Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
SIYE WATU WA PWANI TWARISISHANA MAJINI
hivi ile kesi ya kutaka urithi kwa shemeji ulishinda??
Kule Mtwara Kuna mzee mpumbavu aliuza nyumba zake 4 akaenda kupanga baada ya mkewe kufariki. Uza mashamba nk. Ili wanawe wasirithi Kwa sababu na yeye hakurithi. Hakuwapa mtaji sababu na yeye akupewa.
Wazee wanasahau zama zimebadilika. Elimu sio urithi tosha.
Kurithi ni muhimu , ila mbaya kuruthishana umaskini na uchawi, over
Ni haki yake kwani yeye ndiye aliyetafuta hiyo mali mwenyewe. Na wewe katafute yako.Kule Mtwara Kuna mzee mpumbavu aliuza nyumba zake 4 akaenda kupanga baada ya mkewe kufariki. Uza mashamba nk. Ili wanawe wasirithi Kwa sababu na yeye hakurithi. Hakuwapa mtaji sababu na yeye akupewa.
Wazee wanasahau zama zimebadilika. Elimu sio urithi tosha.
Soma kwa kutulia utaelewa alichoandika.Hivi inawezekana vipi upiganie kitu Ambacho hujakitafuta it just an Idiots
Ni haki yake kwani yeye ndiye aliyetafuta hiyo mali mwenyewe. Na wewe katafute yako.
Tena siku hizi vijana mumezidi munasubiri mzee afe wala hamutaki hata kumhudumia munaona gharama. Akichelewa kufa munammaliza kwa mapanga, sasa munaona haki yenu kurithi kwa sababu gani?
Basi na wewe lipa Deni la Helsb ili nawengine wakopeshweNenda Mahakamani watakujibu.
Kama hutaki kurithisha Acha kuzaa. Tena hata ukifanya hivyo bado wapo watakaorithiππ
Basi na wewe lipa Deni la Helsb ili nawengine wakopeshwe
Sheria moja ya haki ya mzazi kwa mwanae au wanae ni kuacha urithi kwisha!! Unazaa vip huna urithi wa kuachia watoto?
Hii Ardhi ya Tanzania ni nani aliitafuta? Je tukivamiwa leo watu wanataka mega sehemu mtawaachia? Ardhi ni Urithi. Kama ambavyo mali ambazo alitafuta baba yako ni urithi sababu ndiye pia aliyekuleta Duniania bila idhini yako.Hivi inawezekana vipi upiganie kitu Ambacho hujakitafuta it just an Idiots
Nimeiongelea hiyo issue juzi tu humu kuna mtu alisema baba yake ana kila kitu nyumba na mali na yeye ndie mrithi ila anataka kuondoka kwao akatafute vyake
Nilimshauri kuliko kuondoka ni bora hiyo hela atakayoenda kuanzisha mji angeitumia kufanya uwekezaji unaozalisha.
Urithi ndio hatua ya kwanza ya utajiri na matajiri wengi na hata mataifa matajiri yamerithi huo utajiri kwa waliowatangulia. Kama mzazi wako amekuachia majumba una uwezekano mkubwa sana wakutajirika kuliko sie tuliojenga wenyewe kwa kujibana majumba ya thamani.
Hizo hela tungeingiza kwenye biashara zenye mzunguko tungekuwa mbali sana
Kwani nalazimishwa kurithi?Kuna sehemu inanibana nikikataa urithi?Vipo vya kurithi ila sitaki.
Akili yangu imegoma tu kurithi vitu.Sitaki tu.Urithi wa DNA unanitosha.Hakuna anayekulazimisha Mkuu.
Ni Kama vile kuishi, hakuna anayekulazimisha kuishi.
Ila kujiua ni kosa kisheria Kama ukiponyoka kifo.
Kukataa Urithi WA wazazi ni Dalili ya Dharau Kwa wazazi wako, kutothamini jasho la wazazi wako, kutojutambua.
Akili yangu imegoma tu kurithi vitu.Sitaki tu.Urithi wa DNA unanitosha.
Kuwa na mali nyingi ni ubatili mtupu mbele za BWANA.Nataka niishi kivyangu.Niwatafutie watoto wangu.Wao watarithi tu.Ukiona mtu anaongea hiv anachangamsha genge hana hata cha kurithi...pambania Hali yako budah...
Ukiona mtu anaongea hiv anachangamsha genge hana hata cha kurithi...pambania Hali yako budah...