Mwalimu mmoja baada ya kustaafu maeneo ya home uko na kupata pesa zake aligawa Kama urithi kwa watoto wake wote,mmoja nampa jina X alijenga nyumba na kufungua duka,Sasa Kuna siku nilikuta wanatupiana maneno na jamaa fulani hivi kitaa sikujua chanzo Cha ugomvi ule bali nilitulia kusikia maneno ambayo walikuwa wanatupiana ,Jamaa akawa anamwambi X wewe ulikuwa hauna kitu umeponea pesa za Mama yako tu kujenga nyumba na kufungua duka ,X akamwambia huo ni urithi kutoka kwa Mama yangu mzazi wewe urithi ambao wazazi wako walikuachia uko wapi?
Ni dhahiri kwamba wale ambao wazazi wao huwa hawana kitu Cha kuwarithisha wanao,watoto huwa na chuki kwa wale ambao wamerithi vitu toka kwa wazazi wao na hapa ndo maneno Kama
Nakomaa mwenyewe vitu vya kurithi sitaji
Huna lolote Mali zenyewe umerthi tu utatuambia Nini
Yule utajili wake sio wa jasho karithi tu nk
Naunga mkono hoja [emoji817]%