Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

Watu wengi Hawaelewi namna mambo yanakwenda inabidi tuendele kupeana elimu itatusaidiaa..!

Watu wanajenga commercial complex building hapa tz majengo makubwa lakini hawajengi kwa pesa zao ... wanacho miliki unakuta ni ardhi ..tu lakini wanakuwa financed na Ma bank,

Kiuchumi ujenzi wa nyumba ni hasara tu , kwasababu haizalishi pesa ila inatumia pesa kujenga..

Lakini haimaanishi watu wasijenge nyumba za kuishi ..
Wise advice
 
Kama kwa mfano wewe ni mwalimu, unataka kujenga nyumba.
Unadunduliza milioni moja leo unanunua matofali. Milioni mbili kesho unaanza kujenga. Milioni tatu mwezi ujao unajenga ... etc.
Nunua ardhi kwa mfano kisarawe II, au Mwasonga etc.. unapata ardhi 5,000/- per sqm. Ukitoa cash unapata hati ya wizara.

Kuna Kimbiji na Puna, 300 meters from the beach (tuseme 500 meters) 400sqm ni milioni 7,200,000/- ukitoa cash unapata hati ya wizarani.
Wewe leo una miaka 27, in 10 years unadhani beach ya kimbiji kiwanja kitakuwa bei gani? Na wewe unavyo mkononi vitatu au kumi vya kisarawe II.
Pia, as a collateral, kimoja unakichukulia mkopo, kwamba ewe ni mwalimu lakini collateral ya kiwanja inakupa good terms kama length/time ya mkopo na amount.
Hiyo loan unaweza kujengea kimoja, kimoja umeombea mkopo hati ipo bank na viwili vipo mkononi. Hii ni bora kuliko kujenga tu ili upate sifa halafu basi.

Sasa kwa mfano huo huo wa mwalimu kama ulivyouleta.

Kama anadunduliza pesa ya kuanzia kununua kiwanja hadi kujenga, hali kadhalika atadunduliza hivyo hivyo kununua kiwanja, hana hiyo pesa ya mara moja. Naona hapa unaandika tu "cash" anapewa hati na asubirie miaka kumi bei ipande.

Umeona hayo maeneo yote potential kupata kiwanja cha maana kwa muktadha wa kuwekeza haukipati kwa 3 M kama ulivyoandika awali. Vinginevyo utasubiria sana thamani kupanda.

Kuna mwingine ni mfanyabiashara mzuri tu na anajua anachokifanya, atakwambia 10M kwa miaka kumi atakua ametengeneza pesa nzuri tu.

Hapa nnachosisitiza hakuna haja ya kubeza anaeamua kujenga ikiwa anajua kabisa uwezo wa kusubiria muda mrefu au kufanya biashara hawezi.

Wakati wewe unaongelea uwekezaji wa viwanja, mwingine atakwambia bora akanunue bonds BoT au hisa DSE.

Haya mambo inategemea sana na uelewa, utashi na mahitaji ya mhusika.
 
Sawa, hata kuuza alkasusu.
Ila ukiambiwa vitu vinavyopoteza thamani, gari (ingawa siyo zote) na nyumba/building (ingawa siyo zote)
Hata hisa za DSE zinashuka thamani kutegemea na soko.

Sometimes ni imani na utamaduni tu wa watu. Kama kuna viwanja 300 meters kutoka baharini kesho unakipata na hati kutoka wizarani na bado huamini wala hutaki kwenda kununua kwa sababu unaona ni shamba. Halafu unajenga nyumba ya milioni 40 kerege. Sawa, hayo ni maamuzi yako. Mwisho wa siku wewe ndiye unayetakiwa kuridhika, siyo mimi.
 
Bro, still hatimiliki ni vichochezi kwa ofisa mikopo wa Benki
Mkopo ni kama ajira, Benki watakwambia tunataka kazi au biashara yenye rekodi za mapato.
Wewe nenda ukajieleze na ukanegotiate terms of payments na ujisupport na collaterals.
Usikariri maisha, Kuna baadhi ya watu matajiri wakubwa tu wamenufaika na ardhi ya bure tu, tena mapori ya serikali wametumia kupata hela Benki na kuzizungusha.
Kuna nchi nyingi duniani Hamna ardhi.
Kama utatoa zawadi kwa wanao, iwe ardhi siyo umjengee Chanika wakati yeye anafanya kazi na kulowea Arusha na style ya nyumba siyo anayoitaka.
Thanks mkuu umenena vyema
 
Sawa, hata kuuza alkasusu.
Ila ukiambiwa vitu vinavyopoteza thamani, gari (ingawa siyo zote) na nyumba/building (ingawa siyo zote)
Hata hisa za DSE zinashuka thamani kutegemea na soko.

Sometimes ni imani na utamaduni tu wa watu. Kama kuna viwanja 300 meters kutoka baharini kesho unakipata na hati kutoka wizarani na bado huamini wala hutaki kwenda kununua kwa sababu unaona ni shamba. Halafu unajenga nyumba ya milioni 40 kerege. Sawa, hayo ni maamuzi yako. Mwisho wa siku wewe ndiye unayetakiwa kuridhika, siyo mimi.

Hapa hatushindani au kutafuta nani bingwa au mshindi. Mawazo mchanganyiko kama haya yanasaidia kuleta mtazamo mpya na fikra tofauti.

Nilikunukuu kwenye bandiko lako uliloandika kwamba 30M kuliko kujenga bora ununue viwanja 10 na uuze viwili kujenga nyumba.

Lengo haikua kupinga ila kutoa tahadhari kwamba hata huo uamuzi au uchaguzi unategemea sana na eneo, muda na uwezo wa mhusika.

Nikimaanisha kwa mwenye uwezo, kuwekeza kwenye ardhi ni uwekezaji wenye risk chache japo inachukua muda.

Ahsante
 
Benki hazikupangishi nyumba, zinakuuzia kiwanja.
Au mtu mwenye mtaji mkubwa, anaendeleza sehemu ambayo ilikuwa haikaliki na kuifanya estate.
Wanaweka maduka, gym, shule,hospitali etc...
mfano Avic town, palm vilage. lakini siyo wewe nyumba yako ya bati bomba Buza njia panda ya mwinyi ndio uipatie faida.
Bora uwekeze kwenye chips au alkasusu.
Mwambie bank wanapata faida kupitia riba

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom