DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
- Thread starter
-
- #161
sio lengo mkuu ila wakishafanikisha lazima warud madhabahuni kutoa shukrani. Yaan wakishakubaliana baada ya kukutana na kuona kama wana endana
Madhabahuni kwako kutoa shukrani?
Kila mtu ako na madhabahu yakeMadhabahuni kwako kutoa shukrani?
kila mtu anavigezo vyake mkuu hivyo unaweza ukawa limbukeni kwa kuwa tu tofauti na wanavyotaka wengine. maana kuna watu hasa ME hawapendi wanawake wasomi sana na KE wanapenda wanaume wasomi na wakati mwingine tofautiHivi wakati wa kutafuta mke au mume kigezo cha Elimu huwa ni cha kazi gani hasa?
unajua waafrica mnulimbukeni sana.
Kigezo kipi ulichokosa hapo?Ilibaki kidogo nipate mume 😄 dah
Anataka mweupe mm Cheusi mangala 😄Kigezo kipi ulichokosa hapo?
Usinilazimishe kitu sitakiNenda maabara ya mkemia mkuu.
😂😂😂 mtafute tuu huwezi jua anaweza badilisha msimamoAnataka mweupe mm Cheusi mangala 😄
Mkemia mkuu atakusaidia kukuundia unaemtaka..tofaut na hapo chukua yoyote anaepumua na kunya.Usinilazimishe kitu sitaki
black beauty fulaniAnataka mweupe mm Cheusi mangala 😄
Lazima tukubaliane na tuendane na kasi hiyo hiyoKweli dunia inaenda kasi sana, kila kitu ni network na connection 😢 😅
Mambo ya kulazimisha kupanda mlima lol 😆😂😂😂 mtafute tuu huwezi jua anaweza badilisha msimamo
Aaah,wap 😆black beauty fulani