Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

Mimi nakubali kuwa mjinga. Acha jinga la mwaka, naweza kuwa jinga la karne, lakini ukweli unabaki kuwa pale pale, fani na lugha ni vitu tofauti. Kuna watanzania wengi wana Ph.D. za uchumi, fizikia, madawa, uhandisi, n.k. Kikubwa kwao ni kujuwa walichosomea na siyo lugha. Kwanza kuna wengine hawakutumia Kingereza kwenye hizo Ph.D. Wengine walisom,a Urussi, Ujermani, Ufaransa Hispania, na walitumia lugha za huko kwenye Ph.D.
Of course hapa tunazungumzia waliosoma kwa lugha ya kiingereza. Wewe unadhani tunazungumzia waliosoma kwa lugha ya kinyanzutuzu? Unawezaje kuandika thesis za kuanzia masters mpaka Phd bila kujua lugha? Arguments na mambo mengine yote utaelezea kwa kutumia vidole? Vitabu na machapisho utakayosoma utaelewaje? BTW hata najaribu kumwelezea mtu asiyejua hata lectures huwa zinatolewaje.
 
Mbona sioni mahali aliposutwa mtu.Tanzania hasa Dar hakuna Corona.Mnahangaika nini.Mimi nilijifukiza nikiwa std 2 sasa ni mtu mzima kuna cha kunifundisha hapo.HAKUNA CORONA TANZANIA.WOOOOTE TULALE MBELR
Za kuambiwa changanya na zako alijisemea JK.

Maana, Waswahili walisema, mficha maradhi, mauti humfichua.
 
Dada Joy je?
Aje naye aseme anajua kiingereza halafu maneno hayo ayaseme kwa kiingereza.
Aseme " Mimi najua kiingereza maana kuanzia form one Hadi PhD nimesoma kwa kiingereza hata sesis zangu nimeziandika kwa kiingereza"
 
Huu utumwa wa kuona sifa kujua lugha za watu kama bado tunaendelea nao mpaka sasa tutachelewa Sana kupata maendeleo tunayoyataka.

Hakuna nchi iliyoendelea inatukuza lugha ya Nchi nyingine.
 
Tatizo watanzania wengi Hamna Maturity na Mental Strength ndio maana mnajadili mambo ya Broken English. Exposure ni muhimu sana NINASISITIZA. WTZ wengi mnakosa hii kitu EXPOSURE ndio shida.

JPM ni President of our time. Watanzania jifunze kuwa na AKILI. Focus kwenye mambo ya Msingi.
Hapa hatujadili broken english. Hapa tunajadili mtu anayeelewa kiingereza na kufanya mazungumzo hata kwa kutumia broken english! Umeelewa? Uliona ile clip Magufuli alipofanya ziara Uganda akaulizwa swali rahisi kabisa kwa kiingereza akabakia ametoa macho kama popo na akashindwa kuelewa ameulizwa nini mpaka Museveni akamsaidia? Mambo ya broken english ni wasomi au marais wengi wanazungumza lakini pamoja na kuwa broken english lakini wanazungumza kitu kinacho-make sense!
 
Unataka kuniambia Hasikii English ?
 
Ashaweka wazi kiingereza anachojua ni cha kuandika kama wanavyuo wengi hapa nchini, watanzania wengi shida ipo kwenye kiingereza cha kuongea kwa mdomo na kusikiliza kwa lafudhi nje ya hii yetu tunayokaza ulimi,

Kiufupi watanzania wengi hiki kiingereza cha kuandika huko vyuoni au humu jamiiforums na instagram tunajitahidi ila shida ilipo ni hiki kiingereza cha kiwasiliana kwa mdomo na hasa tukiwa tunaongea na wazungu, utaskia visingizio wanamungunya maneno 😂😂

Hebu angalieni ile video ya waziri wa elimu ndalichako hapo zamani form 4 aliwahi kuwa top 10 na somo la kiingereza aligonga A lakini ukija kuangalia ile video yake yani kiingereza cha kuongea alichapia sana
Labda wewe ndo hujui,Tena acha kabisa kusema Watanzania wengi wasomi hawajui Kiingeza au Inernational Language.Sema mimi sijui,na unanesha kweli hujui.
 
Huu utumwa wa kuona sifa kujua lugha za watu kama bado tunaendelea nao mpaka sasa tutachelewa Sana kupata maendeleo tunayoyataka.

Hakuna nchi iliyoendelea inatukuza lugha ya Nchi nyingine.
Utumwa ni pale unasoma o level, a level mpaka PhD ulitumia English lakini hauijui English [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Raisi Magufuli ni sawa na maraisi Putin, Xi Jinping, Angela Markel, Emanuel Macron na wengine ambao hutumia lugha mama.

Hicho kiingereza ni lugha kama lugha zingine za kawaida sana.

Kufahamu kuzungumza kiingereza hakumaanishi wewe umesoma sana na kuelimika.
Sasa kwanini anajitetea anajua wakati kutokujua si tatizo? Kiingereza ni lugha kama zilivyo zingine hivyo asijisikie vibaya kutokukimudu.
 
Utumwa ni pale unasoma o level, a level mpaka PhD ulitumia English lakini hauijui English [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ni sawa wewe ni mpare halafu aje mtu akucheke kwakua hujui kimasai.
 
“Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza,lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo

“Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa”-JPM
View attachment 1691833
Nakumbuka niliangalia maadhimisho kama haya mwaka 2016 kwenye runinga. Akatoa shukran kwa kuchaguliwa. Kama kawaida anaongea Kiswahili na kuchomekea Kiingereza. Akasema, ' kati ya wote, mmenichagua mimi, who I am?', basi umati wote ukirudia ile ' who I am?' Na kicheko juu!
Kweli Magufuli hajui kiingereza!
 
Raisi Magufuli ni sawa na maraisi Putin, Xi Jinping, Angela Markel, Emanuel Macron na wengine ambao hutumia lugha mama.

Hicho kiingereza ni lugha kama lugha zingine za kawaida sana.

Kufahamu kuzungumza kiingereza hakumaanishi wewe umesoma sana na kuelimika.
Hili kamwambie mwenyewe, maana hotuba ya leo inakupinga.
 
..aliyemshauri Raisi kuzungumzia hayo ni nani?

..Jpm amekuwa madarakani huu ni mwaka wa 6, hivi anahitaji kujieleza na kujitetea kwamba anaimudu lugha ya Kiingereza?
 
Back
Top Bottom