Wanaosema watu wasipiganie urithi ni wajinga, wasio na uelewa wa dunia

SIYE WATU WA PWANI TWARISISHANA MAJINI

hivi ile kesi ya kutaka urithi kwa shemeji ulishinda??

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado ngoma inanguruma mahakamani.
Ninampango wa kutokuwa na Imani ya Hakimu, naona Kama anampendelea Shemeji πŸ˜€πŸ˜€
 
Kule Mtwara Kuna mzee mpumbavu aliuza nyumba zake 4 akaenda kupanga baada ya mkewe kufariki. Uza mashamba nk. Ili wanawe wasirithi Kwa sababu na yeye hakurithi. Hakuwapa mtaji sababu na yeye akupewa.
Wazee wanasahau zama zimebadilika. Elimu sio urithi tosha.

Ni ukosefu wa upendo tuu.
Urithi ni sehemu ya Wema na upendo WA mzazi Kwa watoto
 
Kule Mtwara Kuna mzee mpumbavu aliuza nyumba zake 4 akaenda kupanga baada ya mkewe kufariki. Uza mashamba nk. Ili wanawe wasirithi Kwa sababu na yeye hakurithi. Hakuwapa mtaji sababu na yeye akupewa.
Wazee wanasahau zama zimebadilika. Elimu sio urithi tosha.
Ni haki yake kwani yeye ndiye aliyetafuta hiyo mali mwenyewe. Na wewe katafute yako.

Tena siku hizi vijana mumezidi munasubiri mzee afe wala hamutaki hata kumhudumia munaona gharama. Akichelewa kufa munammaliza kwa mapanga, sasa munaona haki yenu kurithi kwa sababu gani?
 
Nenda Mahakamani watakujibu.

Kama hutaki kurithisha Acha kuzaa. Tena hata ukifanya hivyo bado wapo watakaorithiπŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi inawezekana vipi upiganie kitu Ambacho hujakitafuta it just an Idiots
Hii Ardhi ya Tanzania ni nani aliitafuta? Je tukivamiwa leo watu wanataka mega sehemu mtawaachia? Ardhi ni Urithi. Kama ambavyo mali ambazo alitafuta baba yako ni urithi sababu ndiye pia aliyekuleta Duniania bila idhini yako.
 
Nimeiongelea hiyo issue juzi tu humu kuna mtu alisema baba yake ana kila kitu nyumba na mali na yeye ndie mrithi ila anataka kuondoka kwao akatafute vyake

Nilimshauri kuliko kuondoka ni bora hiyo hela atakayoenda kuanzisha mji angeitumia kufanya uwekezaji unaozalisha.

Urithi ndio hatua ya kwanza ya utajiri na matajiri wengi na hata mataifa matajiri yamerithi huo utajiri kwa waliowatangulia. Kama mzazi wako amekuachia majumba una uwezekano mkubwa sana wakutajirika kuliko sie tuliojenga wenyewe kwa kujibana majumba ya thamani.

Hizo hela tungeingiza kwenye biashara zenye mzunguko tungekuwa mbali sana
 
Kwani nalazimishwa kurithi?Kuna sehemu inanibana nikikataa urithi?Vipo vya kurithi ila sitaki.
 
Yaani huyo jamaa anafurahisha Sana.
Badala sasa aangalie way forward ya kuendeleza pale walipoishia wazazi wake, yeye anataka kuanzia 0 tena.πŸ˜‚πŸ˜‚.

Penye Miti hapana wajenzi.
 
Kwani nalazimishwa kurithi?Kuna sehemu inanibana nikikataa urithi?Vipo vya kurithi ila sitaki.

Hakuna anayekulazimisha Mkuu.
Ni Kama vile kuishi, hakuna anayekulazimisha kuishi.
Ila kujiua ni kosa kisheria Kama ukiponyoka kifo.

Kukataa Urithi WA wazazi ni Dalili ya Dharau Kwa wazazi wako, kutothamini jasho la wazazi wako, kutojutambua.
 
Akili yangu imegoma tu kurithi vitu.Sitaki tu.Urithi wa DNA unanitosha.
 
Ukiona mtu anaongea hiv anachangamsha genge hana hata cha kurithi...pambania Hali yako budah...
Kuwa na mali nyingi ni ubatili mtupu mbele za BWANA.Nataka niishi kivyangu.Niwatafutie watoto wangu.Wao watarithi tu.
 
Baraka zikishuka Hadi vitukuu vyako vitakula sehemu ya jasho lako.
Waliokosa baraka ndio ambao haachi hata shamba Fukayosi.
Urithi wa mtu ni WA kwake hata kama ni WA wazazi.
Nawashangaa sana watu wanaosema oooh! Mali zenyewe za kurithi.
Haijalishi as long as ni urithi wako you're responsible for that.
 
Back
Top Bottom