana tumekalia mijengo tunataka tupate mikopo ndio tuongeze mijengo mingine sasa masharti yao ndio tunapochokaTupambane na hali zetu
Wenye kukuelewa wanakuelewa mkuu, sio wote wanaweza wakakupinga. Pasipo kuweka ushabiki mbele, umeongea facts.Mimi naongea facts, siongei blah blah.
Nimerithi nyumba na ardhi. Nyumba ni headache na nimekatazwa na ukoo kuiuza.
Nyumba inaleta heshima kwa utamaduni wetu.
Kama heshima kwa jamii ingeweza kuwekwa thamani yake kifedha labda.
Ila huwezi.
Viwanja vina thamani inayokua. Hata by looking at the population increase. Mapori mengi ya miaka 15 iliyopita Sasa ni miji.
Nyumba haiongezeki thamani. Huo ni ukweli wa kimahesabu siyo hadithi njoo .
Huwezi kupigiana hesabu za nyumba ukanipa faida above interest rate ya Benki kuu.
Ukitaka tupigiane mahesabu hapa.
Kuna nyumba naifahamu hapa Dar ipo kigamboni, kaja mtu kuinunua na kujenga sheli. Jamaa alilalamba 500m. Ile nyumba sasa ukipewa 50m unaweza ijenga na ukaimalizia kabisa.You have a point. Kuna nyumba zile za zamani juzi imenunuliwa 250m. Hio nyumba yaani jengo halina hata thamani ya 15m kilichonunuliwa pale ni eneo.
Trump anajenga kwenye prime location pia hatumii cash kujenga, ni mkopo wakati watz wanadunduliza savings zao kwa ajili ya kujenga kwa miaka.Muda huu Donald Trump anajenga the tallest bulding in the world
Benki hazikupangishi nyumba, zinakuuzia kiwanja.Ma bank yatajenga nyumba za nini wakati umesema hazina faida?
Ataona kama umemtukana lakin umemueleza ukweli, Kobello ameongea vyema kabisa na ameeleweka. Kinachopanda thamani ni eneo na sio nyumba, sasa sijui jamaa hajaelewa wapi, bora watoto wachukue akili upande wa mama.Kodi kubwa ni kutokana na location, ila nyumba hiyo hiyo ingekuwa Bagamoyo ingekuwa robo ya hiyo kodi, point ya Kobello ni chenye thamani ni kiwanja, thamani yake inaongezeka, ila jengo thamani yake inapungua. Kama utashindwa kuelewa bado basi omba watoto wako wawe wamechukua akili za upande wa mama.