Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

Basi hayo maelezo yake angeyaongea kwa kiingereza fluently ili tuamini, aseme tu ukweli hajui kiingereza mbona sie wengine tuna ma PhD lakini lugha inatutatiza.

Na wewe Mbona huandiki maelezo haya kwa English ?

Mbona nyie mnatukuza sana English, English ni lugha kama lugha nyingine
 
Utatetea sana lakini ukweli utabaki pale pale,,,
Akubali tu hawezi
 
Wapinzani watapinga.
 
Hapa Jamii inakosea hata kama hamumpendi rais wa nchi, kwani kujua kingereza au kutokujua ni dhambi au kosa la jinai?? Tufanye ninyi mnajua Rais wetu yeye hajui, furahini sasa..
Kwani kusema mtu fulani hajui au hawezi kitu fulani ndio maana yake kumchukia/kutompenda?...

Naona kama watu kama ninyi mnapotosha sasa
 
mtu haishi kwa mkate peke yake
 
Utashangaaje wakati hata jina lake hujui kuandika? Mbona naona kama mko level moja naye?
Sina tatizo kua level moja na magufuri, labda nikuulize tofauti yako wewe na sisi tusiojua kiingereza vizuri ni nini?
 
Siku hizi mpaka rais anasutana?
Mbona sioni mahali aliposutwa mtu.Tanzania hasa Dar hakuna Corona.Mnahangaika nini.Mimi nilijifukiza nikiwa std 2 sasa ni mtu mzima kuna cha kunifundisha hapo.HAKUNA CORONA TANZANIA.WOOOOTE TULALE MBELR
 
Sina tatizo kua level moja na magufuri, labda nikuulize tofauti yako wewe na sisi tusiojua kiingereza vizuri ni nini?
Toafauti ni kuwa nyie shule mlikuwa mnakariri hivyo elimu haiwasaidii chochote.
 
Hapa Jamii inakosea hata kama hamumpendi rais wa nchi, kwani kujua kingereza au kutokujua ni dhambi au kosa la jinai?? Tufanye ninyi mnajua Rais wetu yeye hajui, furahini sasa..
Acha nyeupe ibaki nyeupe na nyeusi kama ilivyo.Usichanganye.1+1=2
 
Na amewasuta kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
google.. do your h/w

Tatizo watanzania wengi Hamna Maturity na Mental Strength ndio maana mnajadili mambo ya Broken English. Exposure ni muhimu sana NINASISITIZA. WTZ wengi mnakosa hii kitu EXPOSURE ndio shida.

JPM ni President of our time. Watanzania jifunze kuwa na AKILI. Focus kwenye mambo ya Msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…