Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

 
Chief mm pia ni candidate wa CPA na nimebakisha masomo ya final 3 yaani C1,C3 na C4 lakini yananisumbua sana nimefanya mthn mara 3 lkn bado sijachomoa
 
Wakuu hamna mtu anayepiga foundational costing A3 na financial acc A4 tudiscuss
 
January ndo naiingia intake ya foundation naogopa kufel na watu wanavyo comment hapa.....
Aah mkuu usijali kabisa, hizo comments zitumie Kama chachu ya kupambana na siyo kukata tamaa, usiogope kufeli pia foundation level mambo siyo magumu bana unaweza chukua masomo yote na ukatoboa, kuna watu wanapata hadi A A huko, pambana hadi kieleweke kuna raha yake kuwa na CPA mkuu😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…